Madam kwenye suala la Fei Toto ndiyo unaona Serikali imeingilia soka? Je mlivyokula hiyo pilau,mnavyopewa ndege mbona hukulalamika.Huyo aondoke tu, tulifika fainali bila yeye. Mpaka hapa akili, itakuwa imemkaa sawa.
Haya mambo Serikali kuingilia soka, tutakuja fungiwa. Kuna mtu alitaka kusema hili, ila limetumiwa kisiasa sana.
Ni wivu tuAh wewe hawezi fungiwa kisa mama kasema. Tulieni wananchi mwachie i dogo akacheze kule roho inataka. Mlimdharau dogo sana yaani ya ga yakushindwa kumpa fei billion moja kwa kipaji chake kile kweli? Au ndio roho mbaya kiwa dogo atawatomber dada wa wana yanga🤣🤣🤣🤣🤣
mpaka hapa unakuwa umekubali hoja ya mdau uliyem quote matola kwamba fifa na siasa zinaingiliana. Halafu ukisema ni udhaifu wa uongozi wa sasa, kumbuka fifa wamepishana na sera za west kule qatar na wameshinda. Sioni namna US inavyoweza kuibana fifa, unaweza elezea?
Unaweza kusoma hiyo article kwanzampaka hapa unakuwa umekubali hoja ya mdau uliyem quote matola kwamba fifa na siasa zinaingiliana. Halafu ukisema ni udhaifu wa uongozi wa sasa, kumbuka fifa wamepishana na sera za west kule qatar na wameshinda. Sioni namna US inavyoweza kuibana fifa, unaweza elezea?
Ameomba na akisema anasubiri mrejesho muda si mrefu na wampelekee huo mrejeshoRais "ameomba" wao Yanga ni kitu gani hadi wasielewe, subiri uone kama watasubiri kukumbushwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
naongea uhalisia asituletee uzanzibarMchawi wa Gambosh huyu hapa
Miafrica bwana wivu wakingese sanaNi wivu tu
Sina wasiwasi kabisa kuwa FIFA hawaruhusu mambo ya soccer kuingiliwa na serikali, nchi za Ulaya chombo cha habari kingeweza kuvalia njuga swala hili kuwa ni serikali kuingilia soccer, huku kwetu ni mass media ipi au mwandishi gani anaweza advocate hilo? Jibu ni hakuna, siyo kwamba hawawezi, hapana, kila mmoja huku kwetu anahofia kesho yake.Ndio Nchi haijafika huko ila FIFA hawataki maamuzi ya kimpira ya ingiliwe na serikali na sometimes kama wakijua serikali imeingilia kati mnaweza kupigwa bani au hujui kwamba hili swala lishafika CAS? Mpaka hapo FIFA wanajua.
Ubwabwa umetuponza🙆Hakuna chakula cha bure bure.😂
Kumbe vitu vidogo hivyo vinawauma? Mngekaza mkafika hata nusu fainali.Madam kwenye suala la Fei Toto ndiyo unaona Serikali imeingilia soka? Je mlivyokula hiyo pilau,mnavyopewa ndege mbona hukulalamika.
Ukitaka kula lazima Uliwe..
Sasa swala lipo CAS,Fei kaishtaki TFF na CAS ni chombo kikubwa cha maamuzi cha FIFA.Sina wasiwasi kabisa kuwa FIFA hawaruhusu mambo ya soccer kuingiliwa na serikali, nchi za Ulaya chombo cha habari kingeweza kuvalia njuga swala hili kuwa ni serikali kuingilia soccer, huku kwetu ni mass media ipi au mwandishi gani anaweza advocate hilo? Jibu ni hakuna, siyo kwamba hawawezi, hapana, kila mmoja huku kwetu anahofia kesho yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlitakiwa myaseme haya wakati ambao siasa za SHH zinawanufaisha, vinginevyo mnaonyesha kiwango chenu cha unafiki.#mac alpho;hiyo ni sawa na kumuitia mtoto pipi huku umeshka fimbo,FIFA inabidi ihusike mpira na siasa no
Ili wapate uwanja na mengineyo ni lazima wapeleke mrejesho.[emoji1]Ameomba na akisema anasubiri mrejesho muda si mrefu na wampelekee huo mrejesho
Hawezi kuwa free agent. Ukweli ni kwamba Yanga wakiwa smart enough huyu dogo ataharibu amtibue hadi bi mkubwa. Kumbuka Yanga ipo kabla ya Samia na otaendelea kuwepo baada yake. Hata yeye analijua. Kosa dogo kuhusu Yanga anawatibua nusu ya raia wake. Usidhani yeye halijui hiloUbwabwa umewaponza
Hamna chakula cha bure
Fei toto ni free agent
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196]View attachment 2647277
Kaomba kupewa mrejesho. Hapo tayari kuna maamuziSELIKALI na mpira ni vitu viwili tofauti.
Yeye ameshauri tu Wala hajafanya maamuzi yoyote.
Nani wa kuwashauri wenzake wakatae "ombi" la Mh rais wa nchi? Na ninani ambaye za kuambiwa hawezi kuchanganya na zake.? Thubutu.Yanga wameombwa wamalize hili swala.
Wanaweza kukataa vile vile.
Sio Kila ombi linakubaliwa