BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Madam kwenye suala la Fei Toto ndiyo unaona Serikali imeingilia soka? Je mlivyokula hiyo pilau,mnavyopewa ndege mbona hukulalamika.Huyo aondoke tu, tulifika fainali bila yeye. Mpaka hapa akili, itakuwa imemkaa sawa.
Haya mambo Serikali kuingilia soka, tutakuja fungiwa. Kuna mtu alitaka kusema hili, ila limetumiwa kisiasa sana.
Ukitaka kula lazima Uliwe..