Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

Huyo aondoke tu, tulifika fainali bila yeye. Mpaka hapa akili, itakuwa imemkaa sawa.
Haya mambo Serikali kuingilia soka, tutakuja fungiwa. Kuna mtu alitaka kusema hili, ila limetumiwa kisiasa sana.
Madam kwenye suala la Fei Toto ndiyo unaona Serikali imeingilia soka? Je mlivyokula hiyo pilau,mnavyopewa ndege mbona hukulalamika.
Ukitaka kula lazima Uliwe..
 
Ah wewe hawezi fungiwa kisa mama kasema. Tulieni wananchi mwachie i dogo akacheze kule roho inataka. Mlimdharau dogo sana yaani ya ga yakushindwa kumpa fei billion moja kwa kipaji chake kile kweli? Au ndio roho mbaya kiwa dogo atawatomber dada wa wana yanga🤣🤣🤣🤣🤣
Ni wivu tu
 
mpaka hapa unakuwa umekubali hoja ya mdau uliyem quote matola kwamba fifa na siasa zinaingiliana. Halafu ukisema ni udhaifu wa uongozi wa sasa, kumbuka fifa wamepishana na sera za west kule qatar na wameshinda. Sioni namna US inavyoweza kuibana fifa, unaweza elezea?

Unaweza kusoma hiyo article kwanza

Siasa za nchi na maamuzi ya FIFA ni vitu viwili tofauti,narudia tena nilicho kiandika nilisema "uongozi wa sasa ni dhaifu........." na ndio maana tunaona Russia kapigwa ban.

Sasa nikuilize kama Siasa na Sheria za FIFA zina ingiliana why US hawakupigwa ban baada ya ya kuivamia Iraq,Afghanistan nk?NIJIBU HILI ndani yake utapata majibu yako.

Marekani hawa ziwekei vikwazo au kuiandama nchi ambayo ana maslahi nayo moja ya nchi hizo Qatar.Mf tu Saudi yule mwandishi mwandishi wa habari ,umemuona Saudi akiwekewa vikwazo au kuandamwa na US.

US uwezo huo anao kwa sasa sababu hata FIFA yenyewe ni dhaifu na ndio maana leo hii Russia kapigwa ban,pili US hana maslahi na Russia pili wana migogoro yao binafsi ya kisiasa na ndio maana Russia kipindi kile US aliiandamwa,akaanza na ruswa ,akaja na maswala ya upinde na maswala Russia kunyakua jimbo la Ukraine, ila FIFA still ikakomaa.
 
Ndio Nchi haijafika huko ila FIFA hawataki maamuzi ya kimpira ya ingiliwe na serikali na sometimes kama wakijua serikali imeingilia kati mnaweza kupigwa bani au hujui kwamba hili swala lishafika CAS? Mpaka hapo FIFA wanajua.
Sina wasiwasi kabisa kuwa FIFA hawaruhusu mambo ya soccer kuingiliwa na serikali, nchi za Ulaya chombo cha habari kingeweza kuvalia njuga swala hili kuwa ni serikali kuingilia soccer, huku kwetu ni mass media ipi au mwandishi gani anaweza advocate hilo? Jibu ni hakuna, siyo kwamba hawawezi, hapana, kila mmoja huku kwetu anahofia kesho yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madam kwenye suala la Fei Toto ndiyo unaona Serikali imeingilia soka? Je mlivyokula hiyo pilau,mnavyopewa ndege mbona hukulalamika.
Ukitaka kula lazima Uliwe..
Kumbe vitu vidogo hivyo vinawauma? Mngekaza mkafika hata nusu fainali.
Kuhusu ndege, pilau na mengineyo...
Ile ndege ni motisha, pilau Ikulu pongezi. Yanga imecheza fainali pale imetangaza nchi, kuna watu walikuwa hawaijui, wanaisikia tu Tz. Tutakuwa tumeongeza utalii, uwekezaji.
Hayo ya kula lazima uliwe yako huko kwenu madunduka FC.
 
Yanga wameombwa wamalize hili swala.
Wanaweza kukataa vile vile.
Sio Kila ombi linakubaliwa
 
Sina wasiwasi kabisa kuwa FIFA hawaruhusu mambo ya soccer kuingiliwa na serikali, nchi za Ulaya chombo cha habari kingeweza kuvalia njuga swala hili kuwa ni serikali kuingilia soccer, huku kwetu ni mass media ipi au mwandishi gani anaweza advocate hilo? Jibu ni hakuna, siyo kwamba hawawezi, hapana, kila mmoja huku kwetu anahofia kesho yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa swala lipo CAS,Fei kaishtaki TFF na CAS ni chombo kikubwa cha maamuzi cha FIFA.

Isome hii article na kumbuka jambo hili lishatolewa maamuzi mara tatu na TFF.
 
#mac alpho;hiyo ni sawa na kumuitia mtoto pipi huku umeshka fimbo,FIFA inabidi ihusike mpira na siasa no
Mlitakiwa myaseme haya wakati ambao siasa za SHH zinawanufaisha, vinginevyo mnaonyesha kiwango chenu cha unafiki.
 
Ubwabwa umewaponza
Hamna chakula cha bure
Fei toto ni free agent
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji196][emoji196][emoji196]View attachment 2647277
Hawezi kuwa free agent. Ukweli ni kwamba Yanga wakiwa smart enough huyu dogo ataharibu amtibue hadi bi mkubwa. Kumbuka Yanga ipo kabla ya Samia na otaendelea kuwepo baada yake. Hata yeye analijua. Kosa dogo kuhusu Yanga anawatibua nusu ya raia wake. Usidhani yeye halijui hilo
 
Back
Top Bottom