Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

Nchi isiyo na mafanikio yoyote yale yaliyo ya maana, kwenye nyanja yoyote ile, inaona timu kufikia fainali ya kakombe kaliko obscure duniani kuwa ni mafanikio?

Pity the fools.
Mwenzako anaangalia 2025
 
Tunata Katiba
 
Hayo yanaitwa "maelekezo Toka juu"[emoji4]
 
Unaandika kama mtabiri ambaye Hana elimu ya utabiri

Sent from my Infinix X6511E using JamiiForums mobile app
 
Pande zote zitadai zimeshinda ila tu zimeheshimu ushauri wa Rais. Feitoto atasema kashinda na Yanga watasema wameshinda ila wameamua kukubaliana
 
Rais Samia ameitega Yanga ametowa ombi kwa uongozi wa Yanga kuhusu sakata la Fei Toto liishe.

Ikumbukwe Yanga imemuomba Rais maombi ambayo yana thamani zaidi ya Feitoto.

Na tukubali ukweli hivi kuna kiburi gani mwenye jeuri ya kukataa ombi la Rais? tena Rais muungwana kama Samia?

Pia tufahamu nje ya Mtanzania hawa ni Wazanzibar, mama ameomba ombi kistaarabu na kiungwana uongozi wa Yanga umuheshimu mama ikiwezekana kesho aachwe huru aende anapotaka bila kuchukuwa hata mia lakini Karma itamfuata hukohuko aendako.

Cc: Pascal Mayalla
 
Trust me, Watazungumza na kumaliza kisha atabaki jangwani...[emoji4]
Mimi naamini Yanga ndiyo watalazimika kama Taasisi kulinda heshima yao na ya Rais,watakubali sasa kuvunja mkataba bila mazonge waliyokuwa wqnamfanyia dogo.Feisal kurudi Yanga si rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…