Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

Umeandika ukweli ombi la Rais wa nchi hua ni amri hapo upende usipende lazima watekeleze tena bila kudai hata mia mbovu
Thamani ya Ardhi wanayoomba Yanga per square meter tena town, basi utakuwa ni kichaa kumganda Fei Toto.

Kwa sheria za Tanzania Ardhi ni Mali ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Mwenyewe naona ni ushamba uliopo
Alipozingua CR7 utd walimalizana nae kila mmoja akasepa kivyake. ..image ya utd imebakia na ya CR7 imebakia.
Yanga angevunja mkataba nakumuachia dogo aende zake or wangekaa mezani wakalipana kl moja asepe. ..inshu ilipo inaharibu images zao wote. ..yanga and Fei toto pia
 
Yanga simamia taratibu za mpira, Kama hawezi kuja na kuongea kumaliza suala yeye basi mkamalizane CAS.
Naona B ushungu anataka kupapasa makalio sasa...!
 
Mama na shangazi wanamtete mtoto wa baba, nawaza nje na hii michezo tu. Kuna uwezekana zanzibar wanaona kama wa bara wanawanyanyasa hivi.
 
Yanga inavuna ilichopanda. Hii tabia ya hizi timu kuwakumbatia wanasiasa lazima wawaachie harufu.
 
Usiturudishe nyuma, Feisal ndio kiburi hataki kukaa meza moja na Yanga.

Sasa exchange deal tutabadirishana naye kwa Ardhi ambayo ina thamani zaidi yake Feitoto.
 
Ulikuwa thamani ya Ardhi wanayoomba Yanga per square meter tena town, basi utakuwa ni kichaa kumganda Fei Toto.

Kwa sheria za Tanzania Ardhi ni Mali ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Mm sioni tatizo Yanga wakipewa eneo wajenge uwanja ila hii isiwe sababu ya kuachana na Fei.

Kwa hali livyo, Yanga kumng'ang'ania Fei ili kumkomoa hakuna maslahi yoyote kwa Club. Zaidi ya kuonyeshana tu kuwa mm ndo mm.
 
Tuwekeeni na picha za wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati.

Kina mama wajawazito wasio na dawa.

Wazee wastaafu wanaohangaikia mafao.

Tunapumbazwa tu .
 
Ah hamna kumuachia bure labda wampe nafasi ya mwisho ya kuvunja mkataba kwa kufata taratibu .
Serikali haihusiki na hili swala pia lazima sheria ziheshimiwe.
 
Unataka wahamie kwenye ukristo wahubiri Papa kuruhusu midume mmfirane huko

Hata huo Uislamu wenyewe wewe unatumiwa tu lkn wenzako wala siyo Waislamu kihivyo ni jina tu kuwadanganya ingekuwa ni Waislamu kweli wasingeruhusu Ushoga, …
 
Ficha ujinga wako,watanzania hawako hivyo.
 
Nchi isiyo na mafanikio yoyote yale yaliyo ya maana, kwenye nyanja yoyote ile, inaona timu kufikia fainali ya kakombe kaliko obscure duniani kuwa ni mafanikio?

Pity the fools.
Nini kufika fainali hata kwenda kupokea ile ndege yetu mupyaa pale JKN airport juzi ni bonge la mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…