Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Na wewe kwa nini umetumia vi emoji vitano kuelezea kicheko chako?Aisee...kwa nini wabongo ili msisitize kitu lazima mtumie english jamani🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani kimoja hakitoshi?
Ushamba tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe kwa nini umetumia vi emoji vitano kuelezea kicheko chako?Aisee...kwa nini wabongo ili msisitize kitu lazima mtumie english jamani🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi unajuwa kama Sepp Blater alikamatwa na serikali kwa mambo ya mpira?Inawezekana mpira unaufuatilia ukubwani, serikali hairuhusiwi kuingilia maswala ya kisheria ya mpira wa miguu kwa mujibu wa sheria za FIFA, ipo hivyo ina itabaki kuwa hivyo kwa mujibu wa FIFA hata kama kichwa chako ukikitia ugumu kuelewa.
Waliokuwa wanasema Yanga ni ya kwanza kufika fainali Mama anewapa jibu safi kuwa Simba ilishafika hapo miaka 30 iliyopita!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF).
Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Juni, 2023.
Rais wa TFF Wallace Karia akitoa salamu za Shirikisho hilo amemshukuru Rais kwa mwaliko wa leo.
View attachment 2647144
Wallace Karia, Rais wa TFFAmeipongeza timu ya Yanga kwa nafasi waliyofikia kwa kucheza fainali na kushinda mchezo wa mwisho hivyo kuiletea heshima Nchi.
Ushindi wa Yanga umeleta deni kubwa kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ambayo itacheza huko Algeria ili kufuzu michuano ya AFCON.
Shirikisho la Mpira litahakikisha mwakani timu zote 4 zinazoshiriki kimataifa zitafanya vizuri zaidi ikiwezekana kuchukua kombe.
Rais wa Yanga Eng. Hersi amemshukuru Rais kwa motisha aliyotoa, ilisababisha wavuke hatua ya mtoano, na kuongoza kwenye hatua ya makundi.
Hamasa ya Rais iliwapa hamasa vijana hao na kwa mara ya kwanza klabu kutoka Tanzania imevaa medali ya CAFCC.
View attachment 2647143
Eng. Hersi Said, Rais wa YangaEng. Hersi amesema Medali waliyovaa Rais Samia anastahili kuliko mtu mwingine yeyote. Vijana wa Yanga walipigana vita kubwa nchini Algeria, mchezo uligubikwa na kila aina ya vioja. Pamoja na hayo, vijana wa Yanga waliweza kushinda.
Amemuahidi Rais Samia kuendelea kuongeza idadi ya Makombe kwenye utawala wake na kwamba timu ya Yanga itakuwa ya kwanza kuleta kombe la Afrika Tanzania.
Ili kujenga uwanja wake, Hersi amemuomba Rais Samia kuwaongezea sehemu ya ardhi ya mtaa wa jangwani ili uwanja uwe mkubwa.
Naye Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amesema Rais Samia amesaidia sana kuleta hamasa. Jumla ya magoli 26 yamefungwa na Tsh. 190 Milioni imetolewa kama motisha.
View attachment 2647155
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis MwinjumaAmemshukuru Rais Samia kwa kutoa ndege, ni motisha na hamasa iliyotoa maana kuwa Serikali ilikuwa pamoja na timu ya Yanga.
Amewashukuru pia viongozi wa Yanga kwa kuendeleza maono ya waasisi wa klabu hiyo hivyo wanastahili heshima.
Utani wa jadi ni suala lenye manufaa makubwa sana katika kukuza michezo. Simba wanakataa mafanikio ya Yanga sababu ya utani wa jadi lakini moyoni wanayatambua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewapongeza timu nzima na upngozi wa Yanga wa kuitoa kimasomaso Tanzania.
Amemtambulisha Rubani Neema kwa kuileta ndege kubwa ya mizigo na kuifikisha salama kwenye ardhi ya Tanzania.
Mwanzoni mwa mashindano lilikuwa ni suala la timu binafsi lakini baada ya kufika hatua ya juu zaidi, Timu ya Yanga ililiwa inasimama kwa niaba ya Taifa.
Kufika fainali kwa Yanga kumerejesha heshima ya Tanzania, sasa nchi imerudi kwenye ramani ya michezo. Haikuwa rahisi kwa kuwa nchi nyingi zilitoa timu zao, sio jambo jepesi.
Amewaomba Viongozi na wadhamini wa Yanga kuendelea kutoa ari, motisha na hamasa kwa vijana kwa kuongeza maslahi yao.
Amesema mwaka 1993 timu ya simba ilifika pia hatua hii ya juu zaidi, sasa kinachotakiwa ni matayarisho na hamasa.
Timu yoyote itakayokuwa inawakilisha taifa kimataifa itakuwa timu ya kitaifa. Mambo ya utani wa jadi yaishie humu ndani maana mafanikio yanapotokea yatakuja Tanzania. Utaifa uwe mbele kuliko mengine.
View attachment 2647188
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu HassanTanzania inadhamiria kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027 pamoja na Uganda na Kenya hivyo ujenzi wa viwanja na kurekebisha vilivyopo uendelee.
Amewataka wafanyabiashara wa Sekta binafsi kuwekeza zaidi kwenye michezo kwani ni ajira, pia kwa kuwa Serikali imewaachia wafanye biashara kwa uhuru wanapaswa kurudisha kwa jamii.
Rais amesema huwa anafuatilia sana mashindano ya ndondo, mashindano yanayoibua vipaji vya timu ya taifa. Waandaaji wa mashindano hayo atawashika mkono ili waendelee kuibua vipaji hivyo kwa kuwa samaki hukunjwa akiwa bado mbichi.
Amevitaka vilabu kujipanga zaidi mwakani ili kombe hilo lije Afrika.
Pia, ameeleza kuwa hafurahii ugomvi ulipo kati ya Yanga na Feitoto na amewataka viongozi wa klabu hiyo kuumaliza mzozo huo.
Kwa sababu kidole kilistuck hapoNa wewe kwa nini umetumia vi emoji vitano kuelezea kicheko chako?
Kwani kimoja hakitoshi?
Iko hivi,Leo watalahi,wataondoka kesho asubuhi,na ndege,mkuu wa nchi kawapa ndege ya kuwapeleka mbeya,isiwe na shaka na Hilo mkuuHabari Wana Yanga Wenzangu, kiufupi na Mimi ni Yanga Die Hard
Sa hivi SAA Mbili Usiku wapo wanapiga Soga na Samia, wakitoka hapo wamechoka, wanaenda kuoga, wanaenda Airport hiyo lazima itakuwa at least SAA Sita usiku. Wanaruka na Ndege. Watafika wamechoka, kesho mechi na Mbeya City, Ijumaa na Prison, Jumatatu na Azam. Hili Fatique la kulazimishana tukutane Tanga Jumatatu.
Hiyo Jumatatu Azam watatupiga kama Ngoma. Nipo nimekaa Pale, tukishinda mniite Umbwa!!
BBC News, SwahiliHata huo Uislamu wenyewe wewe unatumiwa tu lkn wenzako wala siyo Waislamu kihivyo ni jina tu kuwadanganya ingekuwa ni Waislamu kweli wasingeruhusu Ushoga, …
Kiukweli mwanangu una mwandiko mbaya.Pamojq na kwamba mliiwakilisha nchi kwa kiasi chake na mkapewa zawadi kede kede mpka ndege mkapewa lakini bado club ya Yanga mna fedheha kubwa inawagubika na kuwaumbua . Dhana yangu ni nini Wakati Dr Samia Sulhu Hasanai yuko katika kuponya majeraha na kuondoa migogoro na makovu yaloachwa na mwenda zake kwenye taasisi mashirika na nchi mbalimbali nyinyi hamuyaoni matunda ya Raisi zaidi sana nyinyi ndio mnaku viongozi wapinzani dhidi ya Raisi . Leo Yanga sports club mmeabisha kama mmeelewa Dr samia suluhu alilolizungumza haiwezekani suala la Katoto kamoja ata kasiko na madhara kwa timu mnalicha mpk raisi analiingilia na kutoa tamko .Uongozi wa yanga hii ni aibu kubwa kwenu maaana kwa sasa hata mkienda kulitolea maamuzi suala la Feisal salumu kwenye club mtaonekana mmefanya sababu ya shinikizo la raisi kuwaambia mlimalizi mlishindwa kumaliza suala hili kabla hata ya raisi kuliingilia? Maamuzi mtakaoyafanya kwa sasa ni kuonesha dhahiri kua mlishindwa kujismamia mpaka kiongozi wa nchi awaambia hapa mnafanya makosa hili liwaandee Taasisi ,mashirika na watu binafsi wote tekelezeni wajibu wenu sio kila kitu mpka mkuu wa nchi atoe maamuzi kwenye mambo madogomadogo nia aibu inapotokea suala kama la leo kwa yanga Africa
Utakuwa umezoea kujitia kidole wewe.Kwa sababu kidole kilistuck hapo
Nchi isiyo na mafanikio yoyote yale yaliyo ya maana, kwenye nyanja yoyote ile, inaona timu kufikia fainali ya kakombe kaliko obscure duniani kuwa ni mafanikio?
Pity the fools.
Hivi unadhani huyu mama ni boya kama makolo?Waliokuwa wanasema Yanga ni ya kwanza kufika fainali Mama anewapa jibu safi kuwa Simba ilishafika hapo miaka 30 iliyopita!
Serikali gani iliyomtia hatiani? FIFA inajiendesha yenyewe mambo yake , hata US na EU ilitia ngumu World Cup isifanyike Russia na bado ikafanyika. Sasa Super kama US pamoja na washirika wake EU,ila kwa FIFA waligonga mwamba. FIFA kwenye mpira maamuzi yake huwaga ya mwisho, labda turudi kwenye zile tabia zetu za kuoneana huruma tuongee ila kisheria Rais hana mamlaka kwenye mpira wa miguu.Hivi unajuwa kama Sepp Blater alikamatwa na serikali kwa mambo ya mpira?
Wewe jizime data tu waulize kina Michael Wambura amenyooka sasa.
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Wakimaliza kula pilau hapo, wamepewa ndege iwapeleke mbeya leo kesho wanacheza kukamilisha mzunguko wa ligi halafu wanakabidhiwa kombe lao, baadae wataalikwa chamwino ikulu dodoma ili wakamuoneshe kombe la ubingwa yaani leo walienda kuonesha medali halafu chamwino ni kombe sasa
Umemkwaza vipi na ndio ukweli wenyewe.Kiukweli mwanangu una mwandiko mbaya.
Jaribu kuweka aya ili ueleleweke vizuri.
Samahani mkuu kama nitakua nimekukwaza.
Kama wewe ulivyochukua muda kunisoma na kuninukuu.Na wewe unachukua mda kujadili fools, very stupid
Anakunyakunya tu njia nzima.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bata Kapita hapa