Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntaharisha mpka mlangoni , wengi mnaumia sababu ni yangaAnakunyakunya tu njia nzima.
Usisahau kwamba kombe linatakiwa bungeni pia, kwahiyo bungeni ni lazima.Wakimaliza kula pilau hapo, wamepewa ndege iwapeleke mbeya leo kesho wanacheza kukamilisha mzunguko wa ligi halafu wanakabidhiwa kombe lao, baadae wataalikwa chamwino ikulu dodoma ili wakamuoneshe kombe la ubingwa yaani leo walienda kuonesha medali halafu chamwino ni kombe sasa
Ntaharisha mpka mlangoni , wengi mnaumia sababu ni yanga
Aisee kweli kabisa mie nikiwa constipated wala sijisumbui kukaza mishipa, najitia kidole mkunduni ili kimba litoke kiulaini zaidi. Ila leo nimepewa trick mpya kuwa ninywe maziwa mtindi inasaidia kulainisha choo so nitaanza fanya hivyoUtakuwa umezoea kujitia kidole wewe.
Maisha haya ......Iliyo niuma ni hiyo milioni mia moja tisini za motisha kwenye sekta ya burudani , lakini walio kwenye sekta ya huduma za jamii hawapewi hata mia zaidi ya kutukanwa na wakina mpwayungu wa jamii forums.
One day tutakutana kwenye kwenye ile bandari ya milele asubuhi ile ya milele kwenye haki iliyo haki kweli.
Fei ndio kashaondoka yanga🤣🤣🤣🤣 azam next season anachukua ndooMama huko anakoelekea siko, kama kaamua kutupongeza Yanga kwa mlo wa jioni. Atoe pongezi mengine yampite.
Yeye ni Raisi wa nchi na si Raisi wa mpira wa miguu, siasa zisiingie kwenye mpira. Mambo ya ndani ya soka awaachie wanaohusika. Yeye abaki kutoa motisha na kupongeza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF).
Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Juni, 2023.
Rais wa TFF Wallace Karia akitoa salamu za Shirikisho hilo amemshukuru Rais kwa mwaliko wa leo.
View attachment 2647144
Wallace Karia, Rais wa TFFAmeipongeza timu ya Yanga kwa nafasi waliyofikia kwa kucheza fainali na kushinda mchezo wa mwisho hivyo kuiletea heshima Nchi.
Ushindi wa Yanga umeleta deni kubwa kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ambayo itacheza huko Algeria ili kufuzu michuano ya AFCON.
Shirikisho la Mpira litahakikisha mwakani timu zote 4 zinazoshiriki kimataifa zitafanya vizuri zaidi ikiwezekana kuchukua kombe.
Rais wa Yanga Eng. Hersi amemshukuru Rais kwa motisha aliyotoa, ilisababisha wavuke hatua ya mtoano, na kuongoza kwenye hatua ya makundi.
Hamasa ya Rais iliwapa hamasa vijana hao na kwa mara ya kwanza klabu kutoka Tanzania imevaa medali ya CAFCC.
View attachment 2647143
Eng. Hersi Said, Rais wa YangaEng. Hersi amesema Medali waliyovaa Rais Samia anastahili kuliko mtu mwingine yeyote. Vijana wa Yanga walipigana vita kubwa nchini Algeria, mchezo uligubikwa na kila aina ya vioja. Pamoja na hayo, vijana wa Yanga waliweza kushinda.
Amemuahidi Rais Samia kuendelea kuongeza idadi ya Makombe kwenye utawala wake na kwamba timu ya Yanga itakuwa ya kwanza kuleta kombe la Afrika Tanzania.
Ili kujenga uwanja wake, Hersi amemuomba Rais Samia kuwaongezea sehemu ya ardhi ya mtaa wa jangwani ili uwanja uwe mkubwa.
Naye Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amesema Rais Samia amesaidia sana kuleta hamasa. Jumla ya magoli 26 yamefungwa na Tsh. 190 Milioni imetolewa kama motisha.
View attachment 2647155
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis MwinjumaAmemshukuru Rais Samia kwa kutoa ndege, ni motisha na hamasa iliyotoa maana kuwa Serikali ilikuwa pamoja na timu ya Yanga.
Amewashukuru pia viongozi wa Yanga kwa kuendeleza maono ya waasisi wa klabu hiyo hivyo wanastahili heshima.
Utani wa jadi ni suala lenye manufaa makubwa sana katika kukuza michezo. Simba wanakataa mafanikio ya Yanga sababu ya utani wa jadi lakini moyoni wanayatambua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewapongeza timu nzima na upngozi wa Yanga wa kuitoa kimasomaso Tanzania.
Amemtambulisha Rubani Neema kwa kuileta ndege kubwa ya mizigo na kuifikisha salama kwenye ardhi ya Tanzania.
Mwanzoni mwa mashindano lilikuwa ni suala la timu binafsi lakini baada ya kufika hatua ya juu zaidi, Timu ya Yanga ililiwa inasimama kwa niaba ya Taifa.
Kufika fainali kwa Yanga kumerejesha heshima ya Tanzania, sasa nchi imerudi kwenye ramani ya michezo. Haikuwa rahisi kwa kuwa nchi nyingi zilitoa timu zao, sio jambo jepesi.
Amewaomba Viongozi na wadhamini wa Yanga kuendelea kutoa ari, motisha na hamasa kwa vijana kwa kuongeza maslahi yao.
Amesema mwaka 1993 timu ya simba ilifika pia hatua hii ya juu zaidi, sasa kinachotakiwa ni matayarisho na hamasa.
Timu yoyote itakayokuwa inawakilisha taifa kimataifa itakuwa timu ya kitaifa. Mambo ya utani wa jadi yaishie humu ndani maana mafanikio yanapotokea yatakuja Tanzania. Utaifa uwe mbele kuliko mengine.
View attachment 2647188
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu HassanTanzania inadhamiria kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027 pamoja na Uganda na Kenya hivyo ujenzi wa viwanja na kurekebisha vilivyopo uendelee.
Amewataka wafanyabiashara wa Sekta binafsi kuwekeza zaidi kwenye michezo kwani ni ajira, pia kwa kuwa Serikali imewaachia wafanye biashara kwa uhuru wanapaswa kurudisha kwa jamii.
Rais amesema huwa anafuatilia sana mashindano ya ndondo, mashindano yanayoibua vipaji vya timu ya taifa. Waandaaji wa mashindano hayo atawashika mkono ili waendelee kuibua vipaji hivyo kwa kuwa samaki hukunjwa akiwa bado mbichi.
Amevitaka vilabu kujipanga zaidi mwakani ili kombe hilo lije Afrika.
Pia, ameeleza kuwa hafurahii ugomvi ulipo kati ya Yanga na Feitoto na amewataka viongozi wa klabu hiyo kuumaliza mzozo huo.
Serikali gani iliyomtia hatiani? FIFA inajiendesha yenyewe mambo yale , hata US na EU ilitia ngumu World Cup isifanyike Russia na bado ikafanyika. Sasa Super kama US pamoja na washirika wake EU,ila kwa FIFA waligonga mwamba. FIFA kwenye mpira maamuzi yake huwaga ya mwisho, labda turudi kwenye zile tabia zetu za kuoneana huruma tuongee ila kisheria Rais hana mamlaka kwenye mpira wa miguu.
Nenda ulale upigwe kamoja.Hivi unadhani huyu mama ni boya kama makolo?
Viongozi wa Simba wako pale amewapoza tu kwa kusema simba iliwahi kufika level ya Fainali na siyo Fainali ya Confederation cup.
Rais kashasema kwahiyo kaa kwa kutulia, chukueni hiyo 112M mpite kushotoAh hamna kumuachia bure labda wampe nafasi ya mwisho ya kuvunja mkataba kwa kufata taratibu .
Serikali haihusiki na hili swala pia lazima sheria ziheshimiwe.
Udhaifu kwa uongozi wa sasa ila FIFA ilivyojengwa haitakiwi kuingilia maswala ya kisiasa ya nchi yyt na ndio maana hata wao FIFA maamuzi yao hawataki serikali iingilie. Sema sasa hivi kuna udahaifu FIFA still US kama wamefanikiwa kuibana.upo sahihi kabisa. Lakini unalizungumziaje suala la fifa kuwasimamisha urusi?
Huyo aondoke tu, tulifika fainali bila yeye. Mpaka hapa akili, itakuwa imemkaa sawa.Fei ndio kashaondoka yanga🤣🤣🤣🤣 azam next season anachukua ndoo
Kama ninavyompiga mamako?Nenda ulale upigwe kamoja.