Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe.

Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima misaada kwa uzembe wa watu wachache sana sasa uzembe huo unaenda kutesa wananchi kwa vikwazo ambavyo tunaenda kuwekewa. Kumekua na kauli za sizitaki mbichi hizi lakini ukweli misaada ya nchi za magharibi tunaziitaji sana ndo maana Kombo waziri wa mambo ya nje alikua anazunguka kuweka mambo sawa.
Turudi kwa waziri wako huyu Katambi nafikiri angalia tena baraza lako la mawaziri ni kama kuna hujuma unafanyiwa kuongeza wewe kuchukiwa kwasababu wanaozijua wao binafsi. Suala la katambi kufungia mikutano ili suala linabomoa zaidi ya kujenga kwa kipindi hiki kweli waziri anazuia mikutano ya kisiasa tena
Kwa kuvunja katiba ya nchi tena ndani ya bunge ilo linatosha kumfukuza kazi huyo waziri wako. CCM sisi sio wa kuogopa chadema na ayo maangizo yametoka baada ya kuona mikutano ya chadema inajaza sasa ndo tuogope kukimbia kutoa matamko yanayovunja katiba? Tuache chadema wafanye siasa sisi kazi yetu tuandae watu wa kujibu hoja zao sio kukimbia kufungia mikutano katika kipindi hiki kigumu ambacho nchi zote za Magharibi zimetutolea macho huyu waziri ni kama anakufanyia hujuma.
 
Kwahiyo unahisi au unafikiri Kuna maamuzi yoyote yenye maslahi na serikali yakaptishwa na waziri peke yake .??

Muda mwingine hata kama hauelewi siasa ila be smart kuchanganua mambo
Wewe ndo mjinga mara ngapi Magufuli alikua anatengua kauli za mawaziri wake au Jk kipindi akiwa Rais mbona alikua anatengua kauli za mawaziri wake? Au ulikua mdogo sana kiufupi viongozi machawa sometimes utoa kauli ambazo hazina baraka ya mtu yoyote ni mtakwa yake binafsi kumfurahisha aliemteua ukikuta aliekuteua anajitambua anatengua kauli zako na wewe unaondoka
 
Katambi hana uwezo wa kuzuia mikutano pekee yake, ukiangalia ulikuwa mpango uliosukwa mapema.
Kama siku ile ya kumteua Samia kugombea alitokeza mbunge kutaka kauli ya serikali na ndio Katambi akapata pa kuharisha huo ujinga.
Dhahiri Katambi ànatumiwa tuu ni mwepesi na ndio maana aliteuliwa kuchukua nafasi ya Simbachawene.
Nyuma ya yote wapo Samia na mshauri wake mkuu Mwigulu Nchemba, ambao wanetishwa na mwitikio wa mikutano ya Chadema na 7/7 ijayo.d
 
Wewe ndo mjinga mara ngapi Magufuli alikua anatengua kauli za mawaziri wake au Jk kipindi akiwa Rais mbona alikua anatengua kauli za mawaziri wake? Au ulikua mdogo sana kiufupi viongozi machawa sometimes utoa kauli ambazo hazina baraka ya mtu yoyote ni mtakwa yake binafsi kumfurahisha aliemteua ukikuta aliekuteua anajitambua anatengua kauli zako na wewe unaondoka

We bwana sijui kama unaelewa hata nini tunajadili muda huu.!!

Kuna maamuzi ya aina mbili yenye maslahi na serikali na ambayo hayana.

Waziri peke yake hana uwezo wa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa kwa vyama vyote na akijua vyama vyote ili viendelee kuwa relevant vinahitaji hiyo mikutano ya kisiasa ya wazi.

Kwahiyo maamuzi sio yanaathiri opposition parties ila hata chama kinachoongoza serikali.

Kwahiyo hayo sio maamuzi ya MTU Mmoja kama waziri.

Ila kwakuwa watu uelewa wenu upo chini mnabaki kutokuelewa mambo
 
Petrobas Katambi azidi kuvichafua vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania kwa kushindwa kubaini wahalifu na kufungia vyama vinavyofanya shughuli halali
 
Wewe ndo mjinga mara ngapi Magufuli alikua anatengua kauli za mawaziri wake au Jk kipindi akiwa Rais mbona alikua anatengua kauli za mawaziri wake? Au ulikua mdogo sana kiufupi viongozi machawa sometimes utoa kauli ambazo hazina baraka ya mtu yoyote ni mtakwa yake binafsi kumfurahisha aliemteua ukikuta aliekuteua anajitambua anatengua kauli zako na wewe unaondoka
Hiyo ni amri kutoka Kwa rais
 
We bwana sijui kama unaelewa hata nini tunajadili muda huu.!!

Kuna maamuzi ya aina mbili yenye maslahi na serikali na ambayo hayana.

Waziri peke yake hana uwezo wa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa kwa vyama vyote na akijua vyama vyote ili viendelee kuwa relevant vinahitaji hiyo mikutano ya kisiasa ya wazi.

Kwahiyo maamuzi sio yanaathiri opposition parties ila hata chama kinachoongoza serikali.

Kwahiyo hayo sio maamuzi ya MTU Mmoja kama waziri.

Ila kwakuwa watu uelewa wenu upo chini mnabaki kutokuelewa mambo
Mda utazungumza
 
Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe.

Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima misaada kwa uzembe wa watu wachache sana sasa uzembe huo unaenda kutesa wananchi kwa vikwazo ambavyo tunaenda kuwekewa. Kumekua na kauli za sizitaki mbichi hizi lakini ukweli misaada ya nchi za magharibi tunaziitaji sana ndo maana Kombo waziri wa mambo ya nje alikua anazunguka kuweka mambo sawa.
Turudi kwa waziri wako huyu Katambi nafikiri angalia tena baraza lako la mawaziri ni kama kuna hujuma unafanyiwa kuongeza wewe kuchukiwa kwasababu wanaozijua wao binafsi. Suala la katambi kufungia mikutano ili suala linabomoa zaidi ya kujenga kwa kipindi hiki kweli waziri anazuia mikutano ya kisiasa tena
Kwa kuvunja katiba ya nchi tena ndani ya bunge ilo linatosha kumfukuza kazi huyo waziri wako. CCM sisi sio wa kuogopa chadema na ayo maangizo yametoka baada ya kuona mikutano ya chadema inajaza sasa ndo tuogope kukimbia kutoa matamko yanayovunja katiba? Tuache chadema wafanye siasa sisi kazi yetu tuandae watu wa kujibu hoja zao sio kukimbia kufungia mikutano katika kipindi hiki kigumu ambacho nchi zote za Magharibi zimetutolea macho huyu waziri ni kama anakufanyia hujuma.
Yaani wewe kweli unaamini mazafaka amejituma mwenyewe kusema alichosema? That’s above his pay grade. Trust me, the mazafaka is a mere messenger!
 
Utakuwa unayo matatizo wewe mwenyewe mleta mada.
Hii siyo mara yako ya kwanza, kumwomba huyo unayemwomba; hivi ni nani yako hasa kumwomba kila mara namna hii?

Wewe ni nani uwe unamwombamwomba kijuha namna hii.
Wewe ndiye unayejuwa uhusiano wake na huyo waziri wake kuliko yeye mwenyewe?

Najuwa siyo mara yangu ya kwanza kukustua juu ya uijnga wako huu. Huyo Samia unayemwita rais ulimchaguwa wewe?

Kwa hiyo rais wako huyo hutaki ahujumiwe?
 
huyu waziri ni kama anakufanyia hujuma.
Naomba msamehe bure, sio kweli kuwa huyu waziri anamhujumu bali huyu ni mmoja wa vile viazi mbatata vilivyomzunguka ambao hawamsaidii!

Ni viazi mbatata hivi ndio vimemtungia sheria mpya ya uchaguzi ambayo ni batili kwa kwenda kinyume na katiba ya JMT Je, wajua Muswada Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023 ni batili? Ni mvinyo wa zamani, kwenye chupa mpya? Why ubatili huu?

Ni viazi mbatata hawa, wametunga wameinyofoa NEC kwenye katiba na kuipachika INEC bila kufanya mabadiliko ya katiba, tukafanya uchaguzi batilifu kwa INEC huku kwenye katiba kuna NEC!, Mchakato wa kufanya mabadiliko madogo ya katoba needs just 30 days! PreGE2025 - Je, Wajua bila minimum Reforms za Katiba, Uchaguzi Mkuu wote utakuwa ni batili?Sababu,INEC,Katiba ya ZnZ na Sheria Mpya ya Uchaguzi Zote ni Batili

Kwa vile Chadema walitangaza NRNE, viazi hawa wakamtia kiburi bosi kuwa tukifanya reforms, Chadema watakula points 3 za mezsni hivyo wakaamua hakuna cha nywinyi ,nywinywi wala nywinywini na matokeo ndio kama vile.
Mimi niliandika makala
1782522975974.jpeg
Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?

Mbatata hawa sina hata uhakika kama magazeti wanasoma! The Voices From Within:Kilichotokea Oct. 29 Japo Anayeonekana ni Yeye Kumbe Si Yeye Kuna Watu Hawakutimiza Wajibu Wao Ndio Wamemponza, Tumsamehe Tuu?
P
 
Utakuwa unayo matatizo wewe mwenyewe mleta mada.
Hii siyo mara yako ya kwanza, kumwomba huyo unayemwomba; hivi ni nani yako hasa kumwomba kila mara namna hii?

Wewe ni nani uwe unamwombamwomba kijuha namna hii.
Wewe ndiye unayejuwa uhusiano wake na huyo waziri wake kuliko yeye mwenyewe?

Najuwa siyo mara yangu ya kwanza kukustua juu ya uijnga wako huu. Huyo Samia unayemwita rais ulimchaguwa wewe?

Kwa hiyo rais wako huyo hutaki ahujumiwe?
Hili ndo tatizo la JF kwanini hamtaki mawazo huru? Wewe huna mamlaka yoyote ya kunipangia nini cha kufanya mimi sio binadamu wa aina hiyo ya kuendeshwa endeshwa na watu so sio lazima uje kwenye uzi ambao unaona unakukela
 
Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe.

Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima misaada kwa uzembe wa watu wachache sana sasa uzembe huo unaenda kutesa wananchi kwa vikwazo ambavyo tunaenda kuwekewa. Kumekua na kauli za sizitaki mbichi hizi lakini ukweli misaada ya nchi za magharibi tunaziitaji sana ndo maana Kombo waziri wa mambo ya nje alikua anazunguka kuweka mambo sawa.
Turudi kwa waziri wako huyu Katambi nafikiri angalia tena baraza lako la mawaziri ni kama kuna hujuma unafanyiwa kuongeza wewe kuchukiwa kwasababu wanaozijua wao binafsi. Suala la katambi kufungia mikutano ili suala linabomoa zaidi ya kujenga kwa kipindi hiki kweli waziri anazuia mikutano ya kisiasa tena
Kwa kuvunja katiba ya nchi tena ndani ya bunge ilo linatosha kumfukuza kazi huyo waziri wako. CCM sisi sio wa kuogopa chadema na ayo maangizo yametoka baada ya kuona mikutano ya chadema inajaza sasa ndo tuogope kukimbia kutoa matamko yanayovunja katiba? Tuache chadema wafanye siasa sisi kazi yetu tuandae watu wa kujibu hoja zao sio kukimbia kufungia mikutano katika kipindi hiki kigumu ambacho nchi zote za Magharibi zimetutolea macho huyu waziri ni kama anakufanyia hujuma.
Huyo ni kobe juu ya mti. Kuna aliempandisha. Hakuna waziri aneweza kutoa matamko ambayo dhahiri yana ukakasi on his own will.. na kama alipewa maagizo basi kuna haja ya watu kuhoji uwezo wa serikali hii katika uendeshaji na usimamizi wa shughuli za msingi za serikali
 
Uko sawa kabisa
 
Back
Top Bottom