CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Kazi kweli Kweli 🤣Whatever fits the bill.
Wewe ni mmoja kati ya wale wapiga kura milioni 31+ mliomchagua ile Oktoba 29? Na vipi kama yeye ndiye aliyetoa agizo?Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe.
Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima misaada kwa uzembe wa watu wachache sana sasa uzembe huo unaenda kutesa wananchi kwa vikwazo ambavyo tunaenda kuwekewa. Kumekua na kauli za sizitaki mbichi hizi lakini ukweli misaada ya nchi za magharibi tunaziitaji sana ndo maana Kombo waziri wa mambo ya nje alikua anazunguka kuweka mambo sawa.
Turudi kwa waziri wako huyu Katambi nafikiri angalia tena baraza lako la mawaziri ni kama kuna hujuma unafanyiwa kuongeza wewe kuchukiwa kwasababu wanaozijua wao binafsi. Suala la katambi kufungia mikutano ili suala linabomoa zaidi ya kujenga kwa kipindi hiki kweli waziri anazuia mikutano ya kisiasa tena
Kwa kuvunja katiba ya nchi tena ndani ya bunge ilo linatosha kumfukuza kazi huyo waziri wako. CCM sisi sio wa kuogopa chadema na ayo maangizo yametoka baada ya kuona mikutano ya chadema inajaza sasa ndo tuogope kukimbia kutoa matamko yanayovunja katiba? Tuache chadema wafanye siasa sisi kazi yetu tuandae watu wa kujibu hoja zao sio kukimbia kufungia mikutano katika kipindi hiki kigumu ambacho nchi zote za Magharibi zimetutolea macho huyu waziri ni kama anakufanyia hujuma.
Katambi hana ubavu wa kufungua mikutano. Katambi katimwa na samiaKwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe.
Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima misaada kwa uzembe wa watu wachache sana sasa uzembe huo unaenda kutesa wananchi kwa vikwazo ambavyo tunaenda kuwekewa. Kumekua na kauli za sizitaki mbichi hizi lakini ukweli misaada ya nchi za magharibi tunaziitaji sana ndo maana Kombo waziri wa mambo ya nje alikua anazunguka kuweka mambo sawa.
Turudi kwa waziri wako huyu Katambi nafikiri angalia tena baraza lako la mawaziri ni kama kuna hujuma unafanyiwa kuongeza wewe kuchukiwa kwasababu wanaozijua wao binafsi. Suala la katambi kufungia mikutano ili suala linabomoa zaidi ya kujenga kwa kipindi hiki kweli waziri anazuia mikutano ya kisiasa tena
Kwa kuvunja katiba ya nchi tena ndani ya bunge ilo linatosha kumfukuza kazi huyo waziri wako. CCM sisi sio wa kuogopa chadema na ayo maangizo yametoka baada ya kuona mikutano ya chadema inajaza sasa ndo tuogope kukimbia kutoa matamko yanayovunja katiba? Tuache chadema wafanye siasa sisi kazi yetu tuandae watu wa kujibu hoja zao sio kukimbia kufungia mikutano katika kipindi hiki kigumu ambacho nchi zote za Magharibi zimetutolea macho huyu waziri ni kama anakufanyia hujuma.
Hapa naona udhaifu uko kwenye mamlaka ya uteuzi, unapopewa ushauri wa kijinga nawe ukaukubali ushauri huo wa kijinga wewe tukuite nani? Nakumbuka kesi ya ugaidi ya Mbowe iliundwa wakati wa JPM, alipelekewa na nbaada ya kuisoma aliwatukana sana watunzi wa kesi hiyo na kuwaambi hapa mnatafuta aibu mahakamani hakuna kesi hapa, jamaa wakaiweka kwenye kabati, baada ya Samia kuingia madarakani wakampelekea akasema haraka sana kamateni Mbowe mpelekeni Mahakamani na wote ni mashahidi jinsi akina Kingai walivyopata fistula kwa maswali ya dodoso ya Kibatala na mwishowe kwa aibu wakaiondoa kesi mahakamani. JPM pamoja na mapungufu yake mengine he was smart huwezi ukampelekea utopolo naye akajaa bila yeye mwenyewe kujiridhisha.Naomba msamehe bure, sio kweli kuwa huyu waziri anamhujumu bali huyu ni mmoja wa vile viazi mbatata vilivyomzunguka ambao hawamsaidii!
Ni viazi mbatata hivi ndio vimemtungia sheria mpya ya uchaguzi ambayo ni batili kwa kwenda kinyume na katiba ya JMT Je, wajua Muswada Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023 ni batili? Ni mvinyo wa zamani, kwenye chupa mpya? Why ubatili huu?
Ni viazi mbatata hawa, wametunga wameinyofoa NEC kwenye katiba na kuipachika INEC bila kufanya mabadiliko ya katiba, tukafanya uchaguzi batilifu kwa INEC huku kwenye katiba kuna NEC!, Mchakato wa kufanya mabadiliko madogo ya katoba needs just 30 days! PreGE2025 - Je, Wajua bila minimum Reforms za Katiba, Uchaguzi Mkuu wote utakuwa ni batili?Sababu,INEC,Katiba ya ZnZ na Sheria Mpya ya Uchaguzi Zote ni Batili
Kwa vile Chadema walitangaza NRNE, viazi hawa wakamtia kiburi bosi kuwa tukifanya reforms, Chadema watakula points 3 za mezsni hivyo wakaamua hakuna cha nywinyi ,nywinywi wala nywinywini na matokeo ndio kama vile.
Mimi niliandika makala View attachment 3616603 Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?
Mbatata hawa sina hata uhakika kama magazeti wanasoma! The Voices From Within:Kilichotokea Oct. 29 Japo Anayeonekana ni Yeye Kumbe Si Yeye Kuna Watu Hawakutimiza Wajibu Wao Ndio Wamemponza, Tumsamehe Tuu?
P
Naunga mkono hoja, JPM pamoja na kwamba hakuwa malaika, he was not stupid!.JPM pamoja na mapungufu yake mengine he was smart huwezi ukampelekea utopolo naye akajaa bila yeye mwenyewe kujiridhisha.
Ndo maana hakuna maamuzi yoyote anayazuia ....Sio kweli mkuu
Labda alipata habari kuwa kuna majambazi yanayoingia nchini kimchongo.Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe.
Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima misaada kwa uzembe wa watu wachache sana sasa uzembe huo unaenda kutesa wananchi kwa vikwazo ambavyo tunaenda kuwekewa. Kumekua na kauli za sizitaki mbichi hizi lakini ukweli misaada ya nchi za magharibi tunaziitaji sana ndo maana Kombo waziri wa mambo ya nje alikua anazunguka kuweka mambo sawa.
Turudi kwa waziri wako huyu Katambi nafikiri angalia tena baraza lako la mawaziri ni kama kuna hujuma unafanyiwa kuongeza wewe kuchukiwa kwasababu wanaozijua wao binafsi. Suala la katambi kufungia mikutano ili suala linabomoa zaidi ya kujenga kwa kipindi hiki kweli waziri anazuia mikutano ya kisiasa tena
Kwa kuvunja katiba ya nchi tena ndani ya bunge ilo linatosha kumfukuza kazi huyo waziri wako. CCM sisi sio wa kuogopa chadema na ayo maangizo yametoka baada ya kuona mikutano ya chadema inajaza sasa ndo tuogope kukimbia kutoa matamko yanayovunja katiba? Tuache chadema wafanye siasa sisi kazi yetu tuandae watu wa kujibu hoja zao sio kukimbia kufungia mikutano katika kipindi hiki kigumu ambacho nchi zote za Magharibi zimetutolea macho huyu waziri ni kama anakufanyia hujuma.
Hoja hazijibiki na iwezo wakujibu hapo ccm hamna,ingekuwa hivyo zingeanza kujibiwa za utekaji kabla ya mauaji ya kimbari ya oct29.Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe.
Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima misaada kwa uzembe wa watu wachache sana sasa uzembe huo unaenda kutesa wananchi kwa vikwazo ambavyo tunaenda kuwekewa. Kumekua na kauli za sizitaki mbichi hizi lakini ukweli misaada ya nchi za magharibi tunaziitaji sana ndo maana Kombo waziri wa mambo ya nje alikua anazunguka kuweka mambo sawa.
Turudi kwa waziri wako huyu Katambi nafikiri angalia tena baraza lako la mawaziri ni kama kuna hujuma unafanyiwa kuongeza wewe kuchukiwa kwasababu wanaozijua wao binafsi. Suala la katambi kufungia mikutano ili suala linabomoa zaidi ya kujenga kwa kipindi hiki kweli waziri anazuia mikutano ya kisiasa tena
Kwa kuvunja katiba ya nchi tena ndani ya bunge ilo linatosha kumfukuza kazi huyo waziri wako. CCM sisi sio wa kuogopa chadema na ayo maangizo yametoka baada ya kuona mikutano ya chadema inajaza sasa ndo tuogope kukimbia kutoa matamko yanayovunja katiba? Tuache chadema wafanye siasa sisi kazi yetu tuandae watu wa kujibu hoja zao sio kukimbia kufungia mikutano katika kipindi hiki kigumu ambacho nchi zote za Magharibi zimetutolea macho huyu waziri ni kama anakufanyia hujuma.
Mkuu mwenyewe ni zaidi ya kiazi mbatata!.Naomba msamehe bure, sio kweli kuwa huyu waziri anamhujumu bali huyu ni mmoja wa vile viazi mbatata vilivyomzunguka ambao hawamsaidii!
Ni viazi mbatata hivi ndio vimemtungia sheria mpya ya uchaguzi ambayo ni batili kwa kwenda kinyume na katiba ya JMT Je, wajua Muswada Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023 ni batili? Ni mvinyo wa zamani, kwenye chupa mpya? Why ubatili huu?
Ni viazi mbatata hawa, wametunga wameinyofoa NEC kwenye katiba na kuipachika INEC bila kufanya mabadiliko ya katiba, tukafanya uchaguzi batilifu kwa INEC huku kwenye katiba kuna NEC!, Mchakato wa kufanya mabadiliko madogo ya katoba needs just 30 days! PreGE2025 - Je, Wajua bila minimum Reforms za Katiba, Uchaguzi Mkuu wote utakuwa ni batili?Sababu,INEC,Katiba ya ZnZ na Sheria Mpya ya Uchaguzi Zote ni Batili
Kwa vile Chadema walitangaza NRNE, viazi hawa wakamtia kiburi bosi kuwa tukifanya reforms, Chadema watakula points 3 za mezsni hivyo wakaamua hakuna cha nywinyi ,nywinywi wala nywinywini na matokeo ndio kama vile.
Mimi niliandika makala View attachment 3616603 Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..?
Mbatata hawa sina hata uhakika kama magazeti wanasoma! The Voices From Within:Kilichotokea Oct. 29 Japo Anayeonekana ni Yeye Kumbe Si Yeye Kuna Watu Hawakutimiza Wajibu Wao Ndio Wamemponza, Tumsamehe Tuu?
P
Heshima ni kitu cha bure!, hata kama ni kweli, sio jina la Heshima kumuita mkuu wako!.Mkuu mwenyewe ni zaidi ya kiazi mbatata!.
"Sijakupangia" Nimekufahamisha ujinga wako ulipo.Hili ndo tatizo la JF kwanini hamtaki mawazo huru? Wewe huna mamlaka yoyote ya kunipangia nini cha kufanya mimi sio binadamu wa aina hiyo ya kuendeshwa endeshwa na watu so sio lazima uje kwenye uzi ambao unaona unakukela