Wewe ndo mjinga mara ngapi Magufuli alikua anatengua kauli za mawaziri wake au Jk kipindi akiwa Rais mbona alikua anatengua kauli za mawaziri wake? Au ulikua mdogo sana kiufupi viongozi machawa sometimes utoa kauli ambazo hazina baraka ya mtu yoyote ni mtakwa yake binafsi kumfurahisha aliemteua ukikuta aliekuteua anajitambua anatengua kauli zako na wewe unaondokaKwahiyo unahisi au unafikiri Kuna maamuzi yoyote yenye maslahi na serikali yakaptishwa na waziri peke yake .??
Muda mwingine hata kama hauelewi siasa ila be smart kuchanganua mambo
Wewe ndo mjinga mara ngapi Magufuli alikua anatengua kauli za mawaziri wake au Jk kipindi akiwa Rais mbona alikua anatengua kauli za mawaziri wake? Au ulikua mdogo sana kiufupi viongozi machawa sometimes utoa kauli ambazo hazina baraka ya mtu yoyote ni mtakwa yake binafsi kumfurahisha aliemteua ukikuta aliekuteua anajitambua anatengua kauli zako na wewe unaondoka
Hiyo ni amri kutoka Kwa raisWewe ndo mjinga mara ngapi Magufuli alikua anatengua kauli za mawaziri wake au Jk kipindi akiwa Rais mbona alikua anatengua kauli za mawaziri wake? Au ulikua mdogo sana kiufupi viongozi machawa sometimes utoa kauli ambazo hazina baraka ya mtu yoyote ni mtakwa yake binafsi kumfurahisha aliemteua ukikuta aliekuteua anajitambua anatengua kauli zako na wewe unaondoka
Mda utazungumzaWe bwana sijui kama unaelewa hata nini tunajadili muda huu.!!
Kuna maamuzi ya aina mbili yenye maslahi na serikali na ambayo hayana.
Waziri peke yake hana uwezo wa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa kwa vyama vyote na akijua vyama vyote ili viendelee kuwa relevant vinahitaji hiyo mikutano ya kisiasa ya wazi.
Kwahiyo maamuzi sio yanaathiri opposition parties ila hata chama kinachoongoza serikali.
Kwahiyo hayo sio maamuzi ya MTU Mmoja kama waziri.
Ila kwakuwa watu uelewa wenu upo chini mnabaki kutokuelewa mambo
Yaani wewe kweli unaamini mazafaka amejituma mwenyewe kusema alichosema? That’s above his pay grade. Trust me, the mazafaka is a mere messenger!Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe.
Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima misaada kwa uzembe wa watu wachache sana sasa uzembe huo unaenda kutesa wananchi kwa vikwazo ambavyo tunaenda kuwekewa. Kumekua na kauli za sizitaki mbichi hizi lakini ukweli misaada ya nchi za magharibi tunaziitaji sana ndo maana Kombo waziri wa mambo ya nje alikua anazunguka kuweka mambo sawa.
Turudi kwa waziri wako huyu Katambi nafikiri angalia tena baraza lako la mawaziri ni kama kuna hujuma unafanyiwa kuongeza wewe kuchukiwa kwasababu wanaozijua wao binafsi. Suala la katambi kufungia mikutano ili suala linabomoa zaidi ya kujenga kwa kipindi hiki kweli waziri anazuia mikutano ya kisiasa tena
Kwa kuvunja katiba ya nchi tena ndani ya bunge ilo linatosha kumfukuza kazi huyo waziri wako. CCM sisi sio wa kuogopa chadema na ayo maangizo yametoka baada ya kuona mikutano ya chadema inajaza sasa ndo tuogope kukimbia kutoa matamko yanayovunja katiba? Tuache chadema wafanye siasa sisi kazi yetu tuandae watu wa kujibu hoja zao sio kukimbia kufungia mikutano katika kipindi hiki kigumu ambacho nchi zote za Magharibi zimetutolea macho huyu waziri ni kama anakufanyia hujuma.
Wewe ni idealist .Mda utazungumza
Mazadaka?Yaani wewe kweli unaamini mazafaka amejituma mwenyewe kusema alichosema? That’s above his pay grade. Trust me, the mazafaka is a mere messenger!
Whatever fits the bill.Mazadaka?
Naomba msamehe bure, sio kweli kuwa huyu waziri anamhujumu bali huyu ni mmoja wa vile viazi mbatata vilivyomzunguka ambao hawamsaidii!huyu waziri ni kama anakufanyia hujuma.
Hili ndo tatizo la JF kwanini hamtaki mawazo huru? Wewe huna mamlaka yoyote ya kunipangia nini cha kufanya mimi sio binadamu wa aina hiyo ya kuendeshwa endeshwa na watu so sio lazima uje kwenye uzi ambao unaona unakukelaUtakuwa unayo matatizo wewe mwenyewe mleta mada.
Hii siyo mara yako ya kwanza, kumwomba huyo unayemwomba; hivi ni nani yako hasa kumwomba kila mara namna hii?
Wewe ni nani uwe unamwombamwomba kijuha namna hii.
Wewe ndiye unayejuwa uhusiano wake na huyo waziri wake kuliko yeye mwenyewe?
Najuwa siyo mara yangu ya kwanza kukustua juu ya uijnga wako huu. Huyo Samia unayemwita rais ulimchaguwa wewe?
Kwa hiyo rais wako huyo hutaki ahujumiwe?
Huyo ni kobe juu ya mti. Kuna aliempandisha. Hakuna waziri aneweza kutoa matamko ambayo dhahiri yana ukakasi on his own will.. na kama alipewa maagizo basi kuna haja ya watu kuhoji uwezo wa serikali hii katika uendeshaji na usimamizi wa shughuli za msingi za serikaliKwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe.
Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima misaada kwa uzembe wa watu wachache sana sasa uzembe huo unaenda kutesa wananchi kwa vikwazo ambavyo tunaenda kuwekewa. Kumekua na kauli za sizitaki mbichi hizi lakini ukweli misaada ya nchi za magharibi tunaziitaji sana ndo maana Kombo waziri wa mambo ya nje alikua anazunguka kuweka mambo sawa.
Turudi kwa waziri wako huyu Katambi nafikiri angalia tena baraza lako la mawaziri ni kama kuna hujuma unafanyiwa kuongeza wewe kuchukiwa kwasababu wanaozijua wao binafsi. Suala la katambi kufungia mikutano ili suala linabomoa zaidi ya kujenga kwa kipindi hiki kweli waziri anazuia mikutano ya kisiasa tena
Kwa kuvunja katiba ya nchi tena ndani ya bunge ilo linatosha kumfukuza kazi huyo waziri wako. CCM sisi sio wa kuogopa chadema na ayo maangizo yametoka baada ya kuona mikutano ya chadema inajaza sasa ndo tuogope kukimbia kutoa matamko yanayovunja katiba? Tuache chadema wafanye siasa sisi kazi yetu tuandae watu wa kujibu hoja zao sio kukimbia kufungia mikutano katika kipindi hiki kigumu ambacho nchi zote za Magharibi zimetutolea macho huyu waziri ni kama anakufanyia hujuma.
Uko sawa kabisaHuyo ni kobe juu ya mti. Kuna aliempandisha. Hakuna waziri aneweza kutoa matamko ambayo dhahiri yana ukakasi on his own will.. na kama alipewa maagizo basi kuna haja ya watu kuhoji uwezo wa serikali hii katika uendeshaji na usimamizi wa shughuli za msingi za serikali