Wewe ni mmoja kati ya wale wapiga kura milioni 31+ mliomchagua ile Oktoba 29? Na vipi kama yeye ndiye aliyetoa agizo?
 
Katambi hana ubavu wa kufungua mikutano. Katambi katimwa na samia
 
Hapa naona udhaifu uko kwenye mamlaka ya uteuzi, unapopewa ushauri wa kijinga nawe ukaukubali ushauri huo wa kijinga wewe tukuite nani? Nakumbuka kesi ya ugaidi ya Mbowe iliundwa wakati wa JPM, alipelekewa na nbaada ya kuisoma aliwatukana sana watunzi wa kesi hiyo na kuwaambi hapa mnatafuta aibu mahakamani hakuna kesi hapa, jamaa wakaiweka kwenye kabati, baada ya Samia kuingia madarakani wakampelekea akasema haraka sana kamateni Mbowe mpelekeni Mahakamani na wote ni mashahidi jinsi akina Kingai walivyopata fistula kwa maswali ya dodoso ya Kibatala na mwishowe kwa aibu wakaiondoa kesi mahakamani. JPM pamoja na mapungufu yake mengine he was smart huwezi ukampelekea utopolo naye akajaa bila yeye mwenyewe kujiridhisha.
 
Labda alipata habari kuwa kuna majambazi yanayoingia nchini kimchongo.
 
Hoja hazijibiki na iwezo wakujibu hapo ccm hamna,ingekuwa hivyo zingeanza kujibiwa za utekaji kabla ya mauaji ya kimbari ya oct29.
 
Mkuu mwenyewe ni zaidi ya kiazi mbatata!.
 
Hivi boss unajua kilo ya nyama mtaani ni tsh ngapi?. Ya samaki je?. Kama hujui utamshangaa Katabi. Ni nani asiyetaka kuilisha familia au kula vizuri?.
 
Hili ndo tatizo la JF kwanini hamtaki mawazo huru? Wewe huna mamlaka yoyote ya kunipangia nini cha kufanya mimi sio binadamu wa aina hiyo ya kuendeshwa endeshwa na watu so sio lazima uje kwenye uzi ambao unaona unakukela
"Sijakupangia" Nimekufahamisha ujinga wako ulipo.
Unamlilia kiongozi haramu amwajibishe waziri haramu anayetimiza maagizo ya serikali haramu; hapo wewe bado utakuwa unajitambuwa kuwa unazo akili timamu kweli?
 
Kwanini unaoomba wakati wewe ndo umemuajili? Unatakiwa umuagize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…