Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni
Rais Samia Suluhu amesema Takukuru wamefuta kesi 147 ambazo waliwabambikizia watu. Awataka Polisi kupunguza kesi za kubambikiza.

Chanzo: MwananchiUpadates

Usiombe ushindane Kutongoza Demu ambaye Askari Polisi nae anaitaka Mbunye yake ni lazima tu ama Rumande au Segerea kabisa kutakuhusu kwa Kubambikiziwa Kesi ya Kubaka au Kuuza Bangi au hata Ujambazi.

Heko sana Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuliona hili kwa Jicho la Kipekee kabisa na Kiumuhimu kwani kuna Watanzania Wenzetu wanaozea na hata Kufia Rumande na Magerezani kwa Kubambikiziwa Kesi na hawa hawa Mandata ( Mapolisi )
 
Kwahiyo kesi zote 147 zilikua za kuumiza watu wasiyo na hatia? kweli ngozi nyeusi hatupendani...yaani mtu anaona rahaa kwa mwenzie kupoteza rasilimali zake bila hatia yoyote.
Hizi kesi alikuwa anazisimamia marehemu kuumiza watanzania.
 
Waizi watarudi mitaani Tu enzi zake zimefika
tatizo ni ushahidi, mambo ya kuonea watu kupitia madaraka sio kabisa hata Mungu hapendi...kama mtu kaiba kweli toeni ushahidi mahakamani mtuhumiwa ahukumiwe kwa haki.
Karma ipo Mama anaijua ndo maana hataki yamkute!.
 
Inapofikia Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu anakishutumu chombo chake cha kupambana na kuzuia RUSHWA eti WANABAMBIKIZA watu kesi then we are in trouble.

It's OK kwa watu baki au upinzani kutumia hilo neno "KUBAMBIKIZA".

Lakini kwa RAIS?

TAKUKURU watakuwa wanafanya kazi katika mazingira gani?

TAKUKURU sasa watakuwa wanafanya kazi ya MAHAKAMA pia?

Mtu hatakamatwa sasa mpaka TAKUKURU izungumze na MAHAKAMA kama watamtia hatiani huyo mtu au kundi.

Kutoa lugha ile hadharani ina maana 3.

1. Hajui anachokifanya

2. Anataka watu fulani waliotuhumiwa au kutiwa hatiani waachiliwe na kurudishiwa mali zao.

3. Anataka kuiua TAKUKURU.
 
Tambueni zama na nyakati tuliomo!

Rais Samia ni anahamaisha haki kutolewa kwa wakati bila excuses zozote kama kucheleshwa kwa upelelezi wa mashauri n.k

Iwapo mtu anakutwa na hatia mahakamani sheria ichukue mkondo wake ktk kuhukumu kama adhabu au kuachiwa huru.
 
Aaaha watu walizoea maisha ya mtu aliyekuwa anawapandisha vyeo wanajeshi, polisi na usalama, anawasifia majukwaani, anawapa mishahara minono ili waendelee kumlinda maana ndiyo sekta pekee aliogopa, huyu mama nadhani anahofu ya Mungu.
 
Kuna watu waliwekwa ndani kwa chuki binafsi tu na husuda!

Mtu akionekana kuwa na mali kiasi basi anachukuliwa kuwa fisadi.

Upelelezi sasa miaka chungu nzima! [emoji57][emoji57]
 
Inapofikia Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu anakishutumu chombo chake cha kupambana na kuzuia RUSHWA eti WANABAMBIKIZA watu kesi then we are in trouble.
Mama anafanya vizuri sana baada ya baba kuamur haohao mahakama na takukuru wafanye yasio wahusu.

Labda useme anacho kifanya mama, kinafanya watoto wake tuone baba alikuwa wa aina gani.

tulia mkuu mama apige kazi.
 
Imarisheni namna yenu ya kufanyakazi na ktk namna yenye misingi ya haki.

Mjue kuchambua ukweli wa mambo na kuepuka majungu, husuda, fitina n.k

Iwapo mtaendekeza hayo mtaharibu kazi lakini mkitanguliza dhamira njema na facts around the cases pamoja na sheria hakika kazi yenu itakuwa njema sana.

Na kushirikiana na ofisi ya DPP na mahakama kufanya tathmini regularly kujua progress, strengthens na weakness na kufanya continues improvement mtalisaidia sana Taifa hili na kulinda rasilimali za Umma pasipo kumuonea mtu yeyote.

Ni ushauri tu!
 
Inapofikia Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu anakishutumu chombo chake cha kupambana na kuzuia RUSHWA eti WANABAMBIKIZA watu kesi then we are in trouble....
Rais anachofanya ni kusema ukweli... tatizo la wengi ma wafuasi wa mwenda zake ukweli kwao ni kosa kubwa. Hakuna anaejua yaliyokuwa yananatokea kama Mh. Rais, ameamua kuachana na hayo.
 
Kuna test nyingi sana ana fail. Umeme unakwenda siku 3 haupatikani, Magufuli miaka mitano ya kwake hukuwahi kusikia shida kama hii ya umeme, bila kusikia kiongozi akitamka neno.
 
Kuna watu waliwekwa ndani kwa chuki binafsi tu na husuda!

Mtu akionekana kuwa na mali kiasi basi anachukuliwa kuwa fisadi.

Upelelezi sasa miaka chungu nzima! [emoji57][emoji57]
Kama Hilo analijua basi afanye maamuzi awatoe kulalamika kama sisi wananchi sio sawa
 
Back
Top Bottom