GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hizi kesi alikuwa anazisimamia marehemu kuumiza watanzania.Kwahiyo kesi zote 147 zilikua za kuumiza watu wasiyo na hatia? kweli ngozi nyeusi hatupendani...yaani mtu anaona rahaa kwa mwenzie kupoteza rasilimali zake bila hatia yoyote.
tatizo ni ushahidi, mambo ya kuonea watu kupitia madaraka sio kabisa hata Mungu hapendi...kama mtu kaiba kweli toeni ushahidi mahakamani mtuhumiwa ahukumiwe kwa haki.Waizi watarudi mitaani Tu enzi zake zimefika
Toka huko,,MAMA anaongelea haki kutendeka wewe unaongelea wezi kurudi..waache warudi moto watauonaWaizi watarudi mitaani Tu enzi zake zimefika
Mama anafanya vizuri sana baada ya baba kuamur haohao mahakama na takukuru wafanye yasio wahusu.Inapofikia Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu anakishutumu chombo chake cha kupambana na kuzuia RUSHWA eti WANABAMBIKIZA watu kesi then we are in trouble.
Rais anachofanya ni kusema ukweli... tatizo la wengi ma wafuasi wa mwenda zake ukweli kwao ni kosa kubwa. Hakuna anaejua yaliyokuwa yananatokea kama Mh. Rais, ameamua kuachana na hayo.Inapofikia Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu anakishutumu chombo chake cha kupambana na kuzuia RUSHWA eti WANABAMBIKIZA watu kesi then we are in trouble....
Kama Hilo analijua basi afanye maamuzi awatoe kulalamika kama sisi wananchi sio sawaKuna watu waliwekwa ndani kwa chuki binafsi tu na husuda!
Mtu akionekana kuwa na mali kiasi basi anachukuliwa kuwa fisadi.
Upelelezi sasa miaka chungu nzima! [emoji57][emoji57]
Dingi yako angekuwa ndani kwa kesi ya kutunga usingeongea huu upuuzi hapaInapofikia Rais wa nchi na amiri jeshi mkuu anakishutumu chombo chake cha kupambana na kuzuia RUSHWA eti WANABAMBIKIZA watu kesi then we are in trouble...