The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Na wewe umefanya kipi cha maana? Yule mliyemuita chuma alifanya nini cha maana kwenye maji?Hii nchi ya ajabu sana mpaka leo tunasingizia mvua Mungu katupa maarifa na vyanzo lakini bado tunakaa na kumuachia atufanyie kila kitu kweli nchi yenye kupata mvua kila mwaka lakini tunashida zilezile hivi ukija mwaka tukapata ukame tu si tutakuwa tunakutana maofisini tunazidiana kunuka tu. Kuna nchi nyingi duniani hawapati mvua lakini hawana shida ya maji sababu wametumia maarifa kuweza kujikimu sisi tumebweteka sana na Rehma za Mungu hatutaki kufikiri nje ya box.
Ishu ni pesa sio maji.Inashangaza mikoa inayozunguka maziwa makuu kama ule wakusambaza maji toka ziwa Victoria Shinyanga mpaka Tabora maji yanasua sua. Mwanza, baadhi ya vitongoji vinapata vingine havipati wiki ya tatu sasa, wananchi wa Magu poleni sana.
Ni sawa na unauliza kwanini watu wanapewa vibali kujenga maeneo ya wazi ya michezo na kupumzika?Kwa nini walitoa Kibali cha kuanzisha kilimo maeneo ambayo haifai?
Maji yanaishia baharini,vuneni badala ya kuleta blaa blaa zenye mlengo wa wivu..Kama ni kweli basi kuna watu hawana huruma kabisa na maisha ya mamillion ya wenzao kwa maslahi madogo sana
Wewe unaweza ku make difference kwenye jamii iliyokuwa corrupt ?Ni sawa na unauliza kwanini watu wanapewa vibali kujenga maeneo ya wazi ya michezo na kupumzika?
Au kwanini karakana ya mwendokasi ilijengwa Jangwani eneo linalofurika maji ya mto?
Jibu: Wahusika kwenye taasisi mbali mbali za serikali hawana sifa za kukalia nafasi zao sababu ya elimu, ujuzi au rushwa.
Mazao yao yaliwe na madumadu.Yule mzee alietangulia ataomba dua mazao yao yawe madumadu
Kuna watu wakija kufa wataenda motoni moja kwa moja bila kusimamishwa njiani wala reception ya jehanamu. Wanawatesa watanzania sana.Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa.
Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro ni kutokana na Ukame uliosababisha kina cha Maji ya Mto Ruvu kupungua Kina chake.
Mheshimiwa Rais Samia kuna Mteule wako Mmoja huko Mkoa wa Pwani ana Shamba Kubwa halina Mfano na Mabwawa Sita ya Kufuga Samaki aina ya Sato na Sangara ambapo nae ameyachepusha Maji ya Mto Ruvu na kutusababishia sasa akina GENTAMYCINE tutoke na Ndoo zetu Tegeta hadi Mbagala Kuu kutafuta hii Precious Liquid ( Water ) ili tusinuke hovyo 'Vikwapa' na 'Vizalisha Binadamu' vyetu vya Kutukuka.
Wadadisi Sie hatudanganyiki hovyo.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume, adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi etc.
GENTAMYCINE vumilia sindano ikuingie.Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa.
Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro ni kutokana na Ukame uliosababisha kina cha Maji ya Mto Ruvu kupungua Kina chake.
Mheshimiwa Rais Samia kuna Mteule wako Mmoja huko Mkoa wa Pwani ana Shamba Kubwa halina Mfano na Mabwawa Sita ya Kufuga Samaki aina ya Sato na Sangara ambapo nae ameyachepusha Maji ya Mto Ruvu na kutusababishia sasa akina GENTAMYCINE tutoke na Ndoo zetu Tegeta hadi Mbagala Kuu kutafuta hii Precious Liquid ( Water ) ili tusinuke hovyo 'Vikwapa' na 'Vizalisha Binadamu' vyetu vya Kutukuka.
Wadadisi Sie hatudanganyiki hovyo.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume, adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi etc.
Free corruption society begins with you.Wewe unaweza ku make difference kwenye jamii iliyokuwa corrupt ?
Jehanamu na mbinguni ni hapa hapa mekuKuna watu wakija kufa wataenda motoni moja kwa moja bila kusimamishwa njiani wala reception ya jehanamu. Wanawatesa watanzania sana.
Mama Tanzania analiwa kila kona. Mungu tunusuru na balaa hili la viongozi mchwa.Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa.
Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro ni kutokana na Ukame uliosababisha kina cha Maji ya Mto Ruvu kupungua Kina chake.
Mheshimiwa Rais Samia kuna Mteule wako Mmoja huko Mkoa wa Pwani ana Shamba Kubwa halina Mfano na Mabwawa Sita ya Kufuga Samaki aina ya Sato na Sangara ambapo nae ameyachepusha Maji ya Mto Ruvu na kutusababishia sasa akina GENTAMYCINE tutoke na Ndoo zetu Tegeta hadi Mbagala Kuu kutafuta hii Precious Liquid ( Water ) ili tusinuke hovyo 'Vikwapa' na 'Vizalisha Binadamu' vyetu vya Kutukuka.
Wadadisi Sie hatudanganyiki hovyo.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume, adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi etc.
🤣🤣🤣 sio mtafaruku pia atakuw kaitia hasara serikal kwa kumpandisha helicopter bure bure🤣🤣Kabsa sababu atakua amesababsha mtafaruku kweny jamii
Kumbe unakuwa na akili mkuu, nisisikie unasema sjui 'kina kimeshuka' 'ooh ukame'....kuna mpaka vimipira flani vya rubber vidogo vidogo vinatupiwa kwenye bwawa vinaelea juu, halafu vinazuia evaporation. Serikali inashindwa kuinvest kwenye technology bei cheee kama hiyo?Mchina wa mboga mboga alikuwa anasingiziwa tuu..
Mwisho kama maji ya mtu huo hayaruhusiwi kufanyia shughuli za kilimo ielwzwe tuu watu wajue ila vinginevyo sioni kosa lao maana hayi maji yanaishia baharini..
Serikali inafanya uzembe tuu kwa nini wao wasichimbe mabwawa yao makubwa ya kuhifadhi maji ya matumizi badala yake watafute kisingizio kwa wawekezaji?
Wakija walete watulie.Na natisha Kweli halafu najiamini sana