Kwisha huyoVikosi vimeongezwa hadi 20 pamoja na drone ila hadi sasa hawajafanikiwa
Israel hana uwezo na hawezi kufikiria kumgusa Iran official yeyote.Unadhani Israel ni wajinga! Kisasi hicho! Hamas sasa wanalo
Wakati wanahaha na kuzika Rais wao! Rafah inasafishwa! Achana na IsraelIsrael hana uwezo na hawezi kufikiria kumgusa Iran official yeyote.
We unadhani officials wa Iran sawa na makamanda wa Lebanon!?
Israel hawezi maana that means to a full war escalation.
Punguza makasiriko, kwisha huyoWatu wanashangaza kweli.
Hii ni ajali kama ajali zingine,Israel hahusiki.
Mnadhani rais wa Iran sawa na wanamgambo wa Lebanon ama makamanda wa Lebanon?
Fikirieni makamanda wa IRGC tu walipouawa Syria Iran alifanya massive strikes je akiguswa kiongozi itakuaje!?
Punguzeni kuropoka.
Naona unaropoka baada ya kushiba makande hapo nyumbani.Wa
Wakati wanahaha na kuzika Rais wao! Rafah inasafishwa! Achana na Israel
Kijana quote wengine sijadili na vilaza.Punguza makasiriko, kwisha huyo
Yule Muhammad Reza na shoga yake walioliwa vichwa pale ubalozini Syria walikuwa sungusungu sio?Israel hana uwezo na hawezi kufikiria kumgusa Iran official yeyote.
We unadhani officials wa Iran sawa na makamanda wa Lebanon!?
Israel hawezi maana that means to a full war escalation.
Pole! Kwisha huyo! Raffah sasa ndiyo mpango mzima. Bye Bye HamasNaona unaropoka baada ya kushiba makande hapo nyumbani.
Pia waonekana mweupe kwa masuala ya mashariki ya kati,ngojea nikuache nisijipotezee muda.
Mu Iran sio mwaarabu muwe mnajifunza mambon mengine hapo sawa na kumwita mnyakyusa MtusiMwarabu akifa hakuna hasara
Kwisha huyoKijana quote wengine sijadili na vilaza.
Ulikuwa unamaanisha nini kuandika "Conformed"Conformed: One terrorist Eliminated .
Muhammed Reza alikua Shah wa mwisho kabla ya kufanyika mapinduzi 1978.Yule Muhammad Reza na shoga yake walioliwa vichwa pale ubalozini Syria walikuwa sungusungu sio?
Taarifa zinaonekana kuwa unclear.
Maana vyombo vingine vyasema moja wapo ya helicopter ya msafara wa raisi imetua vibaya na kupata ajali kutokana na hali mbaya ya hewa.
Na haijathibitika kama rais alikuwemo humo.View attachment 2994109
Hii haihusiki na Israel.Israel ana mkono mrefu sana
Kwahiyo wewe unaweza kumfananisha General Mwakibolwa ( kabla hajastaafu) na Nape Nnauye?Muhammed Reza ni kiongozi mkubwa katika serikali!?
Nazungumzia viongozi kama rais,waziri n.k n.k.
Pia umeona kwa wanajeshi tu kuuliwa hapo ubalozini Syria Iran imefanya shambulio kubwa Israel ambalo mataifa zaidi ya matatu yamesaidia kulizima.
Sasa pata picha aguswe kiongozi
mkubwa wa serikali pimia majibu yatakuaje,kama wanajeshi tu wanalipiwa kisasi.
Huu ugunduzi wako ni ugunduzi uchwara.nimegundua tukio lolote likitokea iran huwa lina beba attention kwa watu wengi duniani