Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Ww si ndo uliye tuambia kuwa Israel imewazunguka viongozi wa hamas kwenye hospital ya Alshifa?
 
Maziko ni lini na Saa ngapi huko / kule Iran Mkuu?
 
Mnao mpaka walimu wa kuwafundisha ushoga mashuleni , Kunywa bia tu ukianguka watu waje na visu vyao wajilie nyama
Mashoga wako wa Dini zote hata huko Peponi kuna Pombe na Mashoga kwahiyo uskonde sana kiviile.
 
Reactions: K11
On behalf of the Government and People of the United Republic of Tanzania, I wish to convey our deepest condolences to the Government and People of the Islamic Republic of Iran for the tragic death of His Excellency Ebrahim Raisi, President of the Islamic Republic of Iran. We join you in mourning the loss of your leader, and wish you strength and comfort during this difficult time.
 
On behalf of people of Tanganyika??

Mie sijamtuma. Ajisemee mwenyewe.

Aseme tu, MIMI BIBI KIZIMKAZI natoa pole kufuatia Kifo cha Ayatolla. BASI.

Haya mambo ya ON BEHALF, kukariri kariri tu.

ON BEHALF of BICHWA KOMWE, mnipage na hela hizo basi, mseme ON BEHALF OF TANGANYIKA namkabidhi BICHWA KOMWE MILIONI MIA SITA NA NUSU.

Nimechoshwa na hizi ON BEHALF zisizo na manufaa ya kiuchumi.

Cc: Lamomy dronedrake Mzee wa kupambania Extrovert mshamba_mwingine Poor Brain Depal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…