Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Kwa maswali yako haya tu inaonyesha wewe ndio ukapime akili. Hujui kitu yaani
Suala la kwenda mbinguni ni mtu yoyote aliyesawa mbele za Bwana.
Na ukisema waliouliwa na hamas kwa nini hakuwakingia kifua wasife, ni hivi Mungu ni mtakatifu hachangamani na visivyo vya kiMungu. Wale vijana walifanya party ya miziki ya kidunia wakampa shetani nafasi yakuwashambulia.
Na vita ya kupigania hatima unaweza kupoteza chochote
 
Marehemu Mzee Ayatula alikuwa Basha Bazi mpenda Vijana wadogo.

Mzee Ayatula akila Denda na Mtoto mdogo 👇
 
Nimeamini majinni hayana nguvu mbele ya hali ya hewa iliyoumbwa na Mwenyezi Mungu
 
Hizi ni hadithi tu kama ya Juma na Roza wanasoma kitabu au Sungura alimdanganya Tembo akakanyaga moto 🔥 hamna kitu hapo ni dogma tu hizo.
 
Asanteni sana BBC ( English Version ) kwa Kuichambua vilivyo Helicopter iliyofanya yake Jana. Kutwa tu Kupanga Mashambulizi dhidi ya Taifa Teule la Mungu la Israel huku ukiwasaidia Hamas na ukiungana na Lebanon, Syria na Yemen Kuishambulia Israel wakati Helicopter yako imeshazeeka na Kununua mpya kumekushinda.

Yaani kabisa uhusike katika Kulihujumu Taifa Teule na Mungu Israel halafu eti LAANA yake Mwenyezi Mungu isikupate?
 
Israel ni noma. Mimi nilishangaa walipowatwanga watoto wote wa Ismail Haniy kiongozi wa Hamas. Walijuaje wale ni watoto wake?
Dada wa Ismail Haniya ni Raia wa Israel na anahudumiwa kila kitu na Serikali ya Israel, kaka yake ndio kichwa ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…