Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Israeli iliogopa kujibu mashambulizi ya iran huo ndo ukweli. Hayo mengine mnayo tuletea hapa ni stori za kahawaWataalamu wameshafanya yao, haiwezekani ukaishambulia Israel kukaponyoka.
Na kawaida vyombo vyote vikubwa idara ya usalama wa taifa kurugenzi ya ndani na kurugenzi ya mambo ya nje huwa hawakubali wala kukataa kama wao wanahusika.
Nia ni kuwaweka adui katika sintofahamu kwani vyombo hivyo vya kijasusi vikukubali kuhusika huwa unampa adui wapi wajitafakari hawakuwa makini
Hawa wavaa misalaba akili zao kama msalaba, wamedanganywa kweli eti Israel taifa la Mungu, sijui wameitoa wapi hio hata bibilia ya Paulo haikusema Israel ni nchi ilikuwa inamuongelea Yakobo. Israel simeundwa na muingereza 1948 😄Muhammed Reza alikua Shah wa mwisho kabla ya kufanyika mapinduzi 1978.
Unamzungumzia Muhammed Reza yupi??
Nazungumzia viongozi kama rais,waziri n.k n.k.
Pia umeona kwa wanajeshi tu kuuliwa hapo ubalozini Syria Iran imefanya shambulio kubwa Israel ambalo mataifa zaidi ya matatu yamesaidia kulizima.
Sasa pata picha aguswe kiongozi
mkubwa wa serikali pimia majibu yatakuaje,kama wanajeshi tu wanalipiwa kisasi.
Ipo mkuu mbona mie nimeiona!?Nimeangali vyombo vikubwa vya habari hii taarifa haipo.
UNACHOKOZA ISRAEL UNATEGEMEA NINI🤣Imethibitishwa kuwa raisi wa Irani alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.
Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah Al-Hashem waziri wa mambo ya nje ya Iran Hossein Amir-Abdollahian.
Sawa naomba iwe ni kweli Israel kafanya vile ndio utaifahamu IranMkuu moja ya mbinu anayotumia Israel dhidi ya Iran ni kufanya mauaji ya wanasayansi na viongozi.
Muache huyo kashiba makande kwa shemeji yake.Sawa naomba iwe ni kweli Israel kafanya vile ndio utaifahamu Iran
Hawa kujua hilo?Hii haihusiki na Israel.
Maana eneo linaloelezwa ajali kutokea huwa sio zuri kwa usafiri wa helikopta.
Teknolojia Sasa hivi ziko juu sana wabobezi waweza tengeneza mvua kama Ile ya Lowasa aliyetaka wa Thailand watengeneze Tanzania na ma nchi yakiyoendelea kivita kutengeneza Hali ya hewa mbaya ni kitu kidogo sanaImethibitishwa kuwa raisi wa Irani alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.
Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah Al-Hashem waziri wa mambo ya nje ya Iran Hossein Amir-Abdollahian.
Kwa hiyo yeye hajapata ajari?Imethibitishwa kuwa raisi wa Irani alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya hewa.
Wengine waliokuwa kwenye helicopter hiyo ni pamoja na Governor wa East Azarbaijan, Ayatollah Al-Hashem waziri wa mambo ya nje ya Iran Hossein Amir-Abdollahian.
Ungesema hapa Pana mkono wa Mungu juu ya wateule wake!Mhhhh
Hapa kuna wa Israel kabisaa
Sisi wayahudi weusi TunaSema don’t mess with Israel
Iran sio waarabuMwarabu akifa hakuna hasara
😄 Hakuweza kumuona Yahya Sinwar akatengeneze mawingu kwenye border ya Iran na Azerbaijan, labda mawingu ya kishoga 😄Teknolojia Sasa hivi ziko juu sana wabobezi waweza tengeneza mvua kama Ile ya Lowasa aliyetaka wa Thailand watengeneze Tanzania na ma nchi yakiyoendelea kivita kutengeneza Hali ya hewa mbaya ni kitu kidogo sana
Iran wamechokoza nyuki Wacha wawaume.Unarusha kweli makombora Israel kuwa waweza pigana naye haya Sasa .Hali ya hewa mbaya hiyo watafute hiyo helicopter
Inshallah kama huyo Raisi na wenzie watakuwa hai