Kufikia hapo sina la ziada.
Kwahiyo hakuna umuhimu wa wanawake ktk maisha ya mwanaume???
😂😂😂 em nijibu tafadhari.
Binadamu wanaishi kwa kutegemeana, hata ukwepe vipi ila huo ni mfumo wa asili tunamba 7 ✔️
na sio kwa kumtegemea mwanamke tu bali amtegemea mwanadamu yoyote basi amelaaniwa na amefili tayari
RC Mtaka kapiga kwenye mshono.
Narcissistic personality disorder
Narcissistic personality disorder is a mental health condition in which people have an unreasonably high sense of their own importance.
They need and seek too much attention and want people to admire them. People with this disorder may lack the ability to understand or care about the feelings of others.
Hata km bado kuna mwanamke nyuma, hadi mwanaume kuwa hivyo. 😂😂😂
Yeah binadamu tunategemeana sana ,binafsi mimi michongo mingi huwa wananiunganishia wanawake, hivyo bado naona umuhimu wao mkubwa sna
Kiasi fulani naweza onekana kama nakosea, ila binafsi mimi kujipenyeza kwa kumtumia mwanamke naona ni rahisi sana kwa upande wangu😃Umuhimu mkubwa hapo ndipo unakosea.
Binadamu wanaishi kwa kutegemeana, hata ukwepe vipi ila huo ni mfumo wa asili tu
Hakuna mwanaume bila mwanamke, wakatae wakubali,
Bila mwanamke, hata wao wasingezaliwa, na kuanza kuropoka ropoka hovyo hapa.
Google’s mission is to organize the world's information and make it universally accessible and useful.Uliwahi kujiuliza ni lini utatumia Akili zako bila kutegemea Google?
Wanawake wana mchango mkubwa wa kumrudisha nyuma mwanaume kimaendeleo. Nyuma ya kila mwanaume aliyefilisika kuna mwanamke au kundi la wanawake. Ni watu ambao akikununulia boxer ya Tsh 5000/= lazima ahakikishe unakuja kumnunulia kitu cha laki au zaidi. Majuzi nimemgombeza sana mwanamke wangu alivyonitaarifu chumvi imeisha. Karibia tuachane.Kapiga kwenyewe.
Wanawake wenye mchango kwa wanaume ni wachache Sana wengi wao asilimia 99 ni destructors.
Humu ndani utawaona tuu. Bahati nzuri ni wengi hivyo sio wakitafuta
Bila mke wako ungeweza vipi kujenga familia?wanadamu tunasaidiana na sio kutegemeana,neno kutegemea ni kwamba bila yeye huwezi