Watanzania wote tunaonekana hatujasoma,,na tunashangilia upumbavu,kila Rais anayekuja tunashangilia,tunaimba nyimbo za kusifu,tunaabudu,hii yote ni njaa na uchu wa madaraka,hatuwez kujikomboa kwa hali hii,tunahangaika na mambo ya awamu ya tano lakini ukiangalia awamu ya sita hata kipofu anaona juu ya matumizi mabaya ya fedha za wananchi.
Yanatokea madudu washa yanashangilia utumbo,any way time will tell,kama ndo mbinu ya kutafuta sympathy kwa wananchi,kuwasahaulisha jambo lililopo kwa sasa la mfumuko wa bei wa vitu mbalimbali you are a fool!