Acheni kumsingizia marehemuWale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe.
Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
Mnalazimisha njano Kua nyeusi, hii ripoti ya CAG ni ya mwaka gani?Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe.
Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
Ni kweli mkuu kuna aibu inayokuja maana mwaka 2023 hakutakuwa tena na ripoti ya cag kwa mwaka 2021 awamu ya tano bado ikiwa madarakani.Ndo srrkali ya bibiyenu inajificha kwenye koto la Magufuli! Eti 97.5% ni hati safi! Upigaji saizi unafunikwa ili aonekane mama anafanya kazi! Ila hana kitu! Mfano hata ACT WAZALENDO naona wanachambua kwa kuegemea awamu ya tano! Ila mda wa kumsingizia kila kitu utaisha na ndo mtakapokaa uchi!
Kila siku huwa nasema mambumbumbu waliobatizwa maneno ya wanyonge huku wanashangilia ndio walikuwa wanaliwa na hayana akili..Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe.
Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyeweView attachment 2187904
Mama anajitahidi Sana kubadili sheria mbovu Ili kuzuia upigaji,pili naona wezi wakipandishwa kizimbani.Report za CAG wa awamu ya 7 ndiyo zitakuwa kufuru, maana zitajikita kwenye madudu ya awamu ya 6.
Hiyo misele tu ya Mama yenu ni kichomi.
Mkuu, tumpe mama muda, Samia kaipokea nchi ikiwa imeharibika kimfumo, utawala wa sheria uliwekwa kampuni, Sasa mama anayafufua mambo yote na kuyaboreshaWatanzania wote tunaonekana hatujasoma,,na tunashangilia upumbavu,kila Rais anayekuja tunashangilia,tunaimba nyimbo za kusifu,tunaabudu,hii yote ni njaa na uchu wa madaraka,hatuwez kujikomboa kwa hali hii,tunahangaika na mambo ya awamu ya tano lakini ukiangalia awamu ya sita hata kipofu anaona juu ya matumizi mabaya ya fedha za wananchi.
Yanatokea madudu washa yanashangilia utumbo,any way time will tell,kama ndo mbinu ya kutafuta sympathy kwa wananchi,kuwasahaulisha jambo lililopo kwa sasa la mfumuko wa bei wa vitu mbalimbali you are a fool!