SIngle mother wengi hawataki kuolewa ila ni kiherehere tu ndo cha vijana ndo maana mwishoni vijana ndo hutoa mlio baada ya kuingia kwenye mahusiano na single mothers.
Kama hawataki kuolewa, kwanini sasa wanalalamika kubaguliwa na wanaume kwenye kuolewa?

Hakuna kiumbe asietaka kuoa/kuolewa.

HUMAN NATURE.
 
Yapasa ujitoe akili kuoa single maza, yaani uanze kulea bao la mwanamume mwenzako si usenge huo
Mapenzi yana nguvu Mkuu, ila ndio hivyo wanawake wenyewe hawana msimamo tu.

Laiti kama Single mother wangekuwa wanajielewa basi wangekuwa wanaolewa sana, maana wana experience ya maisha kuwazidi wasiokuwa na watoto.

SOLUTION NI WAWE NA MISIMAMO NA UPENDO KWA WENZA WAO WAPYA.
 
Muwatie mimba mkimbie mkimaliza mje huku kuwasimanga nyie watu wenye makoromeo ya mapambo mna mambo pmbv zenu
Mkuu kwanini unatujumuisha wanaume wote lakini? Wengine hatujawahi kuzaa nje na wala hatuna mpango huo.

Wanawake Jitunzeni.
 
Kwani hao single mothers huwa wanajibebesha mimba wenyewe?
Wanaume tunaangalia Past ya mwanamke, kwahyo jitunzeni Mkuu.

Ukijitunza hautoleta makasiriko hata siku moja.

Ukibeba mimba niwewe ndio mwenye kupoteza zaidi kuliko mimi Mwanaume, kwahyo usijitetee kwa hoja hiyo Mkuu.

JITUNZENI...
 
Mkuu Kosa ni kosa tu! Hajajitunza kwahyo anakosa.

Unaposema walijibebesha mimba wenyewe unakosea, maana maadili ya kitanzania na kidini hayaruhusu mtu kuzaa nje bila kuolewa.

UNAWEZAJE KUMZALIA MTU AMBAE HAJAKUOA.?

Kuzaa nje ni moja ya Malipo ya uzinzi.
 
Je alizaa kwa kujiingilia mwenyewe!? Ni kweli ni kosa lakini tusiwasakame sababu sisi ndio waingiliaji, ila kesi hiyo haionekani saana sababu sisi hatutembei na kidhibiti(ujauzito)

Hoja haikuwa kwamba hawajakosea, hoja ni kuwa tusiwasakame sababu huwa tunakosea nao...
Dhambi ya uzinifu tunaifanya wote, hata mwanaume kuwa na mtoto kabla ya ndoa ilipaswa kuwa jambo lisilopendeza, unakuwa na mtoto na hujaoa mama yake, iwe fedheha kwako.
 
Kama hawataki kuolewa, kwanini sasa wanalalamika kubaguliwa na wanaume kwenye kuolewa?

Hakuna kiumbe asietaka kuoa/kuolewa.

HUMAN NATURE.
Kwenye hii Forum search malalamiko single mothers halafu utaona kuna single mothers wangapi wameleta mada.
 
siku hizi wanasema x amekwenda.!
 
Hahaha binadamu wanatofautiana Mkuu.

Usiwatenge kiasi hicho
Generally wapi hivyo. Hata mimi nilikuwa mbishi sana. Nikampata mmoja kwanza ni faita, mcha Mungu, mumewe aliachana muda mrefu, mtoto mmoja tu. Nikaona nimepata mke mwenye experience hapa. Aaagh nilivyoanza kumla na akajiona kwamba siwezi kupindua, akaanza visa, mara baba nani hata nikimwambia leo unanirudia, mara yeye marafiki zangu wengi ni wanaume. Pumbaaavu
 
Una hoja,usikilizwe mkuu
 
Hii haikubaliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…