Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

Hebu eleza: Kombe alileta tatizo gani hata akauawa? Kifo chake hadi leo sijakipatia ufafanuzi.
Mkuu hiyo stori ndefu, lakini clearly ndani ya Idara hakutengeneza a sound working machinnery, na alihisiwa kuegemea sehemu fulani ya upinzani: Mrema.
 
Akauawa kwa hilo? Sasa naamini kweli kuna 'civilized' na 'uncivilized' countries!
Boss, kweli wewe mtoto wa juzi, tumetoka mbali sana.
Mrema alikuwa moti wa kuotea mbali.
Ilibidi Mwalimu aingilie kati kumzima kisiasa.
Wakati huo ulikuwa wa Mkapa ambaye Mwalimu alikuwa na kazi ya zuada kumnadi.
 
Tuendelee kupiga ramli chonganishi, ila ukweli unabaki pale kuwa mtu alikuwa kipenyo kutokea Police hakufaa kuongoza idara maana yeye hajawahi chakata taarifa yeyote nzito zaidi yeye alikuwa akiripoti na kutuma taarifa na zinaenda kuchakachuliwa
 
At least umeandika kitu.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 

Watu wambea khaaaa!!!
 
Kazi zao sio kuchukua hatua, wao ni kusema nini kimetokea au kinaenda kutokea chenye hatari, wanapeleka taarifa kwa wanasiasa, ndio watajua nini cha kufanya.
Tuseme kwa mfano zikitokea fujo za kiwango cha juu yuko mahali au bar; yeye ananyanyuka kwenye kiti kwenda kupiga simu Polisi
 
Tuseme kwa mfano zikitokea fujo za kiwango cha juu yuko mahali au bar; yeye ananyanyuka kwenye kiti kwenda kupiga simu Polisi
Sheria inakataza kufanya law enforcement... maana yake hawawezi kutoka ofisini wakasema wanaenda kumkamata Lema!

Kwa taarifa tu, kukamata mtuhumiwa ni kazi ya mtu yoyote, hata wewe unaruhusiwa kukamata mtu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…