Masoro mtu wa kigoma MWANDIGA kwao ZITTO KABWE na kwao SELUKAMBA . Ni sehem wanapotokea watu wakorofi sana, wabishi na wajuaji mno.Bibi anajaza wazanzibar kwenye idara nyeti.
Kwao ni KigomaNi mtoto wa kutoka Bwejuu.
Nakipataje
Rudia tena kusoma nilichoandika bwana Mpwayungu.Idara ya usalama wa taifa ya marekani nayo inaitwa TISS [emoji15][emoji15][emoji15]
Unajua kuwa ZbrHivi unajua vizuri wewe Tanganyika!
Kule Zanzibar unajua wajeshi wengi ni kutoka bara.
Wewe unamsemea Edgar Hoover ambae hakuwa Chief Spy wa CIA huyo alikuwa mkuu wa FBIInasemekana DG wa CIA (ambae mpaka sasa ndo DG aliekaa miaka mingi kwenye kiti kuliko yeyote- alipata fununu kuwa Rais Kennedy anataka kumreplace! Jamaa kutetea kiti chake akamla kichwa. Na hii ikafanya Marais wote waliokuja baada ya Kennedy kumwogopa jamaa! Alafu jamaa wanasema alikuwa mtu wa upinde
Nani hoover ?Inasemekana DG wa CIA (ambae mpaka sasa ndo DG aliekaa miaka mingi kwenye kiti kuliko yeyote- alipata fununu kuwa Rais Kennedy anataka kumreplace! Jamaa kutetea kiti chake akamla kichwa. Na hii ikafanya Marais wote waliokuja baada ya Kennedy kumwogopa jamaa! Alafu jamaa wanasema alikuwa mtu wa upinde
Ya ila nimechanganya taasisi ni FBI sio CIANani hoover ?
Afisa wa ubalozi ndo balozi mdogo? Wa shushushu mstaafu?View attachment 2468455
Hussein Masoro ndani ya TISS:
Masoro alikuwa U1 (Anapokea taarifa za wakurugenzi wote na kuzichakata kisha kumpatia DG ili ampatie Rais)
Then, akapelekwa China kuwa Balozi mdogo.
Aliporejea, akawa DAP (Director of Administration and Personnel).
Akapanda na kuwa Kaimu Mkurugenzi (DDGIS); kabla ya kuteuliwa na Rais Samia kuwa DGIS.
Ana uzoefu mkubwa ndani ya Idara na kuna uwezekano mkubwa akaifanyia transformation ya maana (akiamua).
Nje ya TISS:
Masoro kwa asili, ni mtu toka mkoa wa Kigoma.
Kibanda mahiti = kibanda maiti !!Nahisi ni Nasoro inaonekana wamekosea makusudi kuandika Masoro ili tusihoji kama ni kutoka kibanda mahiti kule chake chake
kimatire ni kamdudu kenye gome gumu lenye madoamadoa hushambulia sana sana kahawaKimatire ndiyo nini?
Ni conspiracy theories tu mpaka sasa hakuna ushahidi kamili waliohusika ni nani !!Kwa nini CIA walimuua Kennedy?
Kwa nini pia unaamini CIA ndio waliomuua Kennedy? Upo huo ushahidi?
Shukrani mkuu.Kibanda mahiti = kibanda maiti !!
Watz wengine hovyo. Wanafananisha CIA na huku kwetu🤣Zile nchi zimeendelea sana, actually hayo mashirika makubwa kama CIA na FBI watendaji wakuu ni Deputy na Assistant Directors. Huku bado sidhani kama tumefika huko, kwanza deputy ukipiga kazi sana utaonekana unataka kazi ya bosi 🤣🤣🤣
TISS nayo ina mission gan bwana wewe acheni kuikuza kuliko uhalisia.!.Kwani unafikiri mission za TISS zote rais anajua!?
Codes hizo mzee utazifungua ukifanikiwa kuvaa suti nyeusiNdugu na mchepuko wa rco aliyezaa na mchungaji shemeji wa rpc jirani na rc.
Description gani hizi???
hao ndio wazalendo halisi kufa kwao kwa ajili ya nchi sio kazi, wengine walevi tu!Kuna faida gani nchi kuongozwa na wabeba silaha Kama marekani,ambayo imeingizwa vitani kupitia wahuni wanaovuta nyuzi(strings) za za hayo magenge ya wabeba silaha (jeshi/intelligence agencies)
Hao wa marekani hawafi kwa ajili ya nchi,wanafia maslahi ya mabeparihao ndio wazalendo halisi kufa kwao kwa ajili ya nchi sio kazi, wengine walevi tu!