issenye
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 3,788
- 5,217
- Thread starter
- #21
Swali; nyie ndio mnamiliki vyombo vyote vya usalama na vya sheria, mnsjus kuwa mwenyekiti wa chadema amefanya haya yote. Kwanini mpaka leo hamjamchukulia hatua za kisheria? au yeye yuko juu ya sheria?Hapo kasema ukweli mtupu Maana yeye ndo miongoni mwa maboss wa Askari wao wa CCM hivyo anawajua vizuri weredi wao. Kwahiyo Mimi naamini alichokisema na ndo uhalisia.
Zitto aliutaka uenyekit wa chadema akafukuzwa Chama.
Ben sanane aliutaka uenyekit wa Chama akapotea mpaka leo.
Tundu lissu aliutaka uenyekiti wa Chama akapigwa na vitu vinavyosadikika ni risasi.
F. SUMAYE aliutaka uenyekiti wa Chama akaambiwa kuwa Sumu haionjwi kwa usalama wa maisha yake akaamua kujiweka pembeni na kuchomoka kwenye himaya za mtia Sumu.
Swali; kwanini Kila anaeutaka uenyekiti wa Chama CDM anapatwa na matatizo Ni ipi Siri iliyopo Hapo nyuma?
Je nikweli Mbowe Ni kibaraka wa serikali kwamba hawezi kutoka kwenye kile kiti kwa masilahi ya Taifa?