johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huko duniani hawatumiagi risasi tena zimepitwa na wakati!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ni mzee baba alituma kukundi chake cha wauaji kwani Lissu aligusa ubadhirifu kwenye madini unaofanywa na mzee baba akaona amfutilie mbali.Lissu itakuwa alipigwa risasi na Wadeni wake au alikua anachukua wake za watu, ndiyo hayo matatizo kajisababishia!!
Kwahiyo ukiwa mhalifu kipindi cha kampeni huhojiwi? mbona kuna wagombea mmewaweka ndani kipindi hiki? na Kwanini muogope mhalifu kulalamika kama mna uhakika katenda huo uhalifu?Ulitaka waanze kumuhoji na kampeni hizi si atalalamika! Halafu usitumie tuli mi sihusiki wewe acha kuwa na akili mgando..
Matukio mengine yanahitaji muda.. tunajadili hatima ukifata process hutaelewa kamwe.
Mkuu tusichoshane na mi siwezi wapangia kazi hao wahusika wao wanajua utaratibu wao by the way upelelezi wao huenda bado wanaufanya hivyo subiri hitimisho na sio process kuwa muelewa..Kwahiyo ukiwa mhalifu kipindi cha kampeni huhojiwi? mbona kuna wagombea mmewaweka ndani kipindi hiki? na Kwanini muogope mhalifu kulalamika kama mna uhakika katenda huo uhalifu?
Ni kweli,huyu jamaa ni kipanga kweli kweli.Lissu itakuwa alipigwa risasi na Wadeni wake au alikua anachukua wake za watu, ndiyo hayo matatizo kajisababishia!!
Huyu mama nilikuwa namuona kama MTU kumbe ni mbunye tu kama mbunye za sinza!
Mna mawazo duni sana !!. Hayo yafanyike na uchunguzi usifanyike !!??. Wiki moja baadaye igp atangaze kufunga upelelezi wa jambo hilo ?!. Basi hatuna vyombo vya dola !!Hapo kasema ukweli mtupu Maana yeye ndo miongoni mwa maboss wa Askari wao wa CCM hivyo anawajua vizuri weredi wao. Kwahiyo Mimi naamini alichokisema na ndo uhalisia.
Zitto aliutaka uenyekit wa chadema akafukuzwa Chama.
Ben sanane aliutaka uenyekit wa Chama akapotea mpaka leo.
Tundu lissu aliutaka uenyekiti wa Chama akapigwa na vitu vinavyosadikika ni risasi.
F. SUMAYE aliutaka uenyekiti wa Chama akaambiwa kuwa Sumu haionjwi kwa usalama wa maisha yake akaamua kujiweka pembeni na kuchomoka kwenye himaya za mtia Sumu.
Swali; kwanini Kila anaeutaka uenyekiti wa Chama CDM anapatwa na matatizo Ni ipi Siri iliyopo Hapo nyuma?
Je nikweli Mbowe Ni kibaraka wa serikali kwamba hawezi kutoka kwenye kile kiti kwa masilahi ya Taifa?
Ndio mke wako alisema Lissu anamkula..?Lissu itakuwa alipigwa risasi na Wadeni wake au alikua anachukua wake za watu, ndiyo hayo matatizo kajisababishia!!
Huyo alipigwa na risasi za wawindia ndege,Hao wadeni wake baadae wakaenda kun'goa CCTV
Lakini kabla ya shambulizi hao jamaa ambao walichukuliwa wake zao walihakikisha walinzi wote hapo Area D wanaondolewa amaa kweli hao watu wananguvu serikalini
Mama amenogewa na maisha ya kwenye kiyoyozi.
Aibu naona mimi. Amepoteza credit nyingi sn kwa hilo.Huyu mama Kuna kitu amekionja