Yaani kwa jinsi mambo yalivyo na kwa nafasi yake kama Mama wa Kiislam akiwa na headscarf muda wote angepumzika siasa mbaya ili kujitenga na upande huo. Lakini yeye anafikia hatua ya kukejeli wananchi wake waliopatwa na maswaibu....nimesikitika sana!
Kwakweli (samahani hapa wanawake/akina mama); hivi huwa baadhi yenu mnawezaje kutoa mimba na au kutupa kichanga chooni???
Hata kama alipigwa na majambazi au CHADEMA wenyewe Kwanini basi kukejeli Utukufu na Uwezo wa Mungu kumponya binadamu mwenzio???
Mbona viongozi wetu mmejawa na viburi na kejeli nyingi kwa raia wenu wapole hawa mnawataka nini lakini??
So video has been watched by many and yes we have now concluded of your innermost character.
May God heal our country and the people within it who are being squeezed unnecessarily.