Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kwel Allah amesema kweli "Mashetwani wapo watu na majini pia
Mimi huwa nawaangalia tu, wanaosema et wale jamaa waliomshambulia Lissu walitumwa na Magufuli kumuua Lissu[emoji848].
Sniper au commando anaeaminika na mkuu wa nchi na intelejensia nzima, ATUMWE KUTEKELEZA MAUAJI ya mtu mdogo asiejua lolote katika swala zima la kujihami Kama lissu, pamoja na Yale mazingira wanayojaribu kutuaminisha, ambayo yanarahisisha kabisa mission, et apige risasi 16, zote zimpate mguuni[emoji44]? Jamani hebu tuweni serious kidogo [emoji23][emoji23].Mama Samia Yuko sawa, Kwa mazingira mepesi Kama yake risasi MOJA TU INGETOSHA.
Huu mchezo ni wa chadema hukohuko, tujiulize kwanini kila mtu atakae onyesha nia ya kuutaka uenyekiti, lazima yamkute mazito?? Kunzai kwa Zitto, Ben sanane, Chacha wangwe, sumaye , Lissu...?