Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna chuki mbaya kama kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzaniCHADRMA mna siasa za chuki na kibaguzi sana
Unaelewa taratibu mno!Ni hivi,wanaweza wakawa walikuwa nje ya viunga vya bunge huku wakimsubiri lisu!Lissu alipotoka bungeni wakahakikisha kuwa ni yeye ndiye kapanda kwenye gari na kaka upande upi!Baada ya hapo wakalifuatilia gari kwa nyuma mpaka kwenye makazi yake ambapo ndipo aliposimama na wakafanya shambulizi hapo hapo!So ndio,walimwaga risasi upande aliokaa Lissu bila kumuona kakaaje!Ndio maana walimwaga risasi nyingi ili kuongeza chance ya kumuua!Picha ya gari baada ya shambulizi ipo mtandaoni,itafute uone!Huwezi kumuona mtu aliyeko ndani ya gari kwa tint ile!Nadhani umeelewa!Kwamba walikua wanamwaga njugu bila kujua aliekuepo ndani ni nani ila walikua wakifahamu tu kama hii gari inayokuja ni ya lissu.na kwamba hata lisu asingekuepo ndani kulingana na tinted zilizokua bado wasingejua kuna nani ndani point ni kua hii gari ni yalisu ilivyofika mahala stahili wakamwaga njugu sindio mkuu au nimekosea kukuelewa?
Ameambikizwa ushetani na mchepuko wake RC wa zamaniHuyu Mama wa hovyo sana .
Sana yaani kachemka vibaya sana...duh kweli mambo uyaonavyo kumbe sivyoHuyu mama hapo kakosea.
Jimboni kwa Spika Ndungai kupo hovyo hakuna mfanoNi kweli hakuna maendeleo na hata majimbo ya ccm ndio kabisa yamechoka yakachakaa
Mama yenu wewe na nani?usije ukajumlisha ni mama wa Watanzania ukanijumuisha na mimi mama yangu hawezi kuwa taahira kama huyu.Mama yetu Samia tuna kuheshimu sana jizuie ulimi wako usinene yasiyo haki au ushalewa sifa kuwa u mweupe na u mzuri ?
Mama yako anakipi Cha ziada, kinachofanya ukashifu mama wa wengine, kwa kumuita taahira😂?Mama yenu wewe na nani?usije ukajumlisha ni mama wa Watanzania ukanijumuisha na mimi mama yangu hawezi kuwa taahira kama huyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani hivi bado Chadema hamuelewi kwamba Lissu alipigwa Risasi kwasababu ya nafasi ya Mwenyekiti 😀😀😀😀😀😀😐Tumwambie tu huyu mke wa Coplo wa zimamoto kuwa wauaji waliowatuma kumuua Lissu hawakumkosa, walimpata, walimimina zaidi ya 30, na zote zililenga pale pale anapokaa Lissu kwa upande wa ndani. Hongera huyo askari kaiva kwenye shabaha.
Mliwatuma wakatekeleza maelekezo.
Ila hata siku moja shetani hajawahi kumzidi Mungu!
Nilikuwa nakuona ww mama mstaarab umekaa kimya haufungamani na hao wenzako, kumbe ulikuwa umeficha makucha, Lissu mliyomtwanga marisasi ya kutosha Mungu akasema no, huyu mtu ni mpango wangu, ni lazima aishi! Mna roho mbaya sana ninyi watu, sijui mwanamke gan ww, hukuzaa??
=======
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.
Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.
''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".
Zile tetesi kwamba huyu mama mpuuzi ni form four failure zinaanza kuwa na mantiki.
=======
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.
Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.
''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".
Hata Kikwete sio msafii ?Ukikaa na shetani na wewe utakuwa shetani
Hakuna aliemsafi ndani ya CCM
Kwa iyo Chadema wapange kumuua, Serikali wagome kuchunguza, Magufuli atoe maagizo kwa ndugai kukataa kulipia Matibabu na mwisho CCTV camera kwenye eneo la tukio zitolewe na bunge la ndugai wamvue ubunge Lissu!!Kwa akili yako, mission ya kuuwa inayotolewa na kiongozi mkuu wa nchi, Kama mbavyotaka kutuaminisha, anatumwa police officer😂? Mnapenda kuchukulia vitu easy sana.Risasi 38, kukiwa hakuna ulinzi wowote, gari umesimama commando ashindwe kukuuwa 😂😂😂, huyo alikuwa ana winda ndege labda.
NB Ingekuwa Ni agizo kutoka juu, Kama mnavyodai, na kwa mazingira ya tukio, Hali ingekuwa tofauti kidogo.Wachunguzane tu hukohuko ndani ya Chama Chao.
Kwa siku ile alienda kumtembelea hispital ilikuwa ni unafiki sio?
=======
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni mgombea mwenza wa kiti cha urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.
Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.
''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".
Inawezekana Lisu alimchukua mke wa Meko, kama sababu ni kuchukua wake za watuHao wadeni wake baadae wakaenda kun'goa CCTV
Lakini kabla ya shambulizi hao jamaa ambao walichukuliwa wake zao walihakikisha walinzi wote hapo Area D wanaondolewa amaa kweli hao watu wananguvu serikalini