Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Please Mama Samia tulikuona upo neutral una roho ya kimama ya huruma! Maneno hayo yanatoka kweli kinywani mwako????
Hiki ni kipimo tosha kuona Lissu kuwa anakera - anatuhumu serikali kutaka kumuua bila kuwa na ushahidi wa kutosha!. Mpaka mama wa watu yamemfika hapa! Kumbuka mama Samia alikwenda hata Nairobi kumjulia hali!
 
Astakafirullah Huyu mama kapatwa na nini yaani tulikuwa tunamwona mtu kumbe nayeye shetwani,jamani mtu anapigwa risasi,alafu anaongea kama jambo dogo sana,utadhani sio mama na hana watoto
 
Hiki ni kipimo tosha kuona Lissu kuwa anakera - anatuhumu serikali kutaka kumuua bila kuwa na ushahidi wa kutosha!. Mpaka mama wa watu yamemfika hapa! Kumbuka mama Samia alikwenda hata Nairobi kumjulia hali!
Mbona mashekhe wa uamsho mnawatuhumu na huu ni mwaka wa 7 wako ndani, enyi wanahizaya msisahau iko siku ya malipo
 
Angejua jinsi watanzania wanavyomheshimu mama huyu, asingedhubutu kutoa kejeli hii.Mi bado siamini kama kasema hayo kwenye video hii,kwani ndiye kiongozi pekee mkubwa aliyemjulia hali Tundu akiwa Nairobi hospitali na kukifanya chama tawala kuonyesha ungwana kidogo.Sasa yanaposikika haya watanzania wataelewaje?
 
Madaraka matamu. Mama anakoleza chumvi hataki kung'oka. Ama kweli ccm wamezidiwa hadi na huyu aliyekiwa akiheshimika anatema upupu siku hizi??
Watz lile jambo letu la October 28 ni muhimu sana kulitekeleza kwa vitendo.
 
Naungana na wewee kabisaaa, na ndo suluhisho lote la tatzo.
 
Dah..Mbowe ni kijana wa Macumb Show... hii iko wazi kabisa [emoji2960]
 
Mama anatafuta balaa bure
 
Mama anatafuta balaa bure
 
NI kitu gani alifanya kwenye hilo bunge la Katiba hadi ukajua ni mtu wa hovyo?

..kuna comment alitoa kuhusu wabunge wa vyama vya upinzani wakati wa bunge maalum.

..nadhani kulitokea mzozo na wabunge hao wakaamua kutoka nje ya ukumbi, sasa kuna kauli aliitoa ndio ilinifanya nijue kwamba iko siku tabia zake zitakuja kujulikana/kujitokeza waziwazi.

..Mama Samia alimtembelea Tundu Lissu akiwa hospitali Nairobi na alimkuta katika hali mbaya sana akiwa bado kitandani.

..Na waTz wengi tulimpongeza kuwa amefanya jambo la kiungwana. Sasa imekuwaje mtu ambaye alimuona TL akiwa kitandani ni mgonjwa, leo aanze kumtolea maneno ya kashfa? Kwa maoni yangu ni afadhali maneno hayo yangesemwa na mtu ambaye hakumuona TL kule hospitali.

..Na kibaya zaidi yamesemwa na mwanamke ambaye tunajua ana uchungu wa kuzaa,na anajua machungu ya kuuguza kwani kwa mila zetu wanawake ndiyo wanaouguza na wafariji ktk familia zetu.
 
FRubbish ,,sasa kama sio wao si waruhusu
uchunguzi huru kutoka mataifa ya nje tujue . Wao wameshindwa kufanya uchunguz wowote na kutuambia ni kina nan wahusika .
Kwann wanaweweseka sana na hili tukio ,
Mleteni dereva wake akaripoti tukio polisi uchunguz uanze, mnalilia uchunguz kutoka nje vipi ukiambiwa ndio waliwalipa wapigaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…