Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Kasemaje?Mama Samia Lissu amekusikia maneno yako. Umelikoroga, sasa ulinywe [emoji1787]. Huyu ndio Lissu.. hajakukwepesha.
Hebu nipe in4, imekuaje huko.Mama Samia, Lissu amekusikia maneno yako. Umelikoroga, sasa ulinywe [emoji1787]. Huyu ndio Lissu.. hajakukwepesha.
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.
Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.
''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".
Ni kweli au unazingua mkuu? Mbona anaonekana maza wa heshima utaanzaje kuomba papuchi hapoDuh! Mama kachafukwa. Nasikia na kina Muro, Hapi na vijana wengine kibao yani wanajipigiaga tu
Kwahyo askari wa ccm (POLICCM) wanajua kulenga shabaha
Huyu mama wa hovyo kabisa na macho yake yale kama bundi
Km kusoma hujui bas picha utaona.Ni kweli au unazingua mkuu? Mbona anaonekana maza wa heshima utaanzaje kuomba papuchi hapo
Mkuu heb nipe fail lake asee kwahiyo anachakatwa kinoma? Au ni maneno tu kwaajili ya hasiraMawaziri wa kike wote files zao tunazo. Wakijichanganya wanalipuliwa tyuuuh
Huyu naye ameshanogewa na cheo. Bilali mzee wa kutembea na mkasi mfukoni hakuwaga na ishu kama hizi.
Ni kweli au unazingua mkuu? Mbona anaonekana maza wa heshima utaanzaje kuomba papuchi hapo
Mbona kama alikua mgonjwa hapo?Km kusoma hujui bas picha utaona. View attachment 1559642
Bado ni mapema sana kuhitimisha hivyo.Ni ishara; hawa jamaa wanaondoka!
Mpuuzi wewe, lile tukio lilifanyika mchana kweupe. Kwa hivi ni wazi WAHALIFU walipanga watumie dakika chache tu na kutokomea.Wangekuwa wako serious wasingemuacha hai.
Ningekuwa mimi ambaye hata sio askari, ningesuri ashuke nje ya gari maana gari ilikuwa imeshapaki. Ninakuwa na view ya mwili mzima.
Ukitaka kumharibu mtu humpigi risasi miguuni. Unammiminia kwenye kiwiliwili, maana ndo safesi eria ni kubwa hivyo lazima utalenga, na ndiko kwenye organs zote muhimu.
Hizo risasi zote wangemmiminia kuanzia kiunoni kuja juu, angekuwa kwishney.
Kwa ufupi, aliyempiga risasi alikuwa na hasira naye binafsi na hakudhamiria kumuua. Alitaka kumuumiza tu.
Balaa hili. Hatujawahi kumwona mumewe public.Kipindi cha kampeni za mwaka 2015 akajichagulia kina Ummy, Kairuki, Wolper, Aunt Ezekiel na Wema akawa nao kwenye kampeni eti mama ongea na mwanao yani ilikuwa ni laana tupu! Emb niishie hapo ila lazima nimuite Victoire