Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Nimemdharau mno yaani hata JPM simdharau kwa kiwango ninachomdharau huyu mama kuanzia sasa.
Kweli ukiwa ccm unachoweza kujitahidi kufanya watu wasijue kama unafanana na wengine ni kukaa kimya tu.
 
Kwahyo askari wa ccm (POLICCM) wanajua kulenga shabaha

Huyu mama wa hovyo kabisa na macho yake yale kama bundi
 



Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao.

Amesema kuwa wapo wagombea watakwenda kuwaambia kuwa walivunjwa miguu na mwingine alimsikia akisema kuwa alipigwa risasi 16.

''Watakuja kuwaambieni wameunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16 nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha Mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".


Huku kunaitwa kuweweseka.

Alikwenda Nairobi kufanya nini basi Lissu alipokuwa hospitali?

Kumbe naye bure kabisa.
 
Duh! Mama kachafukwa. Nasikia na kina Muro, Hapi na vijana wengine kibao yani wanajipigiaga tu
Ni kweli au unazingua mkuu? Mbona anaonekana maza wa heshima utaanzaje kuomba papuchi hapo
 
Ni kweli au unazingua mkuu? Mbona anaonekana maza wa heshima utaanzaje kuomba papuchi hapo
Km kusoma hujui bas picha utaona.
JamiiForums-283918655.jpg
 
Mawaziri wa kike wote files zao tunazo. Wakijichanganya wanalipuliwa tyuuuh
Mkuu heb nipe fail lake asee kwahiyo anachakatwa kinoma? Au ni maneno tu kwaajili ya hasira
 
Ni kweli au unazingua mkuu? Mbona anaonekana maza wa heshima utaanzaje kuomba papuchi hapo

Tatizo la kuanza kushindwa kujiheshimu mbona utazushiwa hata yale ya kimaskhara?

Wanaita mwana kulitafuta.
 
Hapa kuna ukweli ambao ni vigumu kuufafanua.
Ni aibu sana na ni fedheha kwa askari kutumia risasi nyingi nje ya Target (kama hipo).
Hata hivyo si sawa kusema askari ni wa chama tawala pekee au pengine alimaanisha wanalipwa mishahara kwa kazi za weledi na sio uhuni uhuni unaotangazwa na wengine majukwaani.
 
Wangekuwa wako serious wasingemuacha hai.

Ningekuwa mimi ambaye hata sio askari, ningesuri ashuke nje ya gari maana gari ilikuwa imeshapaki. Ninakuwa na view ya mwili mzima.
Ukitaka kumharibu mtu humpigi risasi miguuni. Unammiminia kwenye kiwiliwili, maana ndo safesi eria ni kubwa hivyo lazima utalenga, na ndiko kwenye organs zote muhimu.

Hizo risasi zote wangemmiminia kuanzia kiunoni kuja juu, angekuwa kwishney.

Kwa ufupi, aliyempiga risasi alikuwa na hasira naye binafsi na hakudhamiria kumuua. Alitaka kumuumiza tu.
Mpuuzi wewe, lile tukio lilifanyika mchana kweupe. Kwa hivi ni wazi WAHALIFU walipanga watumie dakika chache tu na kutokomea.
 
Hili suala la ndege kutunguliwa nililiwaza sana.. I’m glad amelisema. Nyie Mataga jaribuni kumtungua Lissu muone.
 
Kipindi cha kampeni za mwaka 2015 akajichagulia kina Ummy, Kairuki, Wolper, Aunt Ezekiel na Wema akawa nao kwenye kampeni eti mama ongea na mwanao yani ilikuwa ni laana tupu! Emb niishie hapo ila lazima nimuite Victoire
Balaa hili. Hatujawahi kumwona mumewe public.
 
Hawa sasa slowly wanaingia kwenye “mtego” wa Lissu wa kuliongelea suala la risasi 16.

Mama anasuggest nini? Kwamba Lissu alipigwa risasi na mamluki wa kukodi kutoka nje ya Nchi? Au hao waliopoteza risasi 16 bila kuua walishawajibishwa kwa kuwa kwao wao standard ni risasi 3 tu?
 
Back
Top Bottom