Uchaguzi 2020 Samia Suluhu Hassan: Askari wa Serikali ya CCM akipiga mtu risasi 3 akamkosa atawajibika

Kwani hapo samia alisema uongo? Askari gani kafunzwa wa majeshi yetu apoteze risasi 16 za umma bure. Risasi za Lissu ilikua kazi ya ndani ya chadema.
 
hizi kauli za kifedhuli na kizandiki huwa wanazitoa kana kwamba wana mkataba na Mungu wa kuishi milele na kwamba walio kinyume nao hawana haki ya kuishi.
 
Ni kweli alichosema mama samia.

Kwamba wale waliompiga lissu risasi sio askari wao.

Laiti ingekuwa ni askari wao basi lissu asingekoswa angelikuwa marehemu kabisa.

Mantiki ya mama samia ni kwamba lissu atafute waliompiga risasi na isisemwe labda ni askari.

Kwa maana waliompiga risasi lissu ni wazembe saaana yaani risasi 17 mtu hajafa,looooh hawa hawawezi kuwa askari wao.

Hicho ndo kilichokusudiwa.
 
Intarahamwe wa TISS..under bashite.
 
Kumbe naye kama mdude
 
Katiba mpya itaondoa political intolerance.........mtu asiye na jazba anaweza kuwa mwanasiasa bora zaidi
 
Kumbe haka kanakake ni kamke ka Koplo tena wa zimamoto
 
Reactions: PNC
Clip hizi nikiziangalia nawaza sana..risasi nyingi zilikuwa zinapigwa pemben..jamaa angejificha kwenye ile daldala je..je..?
 
Yani yule "jambazi" wa jana pamoja na kwamba alikuwa amesimama mwenyewe barabarani na peupe kabisa lakini iliwachukua polisi risasi karibu 20 ndo wakampata akadondoka...!
 
utamu wa madaraka ni ugonjwa mbaya sana kuliko unavyodhani..kumbe hakuna mwaminifu kwa mshindani wake.
 
Tundu Lissu alipigwa risasi zaidi ya 30 zikamuingia mwilini risasi 16. Hakufa.

Mwaka jana kwenye kampeni ilisemwa kwamba waliompiga Tundu Lissu hawawezi kuwa askari wa serikali

Jana simu zimeonyesha askari wamepiga zaidi ya risasi tatu, nyingi tu

Je wataadhibiwa wale askari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…