ARGAN MARA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,020
- 2,716
Bei y mchele wa ndani itabaki kuwa ile ile aitashuka utashuka huo mchele wenu mtakao agiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la wasaidizi wa Mh Rais ni mihemko. Hawajui kinacho takiwa. Wapo kwa ajili ya kupiga tuu. Hawana huruma na Watanzania.Waziri wa viwanda na biashara Ashantu Kijaji amesema serikali inatoa vibali kwa wafanyabishara wa hapa Tanzania ili waagize mchele tani elfu tisini ili kukabiliana na tatizo la mfumuko wa bei nchni.
Kwanza wifungua nchi wafanyabishara wakauza nje sasa wanawapa tena wakelete kile walichouza nje .
Tukiendelea kufanya majaribio ya maisha ya watanzania ipo siku tutajuta
USSR
Ninachojua Basmati ni mchele wa Pakistani, labda kama wamepata mbegu kuuzalisha hapa..Hivi ule mchele wa basmati huwa unazalishwa hapa? Mbona unakuwepo miaka yote?
Hii nchi Bado sana,sasa tulikuwa na nafaka nyingi,bei ilikuwa poa,mkazuia wakulima wasiuze nje,baadae mksruhusu,nafaka ikauzwa nyingi nje,sasa mahitaji yakawa makubwa,bei ikapanda,sasa hv nafska imekuwa haba,mmeruhusu tuagize nje!!Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei”
Lengo la Serikali mchele ushuke bei.
======
Serikali yatangaza matazamio kushuka bei ya mchele
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa zao hilo kwa Taifa na pia Serikali imeondoa baadhi ya kodi ili zao hilo liweze kuongezeka kwenye soko.
Waziri Kijaji ametoa kauli hiyo Dar es salaam leo ambapo amenukuliwa akisema “Tunatarajia kuanzia mwisho mwezi huu wa pili, wiki ya kwanza ya mwezi wa tatu zao la mchele litapungua bei na Watanzania waweze kufikia zao hilo na kununua katika bei inayohimilika"
Tanzania Web
Ni aibu kwa serikali kuagiza CHAKULA kutoka nje kusikojulikana ili iwauzie WANANCHI wake.Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei”
Lengo la Serikali mchele ushuke bei.
======
Serikali yatangaza matazamio kushuka bei ya mchele
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa zao hilo kwa Taifa na pia Serikali imeondoa baadhi ya kodi ili zao hilo liweze kuongezeka kwenye soko.
Waziri Kijaji ametoa kauli hiyo Dar es salaam leo ambapo amenukuliwa akisema “Tunatarajia kuanzia mwisho mwezi huu wa pili, wiki ya kwanza ya mwezi wa tatu zao la mchele litapungua bei na Watanzania waweze kufikia zao hilo na kununua katika bei inayohimilika"
Tanzania Web
Mjinga tuu huyo Waziri wenu,hakuna sababu ya kuagiza mchele Nje ya Nchi maan upo wa kutosha Nchini.Waziri wa viwanda na biashara Ashantu Kijaji amesema serikali inatoa vibali kwa wafanyabishara wa hapa Tanzania ili waagize mchele tani elfu tisini ili kukabiliana na tatizo la mfumuko wa bei nchni.
Kwanza wifungua nchi wafanyabishara wakauza nje sasa wanawapa tena wakelete kile walichouza nje .
Tukiendelea kufanya majaribio ya maisha ya watanzania ipo siku tutajuta
USSR
Baadhi ya sisi waafrika ni watu wa ajabu sana.Hii nchi Bado sana,sasa tulikuwa na nafaka nyingi,bei ilikuwa poa,mkazuia wakulima wasiuze nje,baadae mksruhusu,nafaka ikauzwa nyingi nje,sasa mahitaji yakawa makubwa,bei ikapanda,sasa hv nafska imekuwa haba,mmeruhusu tuagize nje!!
Swali langu kwenu nyie kenge maji,kwani haiwezekani tulime wenyewe,mkulima apate faida,na mnunuzi apate unafuu wa kununua?
Mchele uwe buku moja,mkulima apate faida hata ya 300 kwa kila kilo,kwanini mnatuhusu nafska iuzwe nje mpaka bei inapanda juu ndani ya nchi
Haya sasa....Waziri wa viwanda na biashara Ashantu Kijaji amesema serikali inatoa vibali kwa wafanyabishara wa hapa Tanzania ili waagize mchele tani elfu tisini ili kukabiliana na tatizo la mfumuko wa bei nchni.
Kwanza wifungua nchi wafanyabishara wakauza nje sasa wanawapa tena wakelete kile walichouza nje .
Tukiendelea kufanya majaribio ya maisha ya watanzania ipo siku tutajuta
USSR
Wakulima wa kitanzania wakizidisha uzalishaji mashambani na kuweka akiba ya chakula bado wana nafasi ya kuwashinda hao waingizaji chakula kibovu kutoka nje.Wakulima wa Tanzania wataanza kulalamika, maana wanaogopa sana ushindani na bidhaa kutoka Nje!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ungekuwepo wa kutosha kungekuwa na mfumuko? au unamtetea bwashee kutoweka control ya biashara ya mazao ya chakula kwenda nje, maana tunaambiwa wageni walikuwa wanaenda kununua mazao hadi vijijini kinyume na utaratibu....Mjinga tuu huyo Waziri wenu,hakuna sababu ya kuagiza mchele Nje ya Nchi maan upo wa kutosha Nchini.
Kitumbo kutoka JapanTunapigwa na vitu vizito.
Mchele wetu, mahindi, maharage vimeenda wapi?
Njaa ni kali imefikia watoto wanaiba mandaz huko mbeya mkoa wenye chakula.
Nchi imekuwa ngumu
Kwa hiyo huku bara tupo kama popo, upande mmoja tunauza nje, upande mwingine tunaagiza toka nje, halafu tunasema tuna serikali!Lilisitishwa Zanzibar
Uliwanukuu vibaya![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si tuliambiwa tunajitosheleza kwa sababu ya hifadhi ya chakula tulionayo...
Vyereje tena.
Bashe kazingua sanaKwa hiyo huku bara tupo kama popo, huku tunauza nje, upande mwingine tunaagiza toka nje, halafu tunasema tuna serikali!
Hii kitaalamu inaitwa,"NJE NDANI".Kwani lile agizo la kuuza nje lilishasitishwa? sikumbuki hilo kufanyika.
Tunaongozwa na serikali kama ya wendawazimu, hawajielewi, huku inaruhusu kuuza nje, wakiambiwa kufanya hivyo kunazidi kuongeza mfumuko wa bei nchini, wanajibu kwa dharau ni zamu ya wakulima kufaidi.
Sasa huku wakulima wakiendelea kufaidi, nashangaa tena wanaagiza mchele toka nje, hii maana yake nini? kama tulichonacho tunapeleka nje, halafu tunaruhusu cha nje kiingie ndani kwa bei ya juu ile ile, hapa wamesaidia nini kupunguza tatizo la mfumuko wa bei?