Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Kenge maji😂😅Hii nchi Bado sana,sasa tulikuwa na nafaka nyingi,bei ilikuwa poa,mkazuia wakulima wasiuze nje,baadae mksruhusu,nafaka ikauzwa nyingi nje,sasa mahitaji yakawa makubwa,bei ikapanda,sasa hv nafska imekuwa haba,mmeruhusu tuagize nje!!
Swali langu kwenu nyie kenge maji,kwani haiwezekani tulime wenyewe,mkulima apate faida,na mnunuzi apate unafuu wa kununua?
Mchele uwe buku moja,mkulima apate faida hata ya 300 kwa kila kilo,kwanini mnatuhusu nafska iuzwe nje mpaka bei inapanda juu ndani ya nchi