Mchele uje Kwa kweli,unambiwa mtume mwenyewe alisisitiza sana punje
 
Anavyotoaga macho unafikiri anajiandaa kulamba ndimu
 
Jamaa anavyotoaga macho sijui huwa anatumia akili gani
 
Kama mbona una emotional trauma. So unataka na wafanyabiashara waachiwe huru mafuta ya petrol wauze wanavyotaka, pia na sukari.kama vile una chuki na wasiolima. Kuna utaratibu wa kila kitu katika nchi yenye utawala
huyu mtu hajitambui,food security ni suala nyeti sana,yule waziri mjinga anayesema wakulima wanauza nje kwa bei nzuri aje atuambie kwanini sasa hivi tununue nje wakati chakula kipo ndani?,
ushabiki wa kijinga sana.
 
Fear of unknown
 
Hizi ndio akili za mwafrika, tena mtanzania. Mchele umeuzwa nje leo tunaenda kununua mchele nje.
Ni kitu gani hamkielewi hapa?
Kwanza kabisa wakulima wetu wanalima bila KUJALI TIJA.

Haidhuru basi hata bila Tija lakini Bei haikuwa mbaya!

Sasa bei imepaa!

Mazao yako Shambani.

Busara ni kuagiza Mchele kwa wakulima wakubwa ambao wao hulima kwa Tija na kutuuzia.

Hapa kazi ya Serikali ni kuset Standards-basi.

Halafu Serikali inaweka provision Price.. hapo ndipo kukabiliana na Mfumuko wa bei kwa mkakati wa Muda Mfupi!

Halafu tuliambiwa Shehena ya Mahindi nayo inafunguliwa Kutoka NFRA mwezi huu.

Maana yake tutaingia Mwezi wa Tatu tukiwa na uwezo wa kununua mbegu kwa wale tunaolima Masika kwa Sababu bei za Mahindi na Mchele zitakua zimeshaanza kushuka!

Hii ni mipango mizuri!!!
 
mnakula nyie mjini huku shambani hatuvijui
Muda ukifika mtavijua,hata sisi watu wa Mjini mwanzo hatukuvijua,ila sasa tunavijua! Ukija Mjini nileetee Kuku moja la Kienyeji nitafune pls ndg wa shambani!!
 
Mzigo utakuwa mwingi sana na watataka wauuze kwa wingi
lakini tujue kabisa huo (UBWECHE)sio kama huu tuliouzoea wa kwetu hata bila mboga tu unakula!!ule bnana ni kama ugali bila mboga ya maana huuliiii!!!hauna ladha!!lakini potelea mbali uje tu,kwani ni hatari yaani familia zimerudi kwenye ile miaka ya 90 ya kula wali ni anasa!!!
 
Mkuu sio kweli kwa sasa nchini hakuna mchele wa kutosha kabisa!!yaani huko mikoani maghara mengi yako tupu kabisa!!kwani mavuno ya msimu 2021/22 yalikuwa ni madogo sana,hivyo kupelekea bei ya mchele kupanda toka mwezi sita hivyo wakulima wengi walianza kuuza mazao yao muda huo.Kwa taarifa yako hadi sasa kongo mchele hauendi kutokana na ugumu wa kuupata hapa nchini,wengi waliokuwa wanapeleka ZAMBIA,DRC,BURUNDI NA RWANDA.wameshindwa kupeleka kutokana na upatikanaji wake na bei ziko juu sana.
 
Kwa kilimo cha nchi hii,mito,maziwa havijawahi kuwa msaada kwetu tofauti na mvua tu.Kuyatoa maji kwenye hivyo vyanzo na kuyatumia kwenye kilimo ni inshu nyingine kabisa.
 
Wakulima msipoungana na kuwa na chama chenu Cha sauti mtaishia kuwa maskini kama anavyosema Mwigulu hapa [emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…