jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Kipindi cha Kitumbo,TBS haikuwa na wataalamu wa kutosha Kama kipindi hiki Cha Mama Samia!!Naujua,haujaanza kuja Leo,walauwalau kitumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi cha Kitumbo,TBS haikuwa na wataalamu wa kutosha Kama kipindi hiki Cha Mama Samia!!Naujua,haujaanza kuja Leo,walauwalau kitumbo
Kiufupi bashe hakubaliani na Hilo ,msimamo wa bashe ni kuwafanya wakulima nchini ,wanufaike na kilimo.inaonekana jamaa alimpa memo mama mwenye Kijiji Hilo Jambo kwake ni gumu,kulingana na kile anachokiamini ktk wakulima wa ndani.so wakaamua wamtupie zigo waziri wa uwekezaji.Bashe namjua anamisimamo haswa hasa pale anapoamini huu ndio ukweli,unakumbuka kipindi akiwa naibu waziri wizara ya kilimo,waziri wake nae aliwahi kuonyesha msimamo inshu ya sukari,Hawa jamaa wawili nawakubali kwa misimamo hasa wanapouona ukweli huwa hawamung'unyi maneno .
Uongozi Ni kusikiliza watu Leo hii Tanzania tuanze Kununua Mchele husio na ladha wakati tulishasahau Kula hayo masukita na Thailand na ule ambao ukipika unavimba kama puto.VIBALI vya kuingiza au kusafirisha ,mazao ya chakula ndani na nje vinatolewa na Wizara ya Kilimo, iweje leo tangazo la kuagiza mchele tani elf 90 litolewe na Waziri wa Uwekezaji na Viwanda, Dk. Ashatu Kijaji?
Kwanini Waziri mwenye dhamana ameshindwa kuita Press na kutangaza uamuzi huo?
Wajuzi wa mambo hebu tulijadilini hili lina maana gani?
Unataka huyo Bashe ale matapishi yake?VIBALI vya kuingiza au kusafirisha ,mazao ya chakula ndani na nje vinatolewa na Wizara ya Kilimo, iweje leo tangazo la kuagiza mchele tani elf 90 litolewe na Waziri wa Uwekezaji na Viwanda, Dk. Ashatu Kijaji?
Kwanini Waziri mwenye dhamana ameshindwa kuita Press na kutangaza uamuzi huo?
Wajuzi wa mambo hebu tulijadilini hili lina maana gani?
Wameona mwezi wa ramadhani unakuja wataaibika kwa hiyo wameona waagize mchele kwani wasiendelee na msimamo wa bashe kwamba soko ndo liamue beiVIBALI vya kuingiza au kusafirisha ,mazao ya chakula ndani na nje vinatolewa na Wizara ya Kilimo, iweje leo tangazo la kuagiza mchele tani elf 90 litolewe na Waziri wa Uwekezaji na Viwanda, Dk. Ashatu Kijaji?
Kwanini Waziri mwenye dhamana ameshindwa kuita Press na kutangaza uamuzi huo?
Wajuzi wa mambo hebu tulijadilini hili lina maana gani?
Bashe anajua ameshashtukiwa kile anafanya. kutoa pasi kwa wafanya biashara kuingiza chakula kutokana upungufu unaotokana kuuza chakula nje. Hapo kuna akili kweli?VIBALI vya kuingiza au kusafirisha ,mazao ya chakula ndani na nje vinatolewa na Wizara ya Kilimo, iweje leo tangazo la kuagiza mchele tani elf 90 litolewe na Waziri wa Uwekezaji na Viwanda, Dk. Ashatu Kijaji?
Kwanini Waziri mwenye dhamana ameshindwa kuita Press na kutangaza uamuzi huo?
Wajuzi wa mambo hebu tulijadilini hili lina maana gani?
Mazao ni ya wakulima,siyo ya nchi...eleweni jamani,na mavuno yamekaribia na chakula kipo si hifadhini si kwa wakulima,Kuna mkulima mwenzangu yeye huvuna gunia elf 3 za mpunga kila mwaka,kipindi Cha magu hakuuza,anao mwingi tu hawezi uza wote msimu mmojaHivi waziri wa Kilimo hastahili lawama katika hili?
mnakula nyie mjini huku shambani hatuvijuiMbona broiler wenye umbo la Kuku mnakula!!?
Tutumie akili zetu kutatua tatizo la chakula na si kufikiria kuagiza tu kutoka nje kwamba ndo last resort.
Hakika weye wanena.Ndio ilikuwa plan yao ya kupiga ela
Selikali yapaswa kuweka sheria kupiga marufuku wafanyabishara kununua mchele wote kutoka mashamba ya wakulima wadogo kwa minajili ya kuuuza nje.Sasa hamtaki mchele utoke nje wakati uliopo mmeuchukua kwa wakulima mmeuficha kwenye maghala ili mpandishe bei. Tulieni tu maisha yashuke bei
Ukitoa hilo wazo wanakuja na mihemko kukwambia wao ni wafanya biashara ukitaka na wewe ukalime. Eti usiwapangie. Walanguzi wanajiita na wao ni wakulima.Selikali yapaswa kuweka sheria kupiga marufuku wafanyabishara kununua mchele wote kutoka mashamba ya wakulima wadogo kwa minajili ya kuuuza nje.
Wakitaka kununua mchele kwa biashara waende kwa wakulima wakubwa.
Ndo maana ya kuwa na maduka ya ushirika kwani vyakula vitapelekwa hapo kwa ajili ya kuuzwa bila shida kwa wananchi.
Pia yapaswa kuhakikisha wakulima wakubwa wasaidiwa kwa kila hali ili kuongeza uzalishaji na pia kuweka uzuri masoko na kudhibiti bei za vyakula ukiwemo mchele.
Vyakula vya kuagiza kutoka nje vijulikane na vidhibitiwe na vijulikane ubora wake kabla havijaingia sokoni na hatimae kwenye matumbo ya wananchi.
Ukaguzi ufanywe kwenye maduka na masoko kubaini vyakula vilongizwa kwa magendo ambavyo vitaleta athari kiafya.
Kulima mpunga si kama kulima nyanya.
Mpunga, mahindi na maharage pamoja na mazao mengine ya chakula lazima yawekewe sera maalum kiasi gani ni kwa soko la ndani na kiasi gani ni kwa ajili ya kusafirisha nje kama mbaazi.
Mkuu, wapendelea mchele upi long grain, medium au short grain?
Wewe mchele wako na Mahindi yako umepeleka wapi?Tunapigwa na vitu vizito.
Mchele wetu, mahindi, maharage vimeenda wapi?
Njaa ni kali imefikia watoto wanaiba mandaz huko mbeya mkoa wenye chakula.
Nchi imekuwa ngumu
Kwanini uliuza mchele wako mtamu?Yani tumeuza nje mchele wetu mtamu, sasa tunaagiza mchele kitumbo kama sio mchele wa mapembe unaopatikana Zanzibar. Lakini wakulima walinufaika, waliuza sana nafaka nje.
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app