inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kakwambia nani Wana hamu ya wali maharage!?Kwahiyo wabongo wanaoishi nnje wana agiza mchele kutoka Simba wanga??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakwambia nani Wana hamu ya wali maharage!?Kwahiyo wabongo wanaoishi nnje wana agiza mchele kutoka Simba wanga??
Mwanasiasa, tengeneza mazingira ya kuleta tatizo, halafu tengeneza mazingira ya kuonesha unalitafutia suluhusho, upate sifa!Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei...
Nijuze.Jiulize Huko nje walinunua Akina nani.
Unakijua kisa Cha Mchina na mapaka na wanakijiji?.
Ndo hiii Sasa !!.
Yule waziri anayetoa macho kama amepata acute diarrhea et anawatetea wakulima tuko wapiJiulize Huko nje walinunua Akina nani.
Unakijua kisa Cha Mchina na mapaka na wanakijiji?.
Ndo hiii Sasa !!.
That is not sustainable kwani sukari si waliofanya hivyo huyo JPM kwani bei ilishuka? Korosho si walitumia extreme measures mpaka za kuonyesha shamba ila bei ilipanda ule msimu?Dawa yao walanguzi ni ndogo sana sajili wauza chakula cha jumla wote, weka takwa la kuripoti stock levels baada ya mavuno na kila mwezi baada ya hapo...
Korosho kilichotokea ni upuuzi wa serikali ku set selling price yao badala ya kukubali bei ya soko inayoamuliwa na suppy and demand.That is not sustainable kwani sukari si waliofanya hivyo huyo JPM kwani bei ilishuka? Korosho si walitumia extreme measures mpaka za kuonyesha shamba ila bei ilipanda ule msimu...
Jikite kwenye hoja. Kwa nini muuze chakule nje holela alafu baadae muagize toka nje?That is not sustainable kwani sukari si waliofanya hivyo huyo JPM kwani bei ilishuka? Korosho si walitumia extreme measures mpaka za kuonyesha shamba ila bei ilipanda ule msimu...