Shaka usilazimishe Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia kwa nguvu

Kuna vipofu kama nyinyi Sukuma Gang hamuoni kwa vile macho yenu yamepofuka, hivyo ni sawa kwa Shaka kutumia nguvu kuwaonyesha.

Bongo za sukuma gang zimejaa jekaya za propaganda za Magufuli lazima tuzisafishe
 
We mpumbavu unayefikiri kwa makalio una nini cha maana unachoweza post humu?
 
Vyeti fake kwenye makampuni ya watu binafsi? Yeye mwenyewe alikuwa na PhD fake, sasa sijui ni vyeti fake gani alikuwa anapambana navyo.
 
Mafanikio aliyoleta hayati JPM kwa taifa hili hayajapita bado yapo na yataendelea kuwepo. Unajitoa fahamu na kuleta hoja za kipuuzi. Hizo barabara alizosimamaia zikajengwa hadi leo wewe na mme wako aliyekuoa mnazitumia. Mengine jiongeze.
Mpumbavu mkubwa wewe barabara zinajengwa kwa Kodi zetu tunazokatwa. Zinapelekwa kwenye Mfuko TANZANIA ROAD FUND ulioanzishwa na Rais Benjamin Mkapa (RIP). Na hakuna Rais ambaye hakuwahi kujenga barabara kwa mfumo huo.
 
Kwa hizo pesa za Road fund kama zisingekuwa na waziri mwenye dhamana makini na msimamizi mzuri hizi barabara zingejengwa? Shwain makalio.
 
Kwa hiyo wakazi wa arusha kuuona kwa macho ndio hakuna upigaji? Kutandaza mabomba ya maji taka hapo mjini ndio bil 500? Ila kutoa maji tinde mpaka Tabora bil 450+ ?

Huwezi kukubali ukweli nakujua vizuri
Wanakuelewa sana..hilo ni sikio la kufa
 
Kwa hiyo wakazi wa arusha kuuona kwa macho ndio hakuna upigaji? Kutandaza mabomba ya maji taka hapo mjini ndio bil 500? Ila kutoa maji tinde mpaka Tabora bil 450+ ?

Huwezi kukubali ukweli nakujua vizuri

Una uelewa mdogo sana, huko Arusha mradi ni wa maji safi na majitaka. Isitoshe eneo lake tayari ni mjini hivyo kuna mambo mengi ya kuangalia, tofauti na huko mashambani. Ww ndio wale ukiambiwa plot ya 40x40 hapa Dar ni 1b utasema ni upigaji, kwakuwa huko mashambani heka 100 ni shilingi laki 2.
 
Tindo nakujua vizuri. Upo radhi uhalalishe ufiadi ili ujustify chuki zako. Nakujua vizuri japokua nimejoin JF 2020.
 
Shaka chawa
 
Ww huna tofauti na huyu chawa mwenzio
 
Hakika jiwe ameacha wajane weng sana
 
Hebu taja hizo bidhaa zilizokuwa zinazalishwa na sasa hazizalishw?????
Nafikiri hukuelewa maana ya hiyo slogan. Kuwa taifa la viwanda haina maana kuwa sekta zingine zinakufa.

Lakini ukweki upo wazi alitilia mkazo uwekezaji sekta ya viwanda. Na kwa muda mfupi tulikuwa tunazalisha bidhaa nyingi hapa nchini.
 
Waislamu hawajawahi kushindwa kujenga msikiti we nguchiro!!!!!!top 10 ya matajiri nchi hii 8 wanaweza kuwa waislamu
 
Chuki zako utakufa mdomo wazi we nguchiro!!!!kama vp nafasi pale pemben ya kabur lake ipo ukazikwe
Hujanielewa. Hiyo bil 500 uliyoitaja sio halisi. Wakati wa JK kulikuwa na wizi tu.

Huo mtandao wa barabara tokea wakati wa Mkapa msimamzizi alikuwa hayati JPM. Hii inaonyesha namna gani alikuwa makini.
 
Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia Mfano kukopa IMF 1.3 trilion.​

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…