Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

Hii umetunga kuhusu Rwanda. Awakuwahi kusema watamkamata kikwete na hatajaribu kusema. ACHA UZUSHI UONGO NA UNAFIKI JAPO NDIYO SIFA ZENU KUU
 
Umesema ukweli,lakini siyo jambo jipya wala habari mpya. Ni spychological effects ambazo wanajeshi hukutana nazo wakiwa vitani au baada ya kutoka vitani.
hata israel kutumia missile na ndege kushambulia pia si habari mpya. na yanga kucheza na simba si habari mpya vile vile. kwa hiyo bora tukae tusiongee kitu na thread zote zifungwe
 
Shambulio la drone lililopiga nyumba ya Netanyahu limefichua wazi kuwa waziri mkuu huyo na ujanja wake wote huwa halali kwake. Anaanzisha vita huku akiandaa handaki la kuishi mapema.

Angekuwa mwanaume angeendelea kuishi kwake tuone.
Angalia akili ya kitoto hii. Ujui hata vita ni kitu gani?.
 
Pia kwa ripot za mda huu Iran imekiri kuuwawa kwa askari wake wawili ,bado analysis Kamil za damage hazijatolewa bayana maana iran niwataalam wa kufincha mambo
 
Naona unajamba na kunusa mwenyewe. Source zimetengenezwa na vyombo vya magharibi na Israel kisha kuvirusha katika vijiwe vya kunywea gongo wayahudi wa bonyokwa ambao wamezichukua na kuzileta humu wakifikiri kuwa kila mtu ni mjinga kama wao.
mzee iran wametamka wenyewe
 
Shambulio la drone lililopiga nyumba ya Netanyahu limefichua wazi kuwa waziri mkuu huyo na ujanja wake wote huwa halali kwake. Anaanzisha vita huku akiandaa handaki la kuishi mapema.

Angekuwa mwanaume angeendelea kuishi kwake tuone.
mzee acha ushamba hata hapa bongo rais hua haishi kwake si kuna ikulu? mbona unakua kama ndo umekuja mjini jana?
 
Naona unajamba na kunusa mwenyewe. Source zimetengenezwa na vyombo vya magharibi na Israel kisha kuvirusha katika vijiwe vya kunywea gongo wayahudi wa bonyokwa ambao wamezichukua na kuzileta humu wakifikiri kuwa kila mtu ni mjinga kama wao.
 
hata israel kutumia missile na ndege kushambulia pia si habari mpya. na yanga kucheza na simba si habari mpya vile vile. kwa hiyo bora tukae tusiongee kitu na thread zote zifungwe
Rubbish.
 
Ushahidi uko wapi kuonesha kuwa ndege hizo ziliingia Iran?

Acha porojo. Hiki sio kijiwe cha kunywea chibuku na kusambaza uongo. Leta facts.
Fuatilia kilichotokea, kulikuwa na waves 3 za kushambulia, kwanza ilikuwa ni kuharibu mfumo wa ulinzi wa anga, pili kushambulia vituo vya kutengeneza na kurusha missiles na drones na tatu ofisi nyeti ambayo moja wapo iliyoguswa ni jengo la IRGC
 
Endeleeni kujifariji, Israel ni taifa la Mungu na haikanushiki
 
Wasambaa wanasema 'usilonge ukamala'
 
Bado unaripoti kutokea Arusha?.
 
Uko masjid mnasomeaga ujinga au watu wameingia na kutoka kama mtu anatoka kwa mchepuko afu unaongea ujinga gani
 
Shida yenu nyinyi tantalila nyingi halafu hamna jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…