Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

Shida zao hawa jamaa huwa wanaua kwa madai kwamba wanakomwsha wauza madawa lakini sio kweli, wanatumia mwamvuli huo kuhadaa wanyonge, lengo lao kubwa huwa ni

1. Kutumia vita dhidi ya madawa kukamata na kuua watu wasiowapenda na kuwasingizia kwenye tuhuma hizo
2. Kujaribu kuondoa upinzani wa kibiashara ili wao ndio wadominate kwenye biashara hiyo
 
MAUAJI YA KIKATILI MWAKA 2017
Mwaka 2017, Duterte aliua maelfu ya watu. Wengi waliokuwa upande wake walishangilia mno, ilhali wengi wakiumia na kusema ni uvunjaji wa haki za binadamu.
Historia ina tabia ya kujirudia
 
Malcom Lumumba una madini kama ya Malcom X
 
Hujaeleweka kabisa.

Nyerere mkatoliki, aliwanyang'anya wakatoliki shule ili waislam wasome. Tunahitimisha hakuwa mdini.

Nyerere aliwapenda Watanganyika wote, hasa waislam, akijua taasisi zao za elimu zilikuwa chache na akathubutu kuwapora madhehebu yote ya WAKRISTO shule, wa Anglican, Lutheran, Wasabato, Morovias, Methodist, nk ili kuwepo na usawa wa elimu.

Ila waislam wote wameshindwa kukemea mauaji yanayofanywa na Rais muislam.
 
Hii ina maana gani kwa hapa Tulipo Mr Malcom Lumumba?
 
Kwenye hili alifanya vyema ila mengine alikuwa na mpango wake wa kujinufaisha kisiasa
 
Lakini hakuwatuma yeye, hapa si walimuonea?
 
Kwenye hili alifanya vyema ila mengine alikuwa na mpango wake wa kujinufaisha kisiasa
Alijinufaisheje kisiasa, wakati hakuacha hata mjukuu tu mwanasiasa, kama Hawa wanaojaza ukoo ikulu kama sebule ya nyumbani kwao., hata nyumba alijengewa na JKT kwa aibu na fedheha ya international guests, na akaachia kiti cha Rais kwa hiari. KUNG'ATUKA.

Huoni madikteta kama Museveni amegoma kuachia madaraka 39 years 1986-2025.

Nyerere walimlilia abaki akagoma.

Walipomchangia zawadi na mali mbalimbli za kustaafu na vijiji, wilaya, wananchi na taasisi mbalimbli, akazigawa kwa vyama vya ushirika.
 
Hivi ni dini gani/dhehebu gani waumini wake sio watiifu kwa viongozi wao?
Hii agenda ya wakatoliki kuwa watiifu kw viongozi huwa naisikia mara nyingi tu lakini uhalisia wake bado sijauona
 
Mwandishi alikuwa anajaribu tu kubalance Stori labda hujamwelewa vema
 
Umetepeta.... 😂
Umeshindwa kujibu unaleta ujinga, na hivi ndio akili ya 95% ya nyinyi walugaluga na waporipori humu JF
Endelea kucheka cheka cheka na kuweka viemoji.

Hilo tundu la nyuma utaliponza
 
Kudos Mtoa mada
Leo umepiga nyundo za utosoni wakatoliki wanaweweseka humu hamna hata mmoja amejaribu ku reasons accordingly
Wanapayukapayuka, na wakishindwa wanaanza kukutukana
Najua unajua kumejaa mbulula mwanzo mwisho humu , umeona mabadiliko ya JF ya zamani mliokuwepo na hawa walugaluga na waporipori wa juzi kati waliotokea vyuoni na hawa eti ndio wasomi wenye vidigirii vya twisheni, sijui wamezipata vipi, na hii ndio akisia ya ukweli wa elimu ya kibongo miaka hii, ni zero brain, ndio maana hawaajiriki
Wamejaa humu kulopolopo tu
 
Endelea kucheka cheka cheka na kuweka viemoji.

Hilo tundu la nyuma utaliponza
Wewe ni *****, naona unataka niharibu mada muhimu kama hii kwa kuanza kutukanana
Nakutafuta sasa kwenye mada nyingine humu, na huwa siogopi ban utakula matusi ya kutosha, labda hujanifatilia posti zangu wananijua humu.
 
Duuuh! Mipasho tena.

Kwa tulipo fikia na tunakoelekea nchi hii inahitaji viongozi wenye akili tu kutuongoza la sivyo Tec watalalamikiwa kila siku.
 
Duuuh! Mipasho tena.

Kwa tulipo fikia na tunakoelekea nchi hii inahitaji viongozi wenye akili tu kutuongoza la sivyo Tec watalalamikiwa kila siku.
Wewe unaekurupuka na posti yangu, je umejaribu kujibu hata hoja yake moja aliyoleta ?
Mnasikitisha sana na viwango vyenu vya akili katika uelewo na uchanganuzi wa maudhui.
Achana na mimi mjibu mleta mada
 
Wewe unaekurupuka na posti yangu, je umejaribu kujibu hata hoja yake moja aliyoleta ?
Mnasikitisha sana na viwango vyenu vya akili katika uelewo na uchanganuzi wa maudhui.
Achana na mimi mjibu mleta mada
Narudia tena,
Kwa tulipo fikia na tunakoelekea nchi hii inahitaji viongozi wenye akili tu kutuongoza la sivyo Tec watalalamikiwa kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…