Siasa za kindugu, umwagaji damu na Ukatoliki nchini Ufilipino

Hii hoja inaweza kuwa na grains of truth katika historical perspective. Na kama sababu ya mwalimu ndio hiyo basi aliowatetea ndio wenye shida zaidi. Shule za Kikristu hupokea wanafunzi kutoka dini zote tofauti na shule za Waislam.
 
Mkuu celix
Naomba mfute picha za ujinga alioweka huyu kiazi Mpwimbe
Naona kashindwa kujadili kiistaarabu kaanza matusi na hata majibu yake kwa mtoa mada ni ya kumtusi
Mimi nitadili nae mada zingine kwa moto nitakao mpelekea na matusi yake na niko radhi kupigwa ban
Lakini hii mada asiichafue na ujinga wake
 
There is NO such thing as personal money for a member of public organization that is accountable to general society
TEC and there public figures are accountable to declare any outside source of funds or income to the general public for due diligence.
That money paid to them were bribe and or corruption from source in order to gain favours or influence that will exonerate them from the hands of law on any wrong doing or it was mostly intentionally way of laundering money which will then go back to the source
Can you dig that ?
 
Mi nasaidia kujibu moja kwa sasa,

Walivyoshtakiwa kwa papa, badala ya kujibu kistaarabu wao wakawatukana wenzao
Huu ulikuwa ni udhaifu
Lini wameshitakiwa na ni nani aliewashitaki, yaani hata kutengeneza hayo maigizo yenu mnashidwa hata angalau kufanya kwa umakini hata angalau mkadanganya kwa 5% hamuwezi. Mnafikiri barua ya kwenda kwa papa ni kama vile kumwandikia barua mwenyekiti wa mtaa kirahisi hivyo tu. Huyo mama yenu tu hata kama utamwandikia barua kuna angalau taratibu zake. Seuse Baba mtakatifu. Na ndo maana mkaitwa lofa. Kwanza kumbukeni kama mitandao mlizima mnafikiri Baba mtakatifu alipata wapi taarifa na akajilizisha ya kuwa huko Tanganyika kuna mauaji yanaendelea mpaka akaiombea
 

interesting, typical communist, kwamba Christianity imeleta umaskini tanzagiza? kabla ya Christianity literacy rate ilikuwa almost zero, ukiondoa muslims wachache wa coast ambao walijua kusoma kuran tena kiarabu kulikuwa hakuna shule hata moja kama tujuavyo leo hii, so how is it kwamba wameleta umaksini? kwa maana hata hao muslims ni islam ndiyo iliwafundisha kusoma na kuandika, sasa huo umaskini ambao Christianity na hata islam for that matter imeleta ni upi? kabla ya Christianity kuja kulikuwa na uchumi gani hapa kwetu? tulitrade na nani na tuli export nini? tulikuwa na industries gani? nitajie Chuo kikuu kimoja au hata shule yoyote iliyojengwa before Christiniaty, nitajie city yoyote ile tuliojenga kabla ya Christiniaty kuja, usinitajie towns zilizojengwa na arabs kama kilwa au zanzibar, nitajie towns ambazo sisi tulijenga wenyewe kwa maana kila civilized society build cities hicho ni kigezo kikuu cha civilization, sasa nitajie city tuliojenga sisi wenyewe kwa 100% kabla ya Christianity au Islam kuja.

fact is, maisha yetu yameboreka sana thanks tu introduction of Christianity au hata Islam, mchango ni mkubwa sana, leo hii tumeunganishwa na dunia, before tulikuwa cut off na ndio maana ya sub saharan afrika siyo geography tu bali ni backwardness pia.

niambie how is it the richest and most advanced economy in afrika ni south afrika, is it a coincidence?

i am confused ...
 
Kumbuka lakini TEC hawapiganii haki ya mkatoliki tu bali wanatusemea watanganyika wa makabila yote dini zote na rangi zote
 
Maswali yake mbona kayaweka wazi, je rugemalira alikua na hisa IPTL? Kama alikua na hisa je IPTL walikua wanawapa tanesco umeme bure?

Hayo maswali yake wewe kama wewe unaonakabisa yana mashiko?
Kwanini kaikimbia mada
Yaani huoni kabisa anataka kumtoa mleta mada kwenye reli
Haya ni maswali ya kuuliza kweli ?
Suala hapa ni wahusika wa TEC walikubali kupokea hela kutoka kwa Rugemalila bila kuhoji zimetoka wapi na kwanini anawapa hizo hela ?
Na ni walutheri ndio waliwawashia moto wakatoliki kwa kula hela za ESCROW

 
Wewe rudi ukasome tena historia ya shule ya msingi, kwenye biashara afrika mashariki
Hata kama wazawa hawakuwa emporewered kufanya hizi biashara za viungo(spices), mali ghafi za wanyama kama pembe za ndovu, mazao ya biashara mpaka kuwa na himaya kama za Kilwa zilizojulikana dunia nzima miaka ile.
Na ukisema ni ilikuwa biashara ya utumwa wakati ndio hiyo iliyokuwa inafadhiliwa na hao wakristu kama Wareno na Wahispania ndio waliokuwa wasafirishaji wakubwa wa watumwa kwenda Ulaya na Marekani huku Waarabu wakiwa kama ni madalali.
Mpaka leo kuna city yoyote mliojenga nyinyi zaidi ya kuendeleza zilikuwepo ? nitajie wapi mmejenga from scratch ?
Unauliza kulikuwa na chuo gani, na tukisema Ikulu na ukubwa wake wote unaoakisi taasisi ya elimu ya juu kuwa kilikuwa ni chuo huwa mnaanza na vikejei vya kitoto kuwa ni madrasa, sasa kasome alchemist wa kwanza hii dunia walitokea wapi kabla hata ya kuanza kuita watu kuwa ni Scientist.

Wewe unaakisi zaidi kwenye ujio wa wajerumani kutumia wameshionari matapeli waliokuwa wapelelezi wa kuwaleta wakoloni kama kina Karl Peters, na David Livingstone aliewakuta watu wanavua na kuishi katika maeneao ya maziwa Tanganyika na Nyasa na kujifanya eti ameyagundua yeye ndio haya mnaona maendeleo.
 
Hili nishawahi kuwatolea uvivu hawa ndugu zangu wao kwa akili yao wanaamini ikitokea ukosefu wa haki na amani ( pengine kupelekea matukio ya kigaidi)tz basi mwathiriwa mkuu watakuwa ni christian zaidi nami nikawatolea mfano wa Centre Afrika
 
Umepanic?
 

lkn hiyo ni islam, hoja ilikuwa mleta mada aliandika kwamba dini imeleta umaskini afrika na sisi ni masikini sababu ya dini na ndiyo nikamjibu kama nilivyomjibu, hivyo hata hayo uliyoyataja bado ni mambo positive ambayo yameletwa na islam ambayo ni dini pia, hivyo kusema dini imeleta umaskini au sisi waafrika ni masikini sababu ya uwepo wa dini siyo kweli kwa maana kuna mambo mengi sana yameletwa na dini zote mbili Christianity na Islam ambayo yanatusaidia mpaka leo hii ...
 
Hizo tuhuma sasa weka na ushahidi ili zitimie, kusema tu ni kazi rahisi mbona? Naweza kumshutumu yeyote kwa maneno na ndivyo alivyofanya huyo na wote hao

Kama kweli aseme sasa nani alimshauri asiende kumzika na kwa nini?
Uchochezi tuuu, mmefeli vibaya sana,

Vpn ni daraja tu, muhimu ni n'gambo kuwepo
 
So tukuite lofa? Hautamind?
 
Nimekuuliza TEC kumkosoa na kumpinga Magufuli aliyekuwa mkristo na mkatoliki mwenzao unakuja kuleta maelezo ya Mzee Mwinyi na Nyerere.
Ni kweli walimpinga hadi Magufuli. Hata hivyo, walikuwa wanampinga kwa dhati ya moyoni kabisa au kwa namna ya kufunika kombe mwanaharamu apite?! Kwa mfano, unaweza kuweka ushahidi hata wa kauli unaoonesha TEC waliwataka wananchi kuchukua hatua dhidi ya uvurugwaji mkubwa wa uchaguzi wa 2020? Tulishuhudia maiti zikiokotwa kwenye viroba! Kule MKIRU utaratibu hukufutwa kabisa kushughulikia vurugu zilizokuwa zinaendelea. Taarifa zisizothibitishwa zinaeleza watu wengi sana waliuawa na serikali kwa hoja kwamba ni magaidi na wengine walitupwa jela bila kufikishwa mahakamani. Azory Gwanda alipojaribu kutaka kuripoti yaliyokuwa yanatokea akapotezwa hapo hapo! Je, hao Katoliki waliokuwa wanamkosoa Magufuli walifanya nini zaidi ya kuzuga kwa matamko? Waliwahi kuwataka wananchi kuandamana ili kupinga udhalimu ule? Sasa turejee maabdamano ya UKUTA! Wiki chache kabla ya CHADEMA kutekeleza maandamano ya UKUTA, uongozi wa CHADEMA ukatoa taarifa ifuatayo-
Hapa Kanisa Katoliki likaungana na madhehebu mengine kuwataka CHADEMA watatue mgogoro kwa njia ya amani badala ya maandamano! Na kufuatia maombi hayo ya Viongozi wa Dini wakiwepo Katoliki, maandamano ya UKUTA yakafutwa na Mbowe akatangaza wazi kwamba ameombwa na viongozi wa dini wakiwamo TEC kusitisha maandamano. Sasa ukiangalia kwa jicho la tatu utaona wazi ukosoaji wa TEC kwa Mkatoliki Magufuli ulikuwa formalities tu. Hata baada ya hali kuendelea kuwa mbaya zaidi na Mange Kimambi kuitisha maandamano ya April 26, Kanisa Katoliki wala hawakuhamasisha watu watoke barabarani April 26 ingawaje by 2018 kulikuwa na mambo mengi sana ya ovyo kuanzia kwa wanasiasa wa upinzani hadi raia ambao mara kwa mara walikumbwa na rungu la matumizi mabaya ya mitandao.
 
Lini kanisa katoliki/TEC waliwaambia watu waandamane??
 
Sasa kwanini unazungumza upumbavu kusemba mbona halikuwaambia watu waandamane wakati wa Magufuli kama vile lenyewe ndilo limewaambia watu waandamane wakati wa Samia??
Mungu akusamehe kwa lugha zako za kifedhuli kwa sababu yeyote asiye na hitilafu kwenye mfumo wake wa ufahamu pia anafahamu ni kipi kinahamasishwa na TEC! Na huyo asiye na hitilafu anafahamu kuhamasisha jambo sio lazima jambo hilo litamkwe wazi wazi.
 
Mungu akusamehe kwa lugha zako za kifedhuli kwa sababu yeyote asiye na hitilafu kwenye ubongo wake anafahamu ni kipi kinahamasishwa na TEC!
Kabla huyo mungu hajanisemehe mimi angeanza kwanza kuwasamehe nyie wapumbavu ambao mmekosa akili za kujikita kutaka mabadiliko dhidi ya mfumo dhalimu uliofanya utekaji na mauaji ya raia wake ni sera yake ya kutawala nchi na badala yake mko kwenye ujinga wa kukosoa na whataboutism kwa walioweka maisha yao rehani katikati ya giza kudai haki, mabadiliko na uhai wa watu kuheshimiwa.

Halafu kama mmekuwa watabari hadi mnajua yaliyomo kwenye vichwa vya maaskofu wa TEC kwa nini hamkujua ujinga wenu wa utekaji, mauaji na kuharibu uchaguzi kutasababisha machafuko October 29 na kuleta mgawanyiko mbaya kuwahi kutokea kwenye nchi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…