Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Alafu uwakute wakijisifia ujinga.Na hakuna kitaasisi cha ovyo kama TISS.
Uwezo wake ni kudili na kina CHAULA, SOKA, MDUDE na kuvunja MILANGO ya POLEPOLE.
Hakuna akili humo. Zero kabisa.
Hatujawahi tu na tishio kutoka nje.
Juzi tu hapa DESEMBA 9, DOLA ZIMA na JWTZ wamerusha MAHELKOPTA ya JESHI mengine wameyatoa STOO yamechakaa, wamerusha nchi nzima kutisha watu ambao hata hawawajui.
Zero kabisa.
The Bigger Picture is:
Politicians think about the next election. Statesmen think about future generations.
====================================================================
Nguvu kubwa ya Kanisa Katoliki ni taasisi, ni UTAASISI (INSTITUTIONALIZATION). Kwamba wewe utapambana nayo lakini wewe utaondoka ila yenyewe itabaki na watakuja watawala viongozi wengine kabisa. Hivyo ukizingatia hali ilivyo ni busara sana haya mambo yakazungumzwa nyuma ya pazia kuliko kuleta hadharani na kurushiana vijembe, jambo ambalo litazua hisia kali baina ya waumini na wafuasi.
Katika hili busara haijatumika kwasababu, nyuma ya pazia kuna CHURCH-STATE FORUM, ambacho ni chombo kinachotumika kufanya mazungumzo baina ya watawala na viongozi wa kanisa. Nini kimesababisha kushindwa kukaa meza moja na kuyamaliza huko ndani ???
Mzee Nyerere alishawahi kupambana na TEC, akawalima barua ya kutisha kweli.
Mzee Sokione alishawahi kupambana na TEC, akawashika pabaya mno baadhi viongozi wa kanisa hasa kwenye harakati za kupinga uhujumu uchumi. Sokoine alituma jumbe za kutisha kwa Maaskofu.
Mzee Mkapa alishawahi kupambana na TEC, akalumbana nao mno lakini waliyamalizia nyuma ya pazia.
Mzee Kikwte alishawahi kuzozana na TEC, walimshambulia hadharani lakini hakuvuka mpaka kwenda mbele ya kadamnasi kutaka kuchochea na kupata huruma wa kidini.
====================================================================
Hapa nje unaweza kudhani mambo yako vizuri, ila kuna watu wanaenda kuumia vibaya sana katika hili. Naam, tayari wengi washaanza kuumia nyuma ya pazia. Tukiendelea hivi kuna mambo mabaya mno yatatokea na CCM haiwezi kupona hayo majeraha, wala watawala wake hawawezi kupona hayo majeraha.
Nimetoa mfano wa UFILIPINO, kama utaweza kung'amua hongera. Ukishindwa ndiyo basi tena...
Huo ndio ukweli. Hawakuamua kuja na katiba, Hakuna ambae angeweza kuwazuia kama wangetaka. Maaskofu hawana nguvu ya kuzuia, wao hutoa matamko na waraka na kushauri. Hawana uwezo wa kulazimisha kipi kifanyikeCCM na watu wake wa aina mbalimbali wanachofanya ni diversionary tactics kama hizi za gaslighting kukwamisha mabadiliko yoyote ya katiba, mfumo wa uchaguzi na uwajibikaji.
Unamjua aliyempiga nyundo?TEC wanatetea haki yako, maisha, uhai wako, uhuru wako wa kujieleza na uhuru wa hao vijana kujieleza. Fr Kitima hajasema kitu chochote kibaya hajamtukana Samia au mtu yoyote.
Nyuma Kidogo walimpiga na Nyundo wakitaka kumuua.
Hoja ya wale vijana unaweza kuiitaje? Na hao vijana utawapa jina gani?
Nina uzoefu na hao TISS kwa ngazi za huku chini kabisa.Alafu uwakute wakijisifia ujinga.
Eti sisi ndo idara bora ya usalama Afrika na wale wagonga nyundo JWTZ. Muda wote kujisifia ujinga tu wakati Taifa linaibiwa linafirisiwa huku wao wapo tu.
Miaka 64 ya uhuru eti kuna mgao Dar na mikoa mingine kwa sababu ya tu ya ukosefu wa mvua.
Intelejensia wanayoijua ni kuiba matokeo ya uchaguzi hadi wa madiwani kuisaidia ccm kushinda. Kuteka, kuwafira na kuua viongozi na wanachama wa nyama vya upinzani wakati Katiba tu wanayoapa kuilinda inatambua nchi kuwa ya kidemokrasia.
Akija mtawala wa Ccm Pro Tec mambo yatatulia.Wewe unadhani nini utakuwa mwisho wa CCM vs TEC Rift ???
Ubalikiwe sana ndugu yanguMimi humu ndani napigwa kwenye mijadala tokea mwaka 2012, tofauti ni kwamba huwa nasema mawazo yangu hata kama hayako sahihi na kuwakera watu. Kupigwa kwenye mijadala ni kitu cha kawaida na huwa siogopi kwasababu ndiyo usomi wenyewe.
Japo unaponipiga ni lazima uwe na hoja na majibu mujarabu.....
TEC wakitulia huku utekaj, mauaji, kuporomoka kwa demokrasia na haki za watu kunaendelea hapo hoja itakuwepo.Akija mtawala wa Ccm Pro Tec mambo yatatulia.
Ukimaanisha hata vyama vya upinzani navyo vitakaa kimya? Ingekua hivyp basi Mambo yangetulia wakati wa magufuli, kikwete na mkapa, maana hao wanasemwa kuwa walikua wanalisikiliza kanisaAkija mtawala wa Ccm Pro Tec mambo yatatulia.
Hii maada wakati naisoma mwanzo imekuwa tofaut na wakati nasoma maoni ya watuAnaamini ugaidi haupo kwa sasa sababu waislamu ni wavumilivu. Bila aibu anauweka ugaidi na uislamu kapu moja
Mtumish acha lugha ya matusiHili jamaa ni pumbavu. Linatupotezea muda tu.
Wanachokisema TEC hata sisi RAIA wema mawazo yetu ni hayo hayo.Ndugu zangu mleta maada alitaka aoneshe nguvu ya kanisa kwamba imesababisha hata rais wa Filipino kwenda ICC
Lakin akadokeza kwamba licha ya nguvu ya kanisa ila ndani yake huwa Lina udini kwa mbali
Nadhan lengo la hii maada ulikuwa ni ujumbe kwenda kwa Samia kwamba aache kupambana na kanisa bali apatane nalo maana vita alioianzisha hatashinda mbele ya kanisa
Umemsoma harakaharaka. Kwenye thread yake jaweka vitu vingi vya uongo ambavyo lazima vitakanushwa kwanza.Hii maada wakati naisoma mwanzo imekuwa tofaut na wakati nasoma maoni ya watu
Maada husika imeachwa kujadiliwa kitu kilichopelekea hata yeye mwenyewe mleda maada kuondoka kwenye point mhimu aliyokuwa ameikusudia
Kwahiyo kwa sasa mleta maada anahangaika kuonyesha kwamba hajashindwa na wachangajiaji wake mwenyewe
Tatizo la nyinyi akili visoda wa humu JF huwa hampendi kusikia msioyatakaHakuna kitu kigumu kama kupingana na ukweli kwa vijihoja vya kupika pika.
Anachojaribu kufanya huyu kiazi, ni kuonesha kuwa TEC ndio tatizo hawataki kutoa ushirikiano ili nchi iwe kitu kimoja. (Yaani kuwaunga mkono WAUAJI).
Wanamshutumu utawala kwa kufanya maovu lakini hata wao wenyewe ni waovu.
TEC hawapingi MAUAJI, DHULMA, UTEKAJI na IMPUNITY ila wanapinga kwasababu wanaamini wao ndio wenye mamlaka ya kuamua urais.
========
Hoja zake zote ni za KIPUMBAVU.
Acheni KUUA WATU, acheni KUTEKA WATU, acheni kusweka watu MAHABUSU bila UTARATIBU.Tatizo la nyinyi akili visoda wa humu JF huwa hampendi kusikia msioyataka
Japo kila wakati huwa anaongea myataka kusikia, leo kawaonyesha ukomavu wa akili, kwa kuandika msichopenda ksusikia na tatizo hamna hata hoja ya maan mnachpinga zaidi ya kumwita mpumbavu na sijui kiazi
Hapa ndio tunatofautisha akili zilizojaa tope na kamasi na wenye akili kubwa
Kaa pembeni mbuzi weweHiyo focus ya Uislamu na Ukristo yote ni ujinga mtupu.
Na hizo divisions za kijinga za Uislamu na Ukristo ndizo zinawafanya mzidi kuwa masikini.
Dini zote hizi zimewapandikizia ujinga tu.
Mbona unahama kwenye mada kuuAcheni KUUA WATU, acheni KUTEKA WATU, acheni kusweka watu MAHABUSU bila UTARATIBU.
ACHENI WIZI ya MALI YA UMMA.
Heshimuni THAMANI YA KURA.
Msitegemee kuwa tutazoea huo Upumbavu kama Maisha ya kawaida TZ.
Nyie siyo Mungu wa kuamua nani aishi nani awe huru na nani awe kiongozi.
Miaka ya nyuma kulikuwa na katuni fulani jamaa akiitwa Lord Lofa tukinunua jarida Tsh 700 (wakati wa Mkapa ilikuwa hela nyingi sana hiyo) kwa ajili ya kumsoma yeye tu so neno lofa siyo tusi ni uwakilishi wa mtu aliyekosa dira ila watu mliokosa diraLofa,
Ukisema sio tusi, je utakubali tukuite wewe lofa?
Kuwasema TEC kuhusu nini?Mbona unahama kwenye mada kuu
Ubishani wa kushutumu kila mtu ni muaaji hapa ndio nahakiki kiwango cha akili yako na kwanini umechukizwa na mleta mada kuwasema TEC.