Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

Ukiniomba dhahabu ntaingia mgodini mwez mmoj nakupa, ukijaa sasa na mm naomba niingie mgodini nichimbue mav kmmk
 
Tena inabidi mtushukuru kwa hili mana hatuharibu saikolojia yenu kwa maneno kama sio type yangu na kuwatoa kasoro badala yake tunawapa motisha ya kwenda kutafuta pesa πŸ˜‚
Kwa mimi huhuitaji kuniomba pesa nyingi ili nikukimbie, tsh 500 tu inatosha sana kunikimbiza.

Halafu nashangaa baadhi yenu wadada, unakuta mtu hujamtongoza, hujawahi kumuomba namba ya simu, ni ile tuna mmezoeana na ni majirani, ila kila akikutana na mm kidume karibia kila siku ataomba umnunulie vitu vidogo vidogo, hawa unawazungumziaje, mpaka saa ingine inabidi tu umkwepe huyo mdada.. ntuchake
 
Mtakuja kumwagiwa tindikali barabarani huko kwa huu ujinga wenu.
Wadada wengine unakuta hata hujamtongoza, na hujawahi muomba namba ya simu, ila kutwa kuomba vitu vidogo vidogo, kwa vile tu mmezoeana na ni majirani, hawa unawazungumziaje Karne
 
Akalee mtoto wake au wako πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ila naona kama wadada wengi walio na tabia ya kuomba omba hela kwa wanaume aidha kwa kuwakomoa na kuwakataa hao wanaume, au as their dating strategy, hawako kwenye mahusiano serious, aidha ya uchumba au ndoa, ni kama vile mindset Yao upande wa love and relationships imevurugwa, wamekata tamaa ya kupata mahusiano yenye afya, hivyo wanaona liwalo na liwe

Halafu alichosema mwanajf hapo juu, k.v ni kweli, ndo maana kuna baadhi ya shuhuda za wachawi walioacha uchawi, wanasema walikuwa wakijaribu kumpata mtu wa Mungu, wanaanza kujiweka karibu nae na kumpa zawadi, zawadi zina maana kiroho.
realMamy Daudi1
 
Hapo ni hamnahamna wengine wanaishia kufirwakabisa na hajampenda anaemfira
Halafu ukiangalia vizuri utakuta wadada woote wanaopiga vizinga kwa nia ya kuwakataa wanaume/as their dating strategy, hao wadada wapo single, hawana mahusiano serious k.v uchumba/ndoa,

Wadada wengi waliopo kwenye ndoa au uchumba mzuri, hawakataagi mwanaume kwa kumuomba hela, ukimtomgoza atakupotezea tu, hivyo mwanaume utajiongeza zerominus10
 
Mkuu umemaliza kila kitu mimi sina cha kuongeza nimesema yote
 
Zawadi zawadi mwisho realMamy anaishiakuffirwa km utani vile
 
Mwaka juzi kuna katoto UD, kalikula sana hela za dogo, akaniambia bro kashakula sana hela zangu ila anaruka, naomba nikukabidhi

Nikamwambia mwombe out tutoke nae, demu kakubali. Siku ya out nikachukua namba yake. Nikaanza kuchat nae kumleta kwenye line, kakaanza mizinga alafu kwenye mzigo anaruka, kimoyomoyo nasema hakuna shida utajaa tu ni suala la muda.
Ikatafutwa out moja bagamoyo ndanindani akajaa na shughuri yake ikaishai hapo.
Hadi leo hataki kunisikia

Mleta mada endelea kutumia hiyo mbinu, ila ipo siku utajaa na hautoamini kitakachokukuta
 
Unawashauri wenzako mchezo wa hatari sana! ... hiyo hiyo pesa unayoona unampiga mchizi ndo inaweza kuwa chambo cha kukuangamiza ... siku wakikufumua marinda na kukurekodi pia uje hapa kuwashauri wenzako.
 
Hii kweli kabisaaaa....na wanaune hapana kutuma hela so ngoma draw
 
Vipi ulimla tigo mwanawane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…