Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hunasa kwenye tundu bovuNdege mjanja.
Kwa mimi huhuitaji kuniomba pesa nyingi ili nikukimbie, tsh 500 tu inatosha sana kunikimbiza.Tena inabidi mtushukuru kwa hili mana hatuharibu saikolojia yenu kwa maneno kama sio type yangu na kuwatoa kasoro badala yake tunawapa motisha ya kwenda kutafuta pesa 😂
Ila naona kama wadada wengi walio na tabia ya kuomba omba hela kwa wanaume aidha kwa kuwakomoa na kuwakataa hao wanaume, au as their dating strategy, hawako kwenye mahusiano serious, aidha ya uchumba au ndoa, ni kama vile mindset Yao upande wa love and relationships imevurugwa, wamekata tamaa ya kupata mahusiano yenye afya, hivyo wanaona liwalo na liweAkalee mtoto wake au wako 😅😅😅
Halafu ukiangalia vizuri utakuta wadada woote wanaopiga vizinga kwa nia ya kuwakataa wanaume/as their dating strategy, hao wadada wapo single, hawana mahusiano serious k.v uchumba/ndoa,Hapo ni hamnahamna wengine wanaishia kufirwakabisa na hajampenda anaemfira
Qashy Lilith Manigga Qwame nimekuelewa mkuuKatika vitu mwanaume unatakiwa kuhakikisha unakufa huku binti zako ukiwaachia uchumi wa kutosha.
Mkuu umemaliza kila kitu mimi sina cha kuongeza nimesema yoteHalafu ukiangalia vizuri utakuta wadada woote wanaopiga vizinga kwa nia ya kuwakataa wanaume/as their dating strategy, hao wadada wapo single, hawana mahusiano serious k.v uchumba/ndoa,
Wadada wengi waliopo kwenye ndoa au uchumba mzuri, hawakataagi mwanaume kwa kumuomba hela, ukimtomgoza atakupotezea tu, hivyo mwanaume utajiongeza zerominus10
Zawadi zawadi mwisho realMamy anaishiakuffirwa km utani vileIla naona kama wadada wengi walio na tabia ya kuomba omba hela kwa wanaume aidha kwa kuwakomoa na kuwakataa hao wanaume, au as their dating strategy, hawako kwenye mahusiano serious, aidha ya uchumba au ndoa, ni kama vile mindset Yao upande wa love and relationships imevurugwa, wamekata tamaa ya kupata mahusiano yenye afya, hivyo wanaona liwalo na liwe
Halafu alichosema mwanajf hapo juu, k.v ni kweli, ndo maana kuna baadhi ya shuhuda za wachawi walioacha uchawi, wanasema walikuwa wakijaribu kumpata mtu wa Mungu, wanaanza kujiweka karibu nae na kumpa zawadi, zawadi zina maana kiroho.
realMamy Daudi1
Kuichapa ndio kugusanisha viungo vya kutolea taka mwili?kaka wangu si wa hivyo, nita ichapa usiku na mchana 🤣😂
naaaaamKuichapa ndio kugusanisha viungo vya kutolea taka mwili?
Leta maokotoQashy Lilith Manigga Qwame nimekuelewa mkuu
Hahaha relax basiLeta maokoto
Unawashauri wenzako mchezo wa hatari sana! ... hiyo hiyo pesa unayoona unampiga mchizi ndo inaweza kuwa chambo cha kukuangamiza ... siku wakikufumua marinda na kukurekodi pia uje hapa kuwashauri wenzako.Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!!
Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi kuombwa pesa. Kitendo cha kumuomba pesa tayari utakua umeshamfukuza mwanaume hatarudi tena!
Akijifanya kidume akituma pokea alaf baada ya siku moja muombe tena pesa. Safari hii muombe pesa nyingi zaidi na kama inawezekana muombe na vitu vingine kama nguo, simu, dhahabu na viatu! Hapa utakua umemaliza kazi uyo mwanaume harudi tena! Ataondoka mwenyewe kiroho safi kabisa tena ataondoka kwa kukimbia ata nyuma hatogeuka kuangalia 😂
''Humpendi, omba pesa na vitu vya thamani kadri unavoweza'' hii ndo sheria ya kuwakataa hawa viumbe! watoto wa mujini tunaita law of dissipation!
Hii kweli kabisaaaa....na wanaune hapana kutuma hela so ngoma drawMwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!!
Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi kuombwa pesa. Kitendo cha kumuomba pesa tayari utakua umeshamfukuza mwanaume hatarudi tena!
Akijifanya kidume akituma pokea alaf baada ya siku moja muombe tena pesa. Safari hii muombe pesa nyingi zaidi na kama inawezekana muombe na vitu vingine kama nguo, simu, dhahabu na viatu! Hapa utakua umemaliza kazi uyo mwanaume harudi tena! Ataondoka mwenyewe kiroho safi kabisa tena ataondoka kwa kukimbia ata nyuma hatogeuka kuangalia 😂
''Humpendi, omba pesa na vitu vya thamani kadri unavoweza'' hii ndo sheria ya kuwakataa hawa viumbe! watoto wa mujini tunaita law of dissipation!
Vipi ulimla tigo mwanawane?Mwaka juzi kuna katoto UD, kalikula sana hela za dogo, akaniambia bro kashakula sana hela zangu ila anaruka, naomba nikukabidhi
Nikamwambia mwombe out tutoke nae, demu kakubali. Siku ya out nikachukua namba yake. Nikaanza kuchat nae kumleta kwenye line, kakaanza mizinga alafu kwenye mzigo anaruka, kimoyomoyo nasema hakuna shida utajaa tu ni suala la muda.
Ikatafutwa out moja bagamoyo ndanindani akajaa na shughuri yake ikaishai hapo.
Hadi leo hataki kunisikia
Mleta mada endelea kutumia hiyo mbinu, ila ipo siku utajaa na hautoamini kitakachokukuta
Hahahha, hiyo dhambi ni kubwa mkuu, ila hakukua na muda wa kuomba maji wala kupumzika.Vipi ulimla tigo mwanawane?