Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Huu ni ubunifu mzuri sana, Kongole kwa Mzee Bakhressa, ila vipi mawasiliano hayakati kweli??😂Hakuna tena kukosa mechi au vipindi vya AzamTv ukiwa safarini.
Baada ya AzamTv kuleta ving’amuzi ambavyo unaweza ukafunga kwenye magari, mabasi ya mikoani yamechangamkia fursa.
Mabasi kama Mallesa, Achimwene na Shabiby yashafungwa na wateja wana enjoy.
Tumpe mzee Bakhressa maua yake ayanuse angali hai.
View attachment 2818129
Mudi ni muuza sura. Yupo tayari alipe kina forbes wamuandike kwa takwimu za kubuma ili azidi kuuza sura.Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Mnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
😆😆😆🤪Usiombe dereva ndo timuyak imefungwa abiria tutakutana akhera madukani
Si kweli Mo anamzidi mbali sana BakhresaMwamedi ni utajiri kwa vijana below 45 ndio anasimamiamo humo not overall
Malori ya mwamedi yanatengenezewa burundiMnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Mwamedi ni tajiri wa mchongo, utajiri wake ni wa ku downloadMnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Ndiyo, na ndiye tajiri aliyeajiri watu wengi baada ya serikaliKwani takwimu za walipa kodi nchini zinaonyesha kampum zake zinaongoza mkuu?
Ukitaka kujua kati ya bakhresa na Mo nani ni tajiri angalia wafanyakazi wao. Mfano Kuna kampuni moja ya azam kima Cha chini Cha mshahara ni laki nne na nusu(450,000/=) hiyo ni take home baada ya makato yote, nenda Kwa Mo utahuzunika. Mo analipa laki na nusuMnifafanulie mwamedi uwa anamzidi vipi utajiri baresa, au mi ndo sielewi[emoji848]
Forbes wanachukua taarifa kutoka kwako mwenyeweHapo kuna uhuni toka kwa hao jamaa wa lile jarida lao
Sasa ulitaka kusemaje?Ukitaka kujua kati ya bakhresa na Mo nani ni tajiri angalia wafanyakazi wao. Mfano Kuna kampuni moja ya azam kima Cha chini Cha mshahara ni laki nne na nusu(450,000/=) hiyo ni take home baada ya makato yote, nenda Kwa Mo utahuzunika. Mo analipa laki na nusu
Mo alikuwepo tangu Rais Mwinyi huyu Bakrehsa katoto kajuzi kanajitafutaMo ni dollar billionaire, bakhresa ni dollar millionaire.
Huwezi kujua ukweli ila vyanzo vinavyoaminika vinasema hivyo.
kwan huko google wanaandika chura si watu kama ww braza afu unajua niniHaha mkuu ulikuwa unatafuta nini hadi ukasearch hiyo sentensi, lakini sishangai sana google nayo kuna wakati huwa inakuwa fed some wrong data, kuna kipindi ilikuwa ukigoogle top ten ya most beautiful women in the world unakuta jina la Justin Bieber liko namba sita
Wakristo hasa walokole ni jamii ya watu wa ovyo , wewe kwenye biashara yako unaweza ajiri watu wanaenda kanisani kila siku?Mwenye,azam hawapendi wakristo ni wakristo ni wanajikomba
Hivi kibarua pale Azam malipo kiasi gani kwa siku?Ukitaka kujua kati ya bakhresa na Mo nani ni tajiri angalia wafanyakazi wao. Mfano Kuna kampuni moja ya azam kima Cha chini Cha mshahara ni laki nne na nusu(450,000/=) hiyo ni take home baada ya makato yote, nenda Kwa Mo utahuzunika. Mo analipa laki na nusu
Hapa hoja sio bidhaa, hoja hapa ni nani tajiri kuliko mwingine na mm nimemjibu kuwa Mo takwimu kutoka vyanzo vyote vya kiserikali vinaonesha kuwa ana utajiri tena zaidi ya mara mbili ya Bakhresa sasa nyinyi kinacho fanya mtilie mashaka utajiri wa mo ni kitu gani hasa?Yaani unaulizwa kitu kingine,unajibu kingine.
Wapi kasema anapungukiwa chochote?
Na wapi amebishana na serikali
Yaani anakuambia taja vitu ,wewe unamuandikia habari za serikali.
Acha chuki za kifala hata serikali yako inamtambua Mo kama tajiri namba 1 Tz.Mudi ni muuza sura. Yupo tayari alipe kina forbes wamuandike kwa takwimu za kubuma ili azidi kuuza sura.
Mudi Kanjibhai ni mjanja mjanja tu wa town anaebebwa na rangi yake.
Huu ungekuwa mkeka ningesema zimechana timu zote 4. Yaani;Bakhresa ni tajiri Na. 4 hapa Tanzania baada ya Ally Awadh wa LAKE OIL wakifungana kwa utajiri wa $600 Mil kila mmoja wakati Mo ni Na. 1 kwa utajiri wa $1,500 Mil ($1.5 Bil) akifuatiwa na Rostam Aziz; maandazi huwa hayana faida sana[emoji1787]
Hata ukiniambia nilete takwimu zangu basi, sina. Yaani ni hisia tu kwa mtazamo wangu kwamba Mwamedi hawezi kuwa tajiri namba 1.1. Siamini bakhresa kama ni tajiri namba 4 tanzania
2. Siamini kama Ally Awadh pia kama ni tajiri namba 4 sawa na Bakhresa.
3. Siamini kama Rostam anamzidi Bakhresa
4. Siamini kama Mwamedi ni namba 1 na anawazidi Bakhresa na Ally Awadh utajiri wao ukijumlishwa kwa pamoja.