Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

Wanawake wepi hao unaowaongelea hapa?

Mimi na wengine wengi tunaamini kwenye wanawake wenye uwezo katika kazi na SSH anao uwezo, hata waliompokea kwenye siasa na aliyekua kiongozi wake JPM aliliona hilo
Walikosoa, wanakosoa watakosoa. Ndo kazi wanayoiweza sana.
 
Yaa kwa upande wa kanda ya ziwa walivyomkubali magu huyo mama ajihesabie maumivu, ni bora apishe mwingine akajipange mapema.....
Kanda ya ziwa ipi ya kuipinga CCM?!!!

Miradi mikubwa inaendelezwa huko.......

ENDELEA KUOTA JUANI....
 
Uliichosema ni kweli mkuu,yaani hapa kitaa kuna kakikundi ka wanawake ni CCM kindaki ndaki wakiongozwa na mama yangu mdogo ndio hua wapiga vigelegele na wawakilishi wa mtaaa kwenye mikutano
Duuuu huwezi amini Hawamkubali Madame wanamkandia balaa,wanasema anajua kulembua tu wakati mahitaji madogo madogo kama mafuta ya kula yapo bei juu?

Hua nawakejeli kwa kuwaimbia CCM Mbele kwa mbele nikiona wana dis

Juzi kati wakakili kumbe bungeni bila wapinzani kuwepo kuna wagonga meza wananapitisha upumbavu bila kupinga,naona wanajipanga sasa et Tundu Lisu akirudi 2025 kugombea watamuunga mkono kwa kishindo

Naishia kucheka tu nakusema
Hiiiiii bha ghoshaaaaaaaa
Ama kweli wanawake hawapendani!
Hakuna mwanaCCM wa kumpinga MWENYEKITI WA CHAMA...huyo hayupo....hayupo nakuambia.....ni ama huyo mama mdogo wako ni VUGUVUGU....au hajaiva ITIKADI ZA CHAMA ..au pia ameathirika kisaikolojia na "MFUMO DUME"....

Chunguza ngosha 🤣🤣
 
hayo ulioandika siyo tanzania tu
ni DUNIA nzima ipo hvyo

kwa lugha nyepesi hayo uliyoyanena ndio NATURE ya mwanamke

Sisi katika UISLAM tunampa MWANAMKE DARAJA la kwanza katika kila kitu
WAZUNGU wao wanasema LADIES FIRST
ila kanyimwa kitu kimoja tu UONGOZI

Mwanamke ana NATURE ya UONGOZI na ukitaka kuvuruga mipango endelevu mueke mwanamke awe KIONGOZI atavuluga tu
MWANAMKE ana HAYA(AIBU) nyingi hvyo ni mgumu sana katika kufanya maamuzi ya papo kwa papo
na katika mwezi mzima mwanamke kunakuwa na siku karibu 6 ambapo akili ya mwanamke huwa haipo sawa (KISIRANI) so hakiwa katika hali hiyo huweza kufanya maamuzi ya HOVYO sana
na ukumbuke mwanamke ana kiungo ambacho kimeungwanishwa karibu mishipa yote ya fahamu so ni mwepesi mnoo ukimpatia tu ndio mana kuna baadhi ya makabira wanakitoa ili kumpa USTRONG mwanamke mana ni KIUNGO pekee ambacho UMPOTEZA nguvu kabisa mwanamke ndani ya sekunde chache tu

kwa maelezo hayo machache utagundua akiwa KIONGOZI mwanamke basi lazima kutakuwa na MWANUME au JOPO la WANAUME litakalo kuwa likiamua mambo au kushauri So huo UONGOZI wake unakuwa kazi bure KIVURI tu
 
Hakuna mwanaCCM wa kumpinga MWENYEKITI WA CHAMA...huyo hayupo....hayupo nakuambia.....ni ama huyo mama mdogo wako ni VUGUVUGU....au hajaiva ITIKADI ZA CHAMA ..au pia ameathirika kisaikolojia na "MFUMO DUME"....

Chunguza ngosha 🤣🤣
Naona kuwekwa kwenye payroll ya chief hangaya kumekufanya usiwe objective, haya endelea na mapambio....
 
Hakuna mwanaCCM wa kumpinga MWENYEKITI WA CHAMA...huyo hayupo....hayupo nakuambia.....ni ama huyo mama mdogo wako ni VUGUVUGU....au hajaiva ITIKADI ZA CHAMA ..au pia ameathirika kisaikolojia na "MFUMO DUME"....

Chunguza ngosha 🤣🤣
ndugu jumbe sipingi kuhusu mwenyekiti kukubalika ila huyu mwenyekiti mwenye jinsia ya kike hakubaliki na wanawake wengi sana
Na hiyo ni nature tu kama nadanganya angalia ofisi nyingi zenye mabosi wa kike halafu ulete mrejesho ni jinsi gani wanawake wenzie hawampendi na kumpiga majungu!
 
Kwani mwanamke alikua anaminywa wakati wa tawala nyingine?? Huyu mama ni kama vile analipa kisasi wakati na yeye ni mnufaika wa tawala zilizopita.

Anajaribu kuaminisha umma kua huko mwanzo mwanamke hakua akithaminiwa wakati si kweli. Anatumia uanamke kama chambo ya kuwachota wanawake wapumbavu wanaotaka tu eti waongozwe na mwanamke kisa ni mwanamke na sio utendaji kazi wake.
 
Samia Hana watu nje ya mfumo Ili wamsaidie kupata information za wananchi wanamengi? Kwani system hawawezi kumpa ukweli wote watamdanganya tu ,na kumpoteza.

Ila kuhusu wanawake asiwayegemee kumuunga mkono.

Nakumbuka siku ya kwanza tu anaapishwa wanawake hawakuona Kama ni fursa kwa jinsia yao na kwa kuzingatia historical Tanzania leadership .

Wanawake wanaamini mwanaume zaidi kuliko wao wenyewe wanavyo jiamini ,kumbukawapiga kura wengi ni wanawake tenarika chini ya miaka 50 ,Na hao wana tegemea kuhongwa pesa na wapenzi, marafiki,wachumba, na mahawala wa kiume .

So yupo tayari kumuunga mkono mwanaume ili aendelee ku-enjoy vijisent hivyo , Maana mwanamke mwenzao hatawahonga chochote .
 
Rais Samia atasbinda tena kwa asilimia anazotaka mwenyewe kwasababu CCM tayari ina maxhinery nzito ya uchaguzi.


Ni upumbavu kukaa tunajadili kitu ambacho kinafahamika kabisa.

Kwanza wanawake wengi ni CCM, huku mitaani tunaona.
Acha kukariri maisha.kamwe jana haiwezi kufanana na leo na leo haiwezi kufanana na kesho.
 
Kwani uchaguzi hapa una amliwa na idadi ya kura, au na CC (Central Committee) ya chama tawala, la muhimu yeye kupita ni kueweka chama vizuri na kuondoa wanao mpiga chawa) kama polepole na wezie, ila la muhimu asiache kambi Msoga, huyu baba ndo architecture wa siasa za CCM, na anapendwa sanaa na Watanzania, hizo kura zawanawake hazina lolote
Tangu hayati Magufuli alipowakemea Wakurugenzi kwamba "nawalipa vizuri na mafuta ya magari anawapa halafu wapitishe wagombea wa chama kingine", tokea hapo, sanduku la kura limekosa maana, CCM wanafanya wanachotaka. Tume ya uchaguzi ipo mradi kutimiza kanuni tu kuwa uchaguzi ulifanyika. Juhudi za kurudisha heshima ya sanduku la kura kuamua nani awe nani zifanyike kwa bidii, lakini kama utaratibu huu wa kupita bila kupingwa ukiendelea, upigaji kura utakuwa ni maonyesho tu ya kuionyesha dunia kwamba uchaguzi ulifanyika Tanzania lakini hakuna maana yoyote ya uchaguzi wa bandia kama huu.
 
Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.

Pili mama Samia asahau kabisa kuwa wanawake wa Tanzania wanaweza kujipanga kumpa madaraka au kulinda madaraka yake, kwa sababu ya tabia za kisiasa za wanawake wa Tanzania walivyo. Kwa mfano.

1. Wanawake wengi wa Tanzania husukumwa na wanaume kimaamuzi.

2. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini kufanikiwa kwao kimaisha kunategemea kuwezeshwa na wanaume.

3. Wanawake wengi wa Tanzania hawapendi kuongozwa na mwanamke mwenzao.

4. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini adui mkubwa wa mwanamke kwenye maisha ni mwanamke mwenzake.

5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari.

Mwisho kabisa ninapenda kuandika kuwa, Siku Rais Samia akigundua kuwa mateso ya kimaisha wanayopata wanawake yanaletwa na mwenendo mbovu wa seikali yake, hakika ataogopa kuwaambia wanawake wamuunge mkono kwenye mbio zake za urais 2025.
kiuhalisia ni kweli kabisa wanawake wanakaasili ka kuoneana wivu wao kwa wao,

chamsingi wamsapoti mwanamke mwenzao Samiah na kazi iendelee.

Wanaume tunampenda sana Samiah, mwaka wa 2025 tuunganishe nguvu sote bila kujali jinsia tukampe Samiah kura za ushindi mkubwa ambao haujawahi kutokea tangu TZ ipate uhuru.
 
Usisahau kuwa hata mwaka 2015 wakati Jina la Hayati limepitishwa CCM Rais Mstaafu alipomwita ndani na kumwambia akuteue Wewe na siyo Mwanaume kuna Wanawake wenzako pale pale ndani ya Chama walimkatalia ila Mzee wa Watu hakuwasikiliza na akamshauri Hayati akuchague Wewe.

Binafsi kama Mightier 85% ya Maisha yangu ni ya Kujichanganya zaidi na Wananchi na wala nisikufiche Bibie kila eneo Wanawake wenzako hawakupendi na wengine wanakudharau, ila ni Sisi Wanaume unaoonekana Kutudharau leo ndiyo huwa tunakupigania na Kukutea Kwao.

Wakati ukijimwambafai mbele ya Wanawake wenzako tambua kuwa Chama chako pamoja na kwamba huwa Kinashinda Chaguzi zake, ila Kiuhalisia huo Ushindi hutokana na Umafia wa Kisamjo Samjo ( Ujanja Ujanja ) ambao nina uhakika hawa Wanawake wenzako hawana Ubavu huo.

Kuwa makini sana na Kauli zako za kama vile Kuwadidimiza ( Kuwadhalilisha ) Wanaume kwa Gharama za Kuwasifu na Kuwapendelea Wanawake wenzako kwani wale Wanaume wabobezi wa Kuiba Kura ndani ya Chama chako wanaweza Wakakususia na Kuwaachia Wanawake wenzako wakuhangaikie na mwishoni usikie Mshindi wa Matokeo ni Mpinzani kutokea Singida au Askofu Maarufu wa Ubungo kutokea Usukumani ambaye yuko mbioni.kuhamia Kwao ili Kupambana nawe 2025.

Endelea tu Kutudharau Wanaume Bibie.
 
Wanaume hatujafundishwa kujibishana na mama zetu tumvumilie tu
 
Ovyo tu,mzee cheyo nimemsikia anasema wanaume tumezaliwq na wanawake zikapigwa kelele nyingi na vigelele kama vile walikuwa hawajui

Kwa mujibu wa huyo mzee,hiki ndicho kigezo cha kwamba wanawake wana uwezo mkubwa wa kuongoza nchi, huu ni ubahuzi wa kijinsia huyu bibi analeta
Nataka nimsonye, asikie huyo Momo!
Mzsy!
 
Hangaya ni picha ya Rais uchwara kuwahi kutokea, ni kwa kile anachokiita kudra za Mnyaazi tu.
 
Back
Top Bottom