Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mara ya kwanza huyu mama yenu atawaongoza wanawake wenzake kumwaga damu za wanyonge ili tu aweze kuendelea kuwa malkiaUsisahau kuwa hata mwaka 2015 wakati Jina la Hayati limepitishwa CCM Rais Mstaafu alipomwita ndani na kumwambia akuteue Wewe na siyo Mwanaume kuna Wanawake wenzako pale pale ndani ya Chama walimkatalia ila Mzee wa Watu hakuwasikiliza na akamshauri Hayati akuchague Wewe.
Binafsi kama Mightier 85% ya Maisha yangu ni ya Kujichanganya zaidi na Wananchi na wala nisikufiche Bibie kila eneo Wanawake wenzako hawakupendi na wengine wanakudharau, ila ni Sisi Wanaume unaoonekana Kutudharau leo ndiyo huwa tunakupigania na Kukutea Kwao.
Wakati ukijimwambafai mbele ya Wanawake wenzako tambua kuwa Chama chako pamoja na kwamba huwa Kinashinda Chaguzi zake, ila Kiuhalisia huo Ushindi hutokana na Umafia wa Kisamjo Samjo ( Ujanja Ujanja ) ambao nina uhakika hawa Wanawake wenzako hawana Ubavu huo.
Kuwa makini sana na Kauli zako za kama vile Kuwadidimiza ( Kuwadhalilisha ) Wanaume kwa Gharama za Kuwasifu na Kuwapendelea Wanawake wenzako kwani wale Wanaume wabobezi wa Kuiba Kura ndani ya Chama chako wanaweza Wakakususia na Kuwaachia Wanawake wenzako wakuhangaikie na mwishoni usikie Mshindi wa Matokeo ni Mpinzani kutokea Singida au Askofu Maarufu wa Ubungo kutokea Usukumani ambaye yuko mbioni.kuhamia Kwao ili Kupambana nawe 2025.
Endelea tu Kutudharau Wanaume Bibie.
Sijui mlitaka huyu mama awatolee ziwa mnyonye...yeye ndo raisi,hata yule aliyekufa alikuwa kibri baada ya NGEKEWA ya uraisi,hivi vitisho vingine vitaishia humu na havina madhara yoyote kwa mtu wa level yake ni kujifurahisha kwa wana JF.Usisahau kuwa hata mwaka 2015 wakati Jina la Hayati limepitishwa CCM Rais Mstaafu alipomwita ndani na kumwambia akuteue Wewe na siyo Mwanaume kuna Wanawake wenzako pale pale ndani ya Chama walimkatalia ila Mzee wa Watu hakuwasikiliza na akamshauri Hayati akuchague Wewe.
Binafsi kama Mightier 85% ya Maisha yangu ni ya Kujichanganya zaidi na Wananchi na wala nisikufiche Bibie kila eneo Wanawake wenzako hawakupendi na wengine wanakudharau, ila ni Sisi Wanaume unaoonekana Kutudharau leo ndiyo huwa tunakupigania na Kukutea Kwao.
Wakati ukijimwambafai mbele ya Wanawake wenzako tambua kuwa Chama chako pamoja na kwamba huwa Kinashinda Chaguzi zake, ila Kiuhalisia huo Ushindi hutokana na Umafia wa Kisamjo Samjo ( Ujanja Ujanja ) ambao nina uhakika hawa Wanawake wenzako hawana Ubavu huo.
Kuwa makini sana na Kauli zako za kama vile Kuwadidimiza ( Kuwadhalilisha ) Wanaume kwa Gharama za Kuwasifu na Kuwapendelea Wanawake wenzako kwani wale Wanaume wabobezi wa Kuiba Kura ndani ya Chama chako wanaweza Wakakususia na Kuwaachia Wanawake wenzako wakuhangaikie na mwishoni usikie Mshindi wa Matokeo ni Mpinzani kutokea Singida au Askofu Maarufu wa Ubungo kutokea Usukumani ambaye yuko mbioni.kuhamia Kwao ili Kupambana nawe 2025.
Endelea tu Kutudharau Wanaume Bibie.
Damu zipi Komredi ?!! Khaa 😲😲Kwa mara ya kwanza huyu mama yenu atawaongoza wanawake wenzake kumwaga damu za wanyonge ili tu aweze kuendelea kuwa malkia
Namba tatu na nne ziko wazi, nimeona maofisini, huko vyuoni na kwingineko, kuliko mwanamke amuachie mwanamke mwenzake awe mbele yake, kwake anaona bora mwanaume akae mbele wakose wote, naamini hii ni nature yao.
Labda wale wajinga ila wengi wako nae na wanamtetea..ujue nyie watu wa mjini huwa mnajilisha Sana upepo na kusahau kwamba Vijijini ndiko kuna wapiga kura na huko ndiko Rais anapambania kuweka mambo sawa ..Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.
Pili mama Samia asahau kabisa kuwa wanawake wa Tanzania wanaweza kujipanga kumpa madaraka au kulinda madaraka yake, kwa sababu ya tabia za kisiasa za wanawake wa Tanzania walivyo. Kwa mfano.
1. Wanawake wengi wa Tanzania husukumwa na wanaume kimaamuzi.
2. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini kufanikiwa kwao kimaisha kunategemea kuwezeshwa na wanaume.
3. Wanawake wengi wa Tanzania hawapendi kuongozwa na mwanamke mwenzao.
4. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini adui mkubwa wa mwanamke kwenye maisha ni mwanamke mwenzake.
5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari.
Mwisho kabisa ninapenda kuandika kuwa, Siku Rais Samia akigundua kuwa mateso ya kimaisha wanayopata wanawake yanaletwa na mwenendo mbovu wa seikali yake, hakika ataogopa kuwaambia wanawake wamuunge mkono kwenye mbio zake za urais 2025.
Acha uongo mkuu,kwani ameanza leo mambo ya uchaguzi?Mwanamke kumkubali mwanamke mwenzie siku zote kibongo bongo huwa shughuli maza anadata na amsha amsha za jukwaani
Lakini ukweli utabaki pale pale kwa mfumo wa nchi yetu mtu hubebwa na system ya chama na si mtu kutafuta kuungwa mkono
Rudia kusoma kwa kuturia utanielewa. hasa kipande cha piliAcha uongo mkuu,kwani ameanza leo mambo ya uchaguzi?
Mbona kuna wabunge wanawake wengi tuu,na unadhani wanawake waache kuchagua ccm watamchagua nani? Lisu ? 😄😄
Wanaume tutamchagua, tufanye wanawake hawatamchagua sasa sijui watamchagua Lisu na chadema au? 😄😄Rudia kusoma kwa kuturia utanielewa. hasa kipande cha pili
mwanamke yake ni tamaa, mfano kwa tamaa yako ya mwili mumeo atakutawala, sasa hiweke kwenye pesa au Mali nk. Na kama tamaa yake sio kwako au pesa au Mali hamumtawali. kwa mujibu wa sayansi ya biblia.Umetumia kipimo gani kutambua wanawake wengi ni CCM, research au zile sare zao za kijani ambazo hata mashabiki wa Yanga wakivaa wanaonekana kama CCM?