Siku Rais Samia akigundua wanawake ndio wanaompinga zaidi, atawapigia magoti wanaume

Mi pia nampenda sana Mama yetu Samia

Ila hizi harakati za jinsia kila siku zinachosha...

Chapa kazi Mama uko vizuri..focus on issues tu...ya jinsia nafkr yanatosha
Kama bado ana portion ya fikra yakinifu anatakiwa mambo ya kijinsia kuwaachia mazuzu wa mitandaoni.

Kama rais kujikita kwenye mambo hayo ni fedheha kwa taasisi ya urais
 
"Misogynist"si lazima awe mwanaume tu hata MWANAMKE PIA.....

SIEMPRE CHIEF MKUU HANGAYA💪
 
Mwacheni mama achape kazi,, tunakujua hata ukijificha wee ni pro sukuma gang,

Na akimaliza mikumi tunamuongezea mikumi mingine hata kama hataki!

Kuna mtu alidhalilisha wengine sana, akajifanya yeye ni mungu mtu na kundi lake, wakajiaminisha wao ndo wenye nchi na hakuna wakuwagusa, wengine wakatupiliwa kule,

Washamba fulani hivi, 😂😂😂
 
Wanadamu sisi wa ajabu sanaaaa. JPM tuliona hafai, tena wako mlioshukuru kuondoka kwake na leo tunasema samia nae hafai🤔

Kwanini kumlinganisha Rais Samia Suluhu Hassan na John Pombe Joseph Magufuli?

Nyerere alilaumiwa kisha Mwinyi akaonekana afadhali, baadae Mwinyi akaumiwa sana Mkapa akaonekana mwema ila alipoondoka ikawa bora. Kikwete akonekana bora zaidi ya mkapa ila baadae lawama zilezile..... binadamu hatuna jema

SSH ni Rais wetu na hilo hatuwezi badilisha, tunatakiwa kumuombea na kumsaidia kutekeleza mipango sio kumsemea mabaya kila siku na kumlaumu

Tumwache JPM apumzike kwa amani na tumwombee Rais SSH na wasaidizi wake waendeleze yale aliyotuachia. Yote yametokea ndani ya mipango ya Mungu
 
Ni kweli kabisa, issue za ferminism zimepamba moto sana kipindi hiki, wanawake wanawaona wanaume hawana msaada kwao na si kitu, kwamba wanaweza bila wanaume. Sasa yeye kama kiongozi wa Nchi hatakiwi kuchukua upande eti tu kwasababu yeye ni mwanamke, yeye hatakiwi kuweka mafuta ya petrol kwenye moto unaowaka.

Yeye ni kiongozi wa Waislam, Wakristo, Wapagani, Banyani, n.k, yeye ni kiongozi wa wanaume na wanawake, yeye ni kiongozi wa ccm, chadema, nccr mageuzi, cuf na Act Wazalendo, yeye ni kiongozi wa wachaga, wapare, wahaya, wazanaki, wazaramo, warangi, wagogo, wamakonde, wahehe, wanyakyusa, waha, wasu K, Wajita, n.k , yeye ni Kiongozi wa Taifa hili la Kitanzania.

Pia watanzania wote tunajua kuhusu maumbile yake ni ya kike, tunajua umuhimu wa wanawake na tunawathamini, kuwapenda na kuwaheshimu. Sasa hamna haja ya kila anapopata nafasi ya kuongea na wananchi kurudia mambo hayo hayo. Watanzania wana mambo mengi sana wangependa kusikia kutoka kwake.
 
Habari za mwamko wananchi!
Binafsi nampenda Rais Samia Suluhu Hassan kuliko Magufuli, hii haimaanishi kuwa mimi ni team Samia Suluhu bali tukiweka mzani kati ya Magufuli na Samia binafsi nitaangukia kwa Rais Samia Suluhu.
Turudi kwenye mada.
Ni kwamba wananchi hasa wanawake wameshamchoka huyu mama.
Kila ninakopita wanawake nawasikia wakimrushia vijembe kuwa anazurula hovyo.
Ninaona haja sasa kupitia television, redio na magazeti Watanzania waelimishwe umuhimu wa safari hizi za Rais wetu.
Watu wakielimishwa huenda wataelewa na kujua kuwa anachokifanya Samia Suluhu kina manufaa kwao.
Tena anafikiri anawatetea wanawake. Yaani 2025 atapigiwa kura za hapana na wanawake wenzake. Yaani kama uchaguzi utakuwa huru na haki. Samia hawezi shinda hata awekwe Na jiwe. Pamoja kuwa anatunanga wanaume ila wanawake ndo wanamchukia zaidi. Hajui tu washauri wake wamamdanganya
 
Kwani Chato gang mna jema kwa Mama? Hata afanyaje lazima muanzishe nyuzi humu kuwa hapendwi kumbe hamumpendi nyie!

Vumilieni tu ndo Rais wenu huyo kwa miaka 9
 
Tena anafikiri anawatetea wanawake. Yaani 2025 atapigiwa kura za hapana na wanawake wenzake. Yaani kama uchaguzi utakuwa huru na haki. Samia hawezi shinda hata awekwe Na jiwe. Pamoja kuwa anatunanga wanaume ila wanawake ndo wanamchukia zaidi. Hajui tu washauri wake wamamdanganya
Kataa, kubali, pinga , susa, Samia ndo Rais wako 2025-2030
 
Vukundi vya wamama na vijana vinapokea mikopo mizuri ya vikundi.

Mzunguko wa fedha unaongezeka watu wanarudi kwenye ujenzi na shughuli za matumizi ya fedha.

Mafundi wangu ninaowatumia kwa mara ya kwanza wapo booked unawapata kwa appoitment.

Tz inaanza kuvutia kifedha.

Unless mtu ni mwanasiasa ila kama sio achana na siasa uchwara tumia hii nafasi kupata maendeleo. Hujui anayekuja ATAKUFANYA NINI.
 
Mwacheni mama achape kazi,, tunakujua hata ukijificha wee ni pro sukuma gang,

Na akimaliza mikumi tunamuongezea mikumi mingine hata kama hataki!

Kuna mtu alidhalilisha wengine sana, akajifanya yeye ni mungu mtu na kundi lake, wakajiaminisha wao ndo wenye nchi na hakuna wakuwagusa, wengine wakatupiliwa kule,

Washamba fulani hivi, 😂😂😂
SSH akimaliza ushamba wake wa urais atakuwa kiongozi mzuri sana.
 
Mimi bado naimani naye, labda changamoto ni watendaji wake kuweza kufanya shughuli kadiri jamii inavyotaka
 
Habari za mwamko wananchi!
Binafsi nampenda Rais Samia Suluhu Hassan kuliko Magufuli, hii haimaanishi kuwa mimi ni team Samia Suluhu bali tukiweka mzani kati ya Magufuli na Samia binafsi nitaangukia kwa Rais Samia Suluhu.
Turudi kwenye mada.
Ni kwamba wananchi hasa wanawake wameshamchoka huyu mama.
Kila ninakopita wanawake nawasikia wakimrushia vijembe kuwa anazurula hovyo.
Ninaona haja sasa kupitia television, redio na magazeti Watanzania waelimishwe umuhimu wa safari hizi za Rais wetu.
Watu wakielimishwa huenda wataelewa na kujua kuwa anachokifanya Samia Suluhu kina manufaa kwao.
Adui ya mwanamke ni mwanamke
 
Raisi SSH ame disappont watu wengi katika utawala wake ndani ya hi miezi 6, kapooza sana,....japo boro mara 10 kuliko JPM alie kua ameua kila sekita, il a sio too late Mama anaweza kurekebisha utawala wake safu ya mawaziri ni mbovu kupitilìza awaondoe anze kupanga upya, kesi ya Mbowe imemushusha vibaya, ilie mshauri kuhusu hio kesi ndo adui wake mkubwa.
 
Back
Top Bottom