JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Walikosoa, wanakosoa watakosoa. Ndo kazi wanayoiweza sana.Wanawake wepi hao unaowaongelea hapa?
Mimi na wengine wengi tunaamini kwenye wanawake wenye uwezo katika kazi na SSH anao uwezo, hata waliompokea kwenye siasa na aliyekua kiongozi wake JPM aliliona hilo
Kanda ya ziwa ipi ya kuipinga CCM?!!!Yaa kwa upande wa kanda ya ziwa walivyomkubali magu huyo mama ajihesabie maumivu, ni bora apishe mwingine akajipange mapema.....
Hakuna mwanaCCM wa kumpinga MWENYEKITI WA CHAMA...huyo hayupo....hayupo nakuambia.....ni ama huyo mama mdogo wako ni VUGUVUGU....au hajaiva ITIKADI ZA CHAMA ..au pia ameathirika kisaikolojia na "MFUMO DUME"....Uliichosema ni kweli mkuu,yaani hapa kitaa kuna kakikundi ka wanawake ni CCM kindaki ndaki wakiongozwa na mama yangu mdogo ndio hua wapiga vigelegele na wawakilishi wa mtaaa kwenye mikutano
Duuuu huwezi amini Hawamkubali Madame wanamkandia balaa,wanasema anajua kulembua tu wakati mahitaji madogo madogo kama mafuta ya kula yapo bei juu?
Hua nawakejeli kwa kuwaimbia CCM Mbele kwa mbele nikiona wana dis
Juzi kati wakakili kumbe bungeni bila wapinzani kuwepo kuna wagonga meza wananapitisha upumbavu bila kupinga,naona wanajipanga sasa et Tundu Lisu akirudi 2025 kugombea watamuunga mkono kwa kishindo
Naishia kucheka tu nakusema
Hiiiiii bha ghoshaaaaaaaa
Ama kweli wanawake hawapendani!
Naona kuwekwa kwenye payroll ya chief hangaya kumekufanya usiwe objective, haya endelea na mapambio....Hakuna mwanaCCM wa kumpinga MWENYEKITI WA CHAMA...huyo hayupo....hayupo nakuambia.....ni ama huyo mama mdogo wako ni VUGUVUGU....au hajaiva ITIKADI ZA CHAMA ..au pia ameathirika kisaikolojia na "MFUMO DUME"....
Chunguza ngosha 🤣🤣
😲😲🤣Naona kuwekwa kwenye payroll ya chief hangaya kumekufanya usiwe objective, haya endelea na mapambio....
Siyo mkuu, nimerusha tu jiwe gizani....😲😲🤣
Mkuu Nyumisi umeamua "hisia" kuzifanya "uhalisia" ?!!
ndugu jumbe sipingi kuhusu mwenyekiti kukubalika ila huyu mwenyekiti mwenye jinsia ya kike hakubaliki na wanawake wengi sanaHakuna mwanaCCM wa kumpinga MWENYEKITI WA CHAMA...huyo hayupo....hayupo nakuambia.....ni ama huyo mama mdogo wako ni VUGUVUGU....au hajaiva ITIKADI ZA CHAMA ..au pia ameathirika kisaikolojia na "MFUMO DUME"....
Chunguza ngosha 🤣🤣
Acha kukariri maisha.kamwe jana haiwezi kufanana na leo na leo haiwezi kufanana na kesho.Rais Samia atasbinda tena kwa asilimia anazotaka mwenyewe kwasababu CCM tayari ina maxhinery nzito ya uchaguzi.
Ni upumbavu kukaa tunajadili kitu ambacho kinafahamika kabisa.
Kwanza wanawake wengi ni CCM, huku mitaani tunaona.
Tangu hayati Magufuli alipowakemea Wakurugenzi kwamba "nawalipa vizuri na mafuta ya magari anawapa halafu wapitishe wagombea wa chama kingine", tokea hapo, sanduku la kura limekosa maana, CCM wanafanya wanachotaka. Tume ya uchaguzi ipo mradi kutimiza kanuni tu kuwa uchaguzi ulifanyika. Juhudi za kurudisha heshima ya sanduku la kura kuamua nani awe nani zifanyike kwa bidii, lakini kama utaratibu huu wa kupita bila kupingwa ukiendelea, upigaji kura utakuwa ni maonyesho tu ya kuionyesha dunia kwamba uchaguzi ulifanyika Tanzania lakini hakuna maana yoyote ya uchaguzi wa bandia kama huu.Kwani uchaguzi hapa una amliwa na idadi ya kura, au na CC (Central Committee) ya chama tawala, la muhimu yeye kupita ni kueweka chama vizuri na kuondoa wanao mpiga chawa) kama polepole na wezie, ila la muhimu asiache kambi Msoga, huyu baba ndo architecture wa siasa za CCM, na anapendwa sanaa na Watanzania, hizo kura zawanawake hazina lolote
Mkuu wangu unaweza pia kurusha jiwe gizani kwa hisia tu 🤣Siyo mkuu, nimerusha tu jiwe gizani....
kiuhalisia ni kweli kabisa wanawake wanakaasili ka kuoneana wivu wao kwa wao,Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.
Pili mama Samia asahau kabisa kuwa wanawake wa Tanzania wanaweza kujipanga kumpa madaraka au kulinda madaraka yake, kwa sababu ya tabia za kisiasa za wanawake wa Tanzania walivyo. Kwa mfano.
1. Wanawake wengi wa Tanzania husukumwa na wanaume kimaamuzi.
2. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini kufanikiwa kwao kimaisha kunategemea kuwezeshwa na wanaume.
3. Wanawake wengi wa Tanzania hawapendi kuongozwa na mwanamke mwenzao.
4. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini adui mkubwa wa mwanamke kwenye maisha ni mwanamke mwenzake.
5. Wanawake wengi wa Tanzania wanaamini uanamke mbele ya wanaume ni ishara ya udhaifu na sio ujasiri au ufahari.
Mwisho kabisa ninapenda kuandika kuwa, Siku Rais Samia akigundua kuwa mateso ya kimaisha wanayopata wanawake yanaletwa na mwenendo mbovu wa seikali yake, hakika ataogopa kuwaambia wanawake wamuunge mkono kwenye mbio zake za urais 2025.
Nataka nimsonye, asikie huyo Momo!Ovyo tu,mzee cheyo nimemsikia anasema wanaume tumezaliwq na wanawake zikapigwa kelele nyingi na vigelele kama vile walikuwa hawajui
Kwa mujibu wa huyo mzee,hiki ndicho kigezo cha kwamba wanawake wana uwezo mkubwa wa kuongoza nchi, huu ni ubahuzi wa kijinsia huyu bibi analeta
Hapa tunabishana nae tunamtahadharisha tu? Kipimo chako cha Ubishi dhidi yake katika huu Uzi wangu ni kipi?Wanaume hatujafundishwa kujibishana na mama zetu tumvumilie tu